Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,448
- 2,394
Anauza juice huyo mi nimemuungisha hapa kwakweli...
Uzi tayari..
Uzi tayari..
juice vipi iyo unaionaje.Mungu fundi jameni.
😂 😂 😂 😂 😂Yote haya wameyataka CHADEMA
og iyoADOBE
Ngoja Wanawake wenye misambwanda feki kwa kuchoma sindano, kumeza vidonge, kupakaa dawa, skintight zenye hipsi/wowowo feki na wa plastic surgery waje wakutolee mapovu hapa kwa kuwaharibia biashara 7bu ya kumweka Mwanamke mzuri wa asili/OG
dahYote haya wameyataka CHADEMA
juice natural iyo kwa afyaHiyo juice ilivyo chafu, imewekwa kwenye beseni, hamna hata glass siitaki hata kwa dawa.
Cc Unforgetable
Hiyo juice ilivyo chafu, imewekwa kwenye beseni, hamna hata glass siitaki hata kwa dawa.
Cc Unforgetable
Dogo atakuja kuwa mkware balaaNimelipenda lile pozi alilopiga yule dogo wa pemben yke,anashangaa tu haamin anachokiona
Si unaona na uzi aliouvaa wa uvcmm.Dogo atakuja kuwa mkware balaa