Pingu ya Muro

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
Kakutwa mtu na pingu
Sasa yazua majungu
Imeleta kiwingu
Polisi waja na rungu
Kumbe pingu ya mapenzi!!-Polisi wamechemsha!

Akisharudi nyumbani
Muro na wake mwandani
Wakijifunga chumbani
Uwanja wa kitandani
Kumbe pingu ya mapenzi! - Polisi wamechemsha!

Afungwa mtu mkononi
Upande mwingine kichagani
Sisemi chafuata nini
Ni mambo ya mtimani
Kumbe pingu ya mapenzi- Polisi Wamechemsha

Swali: Ni kosa kukutwa na pingu ya mapenzi kwenye gari?
 
MM

you can't stop amazing me!
Jamaa huwa anapiga pingu akiwa kwenye uwanja wake! Mhhhhh
 
Nilikuwa sifahamu matumizi yake mengine nami niko mbioni kununua
 
HIvi kweli unadhani polisi wakinidaka mimi na kukuta pingu ndani ya gari langu watauliza ninaitumiaje? shoot!
 
Penzi la pingu lanini?
kwahuyo wake Mwandani
Amfunge vidoleni
ndipo ampe asali?

Akimfunga vidole
hakika hawi mpole
amlenge kwa gobole
May be atawini

Pingu ile ni ya mbwa
yule wa bibi mkubwa
Muro humpa ubwabwa
ndipo apate tulia

Vinginevyo ana kamba
alopewa na temba
mbwa tacheza sindimba
Mtego hatotegua

Siku yake ikifika
mchezo utageuka
Pingu itamsimika
Mbwa tuli atulia.

Pingu ya mbwa ile... polisi wamechemsha
 
Pingu jamani zinaunganishwa vipi na kosa la kudai Rushwa?. mbona mimi sielewi?
wana JF nifafanulieni!
 
kama pingu ni ya penzi
na mpenzi kamwacha nyumbani
haingii akilini
pingu kuitoa nyumbani

Tena swali la pili
na jibu liwe mahiri
mchagga na haba kali
tangu lini jambo hili?
 
Yako matumizi ya pingu kwa mapenzi, demu wagu wa kizungu alikua anani blindfold halafu ananifunga pingu kitandani halafu ana chukua mshumaa anauwasha , halafu ananimwagia maji ya mshumaa kwenye chuchu na kunichapa kwa mjeledi, basi yale maumivi pamoja nakupapaswa kwa manyoya ya ndege huku nikipewa mapenzi mazito tukiwa ndani ya mavazi rasmi ya mchezo huo ni yana leta burudani kubwa sana ...... umesha wahi kua a pony kwenye mapenzi? jaribu uone!

Huyu Jerry sitoshangaa kuomba rushwa ni kitu cha kawaida, hasa kwa hawa wandishi wa habari, ni vitu vilivyo ndani ya utamaduni wetu wa kiTanzania. ila hi habari ina utata mwingi , haieleweki.

Jerry kwenda mwenyewe kupokea rushwa , tena kwnye parking lot , kutishia silaha wakati yeye ni a clebrity kila mtu anamjua kwa sura , hilo halileti maana. pia maelezo ya alikamatwaje, maana wanasema alikutwa kwnye gari, je kuna tapping zozote zilifanywa kwa uangalizi wa police kumsikia akidai hizo pesa kwa kutamka akisikika akisema anataka million 10 ili asitoe hanbari , kwenye hizo recording?

Je alikamatwa akiwa na hizo pesa teari amepewa na kuna ushahidi wa kurecordiwa ukisikika Jerry akiwa ana tamka kua anamapokea hizo pesa huku akielewa ni hongo?

Maana mtu tuu na weza akakuambia njoo sehemu halafu yeye huku amesha andaa police na pesa za police zilizo wekwa number na kuku bwagia hapo mbele yako wewe ukabaki unashangaa pesa za nni , halafu ana signal police kuwa amesha kupa pesa na wakavamia hapo nakukuta read hended ukiwa na pesa zao nakuku kamata na kudai umepokea rushwa ,huku wewe ukiachwa huna jibu,kwa mshtuko wa kuto elewa chochote

Je kwa huyu Jerry kuna ushahidi gani wakuoneysha Jerry alijua hizo pesa ni za nini?

Mchezo huu unaweza kua ni kwamba , police wantaka kumchafua au kufunga baada ya kuguswa na tuhuma zake dhidi yao.

Hapo inaweza kuwa kilicho fanyika ni huyu police kushirikiana na huyu Jamaa wakaandaa mtego kum frame huyu Jerry, , kwa kumuita aje hapo Hotelini kwa kudanganywa kua kuna kazi, kufika pale Jery bila kujua akaambia aje ndani akaona hilo haliwezekani so akawambia waje wamfuate, kufika pale police wakavamia na kumkamata Jerry.jambo ambalo mwisho wa siku Jerry atato9ka na ushindi na police kujichafua zaidi .

Kwa mtu kama Jerry sidhani kama ni ana weza kufanya kosa kama hilo kwenda kupokea rushwa kwa mtu aliye panga yeey mkutane sehemu, na dhani akili ku mwambia mtu anaye kuhonga akufuate yeye sehemu uliyo ichagua na kwa umakini zaidi, sidhani kaam Jerry ana weza fanya kosa kama hilo.
 
Mtoa habari kakurupuka,
kaombwa rushwa hakuruka,
kasindwa kutoa, inanuka,

Mtoa habari karupuka,
kaona bora kuianika,
kaenda polisi kaona itavuta, kuliko wapinga rushwa
Mtoa habari karupuka,umaarufu kuvuuta

Muro nae kakurupuka,
kapokea simu, karuka,asijue ya kumkuta
Muro karuka sikumbuke hata shuka

Polisi wao wakakurupuka,
wamepata habari, hawakutaka hata kuzunguka, wakaishia kuumbuka,
Polisi wakaaibika, lakini haikuwafika.....

