Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 542
- 649
Kijana mmoja,Graduate ana hekari kadhaa za shamba pale Morogoro, analima na kupeleka mazao yake moja kwa moja sokoni.
Ana supply chakula kwa vijana wanaolalamika kila kukicha CCM imesababisha umaskini wao., amesikia pia fursa za kupanda miti na Ufugaji anataka kuzijaribu. Simu yake anatumia kibiashara kutafuta masoko mitandaoni. E-business imeimarisha sana biashara yake.
Somo: Usomi sio kujua siasa, tuwaachie wale wenye traits za siasa wapige siasa; sisi tusiozijua tukapige kaz. Tuwe tunabishana soko lipi bora kwa bidhaa tulizotengeneza au kuzalisha