Pipi na juisi kutumika Ikulu katika dhifa imekaaje hii?

Nadhani hapo Mh. Rais anamwambia Nchimbi, Rudisha umechukua nyingi sana, chukua pipi 2 tu, wenzako huwaoni..? Ndio Nchimbi kaona aibu hivi, uona pipi zingine zinarudi ktk bakuli hilo
 
Mkuu hata mimi huwa namuona sana ila sijamjua, tusubiri viherehere wa chama watatujuza.
Ulitaka viroba? Fanyeni kama Kitwanga beba mfukoni kila dk chooni. Hawa wanapewa kila kitu kwa kodi zetu hadi hiyo juice na pipi bure bado mnalalamika. Wale jamaa enzi za jk waligombania chai mkalalamika au mlitaka wapelekwe Bilicanas?
 
Punguza jazba.
 
Hizo ndio akili za wasukuma.
Nasikia zamani wasukuma walijua ukipanda pipi zinaota kwahiyo muheshimiwa ameamua kuja na staili mpya.
 
Punguza jazba.
Siyo jazba mkuu, huku kitaa juice na pipi tunanunulia watoto na wanazililia sana sasa hawa wanatia pipi mifukoni na kupeleka kwa watoto wao bure bado mnalalamika. Waalim wanaacha Vipindi wanapiga bodaboda ili wapate pipi Kufurahisha watoto wao hamuwaonei huruma
Inauma.
 
Hizo ndio akili za wasukuma.
Nasikia zamani wasukuma walijua ukipanda pipi zinaota kwahiyo muheshimiwa ameamua kuja na staili mpya.
Acha ujinga wewe, tulitaka mabadiliko sasa yanatokea mnajitoa ufahamu. Mabadiliko hayachagui toka pilau kuku na bia hadi juice na pipi. Tutabadilika tuu
Mkuu kaza usiangalie usoni LA msingi mishahara watumishi wanapata basi.
 
Au nawewe utakuwa ni msukuma kwamaana nyinyi wasukuma hamskii.
 
Ikulu imegeuzwa getto la msela,mimi mwanzo nilivyosikia wamefukuzwa wapishi ikulu nikafikiri tumefanya la maana kumbe tumebugi,wapishi wale wanakuwa wana utaalamu wa mapishi kutoka mataifa mbalimbali kunapokuwa na dhifa za kitaifamatokeo yake ndio haya ya kunywa juisi na pipi eti tunabana matumizi,hii ni aibu hakuna protokali kabisa bora hata ingekuwa juice na korosho nazo zimekuwa gharama ya kuokoa?
Kuna siku nilikosa msosi kumbe wapishi walifukuzwa!!?? Dahh sikujua
 
Unafiki uliotukuka
Kabisa mkuu! Halafu jamaa anajifanya eti humble anajidai kuwahudumia. Haina tofauti na mafarisayo, masadukayo, nakuhani na wanasheria enzi za Yesu. Kujifanya wao watakatifu wakati ni mafisadi wakubwa!
 
Kuna siku nilikosa msosi kumbe wapishi walifukuzwa!!?? Dahh sikujua
Alipoingia tu alikifuta kitengo cha lishe ya rais ambacho kilikuwa na hadi wataalamu kutoka wizara ya afya,yani watu wanaoandaa chakula kitaalamu siokujilia tu halafu ukose mlo kamili uje upate magonjwa yanayotokana na mpangilio mbovu wa lishe inakuwa aibu,ndo haya yanayotokea kuandalia wageni juice na pipi kwavile hakuna wataalamu wa lishe,mwenyewe kasema mke wake anatosha kumpikia,hatari sana hii.
 
Back
Top Bottom