Polisi hawakutaka kuanika kwa hofu ya kupika
wakasubiri ya kuunganisha,kweli wakaunganisha
Kova akakurupuka kuianika, asisubiri hata uhakika...

Waandishi nao kwa kukurupuka
hawakutaka hata kusita, wakataka ya uhakika,
Wakijua italipa,wakamwita Muro kuanika

Muro asijue anakurypka, akaanza kuropoka,
kaanika yale hata yasiyohusika,
Kaweka kisa kwa uhakika, polisi hapate la kuandika...

Stori ikarejea, Mtoa habari alikurupuka, polisi wakakurupuka, na Muro nae kakurupa ......

Kisa kinaendelea.....
 
.......Mwanakijiji kwani kuna pingu ya mapenzi?

Pretty, miaka ya nyuma kulikuwa na wimbo ulioitwa "Jela ya Mapenzi" kama sikosei ulipigwa na Western Jazz walioimba "Rozi nenda shule" Huo wimbo ulipata umaarufu mkubwa sana. Pingu ya mapenzi....mhhhh! zipo hizi wapendanao hufungana kitandani wakati wananihii ;) lakini imeshatokea mara chache pale walipomaliza kunanihii na kutaka kufunguana basi funguo ziligoma kufanya kazi na hadi polisi ilibidi waitwe ili kuja kuwasaidia kuzifungua pingu zile.
 
Yako matumizi ya pingu kwa mapenzi, demu wagu wa kizungu alikua anani blindfold halafu ananifunga pingu kitandani halafu ana chukua mshumaa anauwasha , halafu ananimwagia maji ya mshumaa kwenye chuchu na kunichapa kwa mjeledi, basi yale maumivu pamoja nakupapaswa kwa manyoya ya ndege huku nikipewa mapenzi mazito tukiwa ndani ya mavazi rasmi ya mchezo huo ni yana leta burudani kubwa sana ...... umesha wahi kua a pony kwenye mapenzi? jaribu uone!...

...ehhh? eti nijaribu? :D No way bana...kisa?, Lol!
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=eUB9B2XfxVw[/ame]
 
Yako matumizi ya pingu kwa mapenzi, demu wagu wa kizungu alikua anani blindfold halafu ananifunga pingu kitandani halafu ana chukua mshumaa anauwasha , halafu ananimwagia maji ya mshumaa kwenye chuchu na kunichapa kwa mjeledi, basi yale maumivi pamoja nakupapaswa kwa manyoya ya ndege huku nikipewa mapenzi mazito tukiwa ndani ya mavazi rasmi ya mchezo huo ni yana leta burudani kubwa sana ...... umesha wahi kua a pony kwenye mapenzi? jaribu uone!

Huyu Jerry sitoshangaa kuomba rushwa ni kitu cha kawaida, hasa kwa hawa wandishi wa habari, ni vitu vilivyo ndani ya utamaduni wetu wa kiTanzania. ila hi habari ina utata mwingi , haieleweki.

Jerry kwenda mwenyewe kupokea rushwa , tena kwnye parking lot , kutishia silaha wakati yeye ni a clebrity kila mtu anamjua kwa sura , hilo halileti maana. pia maelezo ya alikamatwaje, maana wanasema alikutwa kwnye gari, je kuna tapping zozote zilifanywa kwa uangalizi wa police kumsikia akidai hizo pesa kwa kutamka akisikika akisema anataka million 10 ili asitoe hanbari , kwenye hizo recording?

Je alikamatwa akiwa na hizo pesa teari amepewa na kuna ushahidi wa kurecordiwa ukisikika Jerry akiwa ana tamka kua anamapokea hizo pesa huku akielewa ni hongo?

Maana mtu tuu na weza akakuambia njoo sehemu halafu yeye huku amesha andaa police na pesa za police zilizo wekwa number na kuku bwagia hapo mbele yako wewe ukabaki unashangaa pesa za nni , halafu ana signal police kuwa amesha kupa pesa na wakavamia hapo nakukuta read hended ukiwa na pesa zao nakuku kamata na kudai umepokea rushwa ,huku wewe ukiachwa huna jibu,kwa mshtuko wa kuto elewa chochote

Je kwa huyu Jerry kuna ushahidi gani wakuoneysha Jerry alijua hizo pesa ni za nini?

Mchezo huu unaweza kua ni kwamba , police wantaka kumchafua au kufunga baada ya kuguswa na tuhuma zake dhidi yao.

Hapo inaweza kuwa kilicho fanyika ni huyu police kushirikiana na huyu Jamaa wakaandaa mtego kum frame huyu Jerry, , kwa kumuita aje hapo Hotelini kwa kudanganywa kua kuna kazi, kufika pale Jery bila kujua akaambia aje ndani akaona hilo haliwezekani so akawambia waje wamfuate, kufika pale police wakavamia na kumkamata Jerry.jambo ambalo mwisho wa siku Jerry atato9ka na ushindi na police kujichafua zaidi .

Kwa mtu kama Jerry sidhani kama ni ana weza kufanya kosa kama hilo kwenda kupokea rushwa kwa mtu aliye panga yeey mkutane sehemu, na dhani akili ku mwambia mtu anaye kuhonga akufuate yeye sehemu uliyo ichagua na kwa umakini zaidi, sidhani kaam Jerry ana weza fanya kosa kama hilo.

Its called FETISH
 
Naona sasa karibu nitastaafu kabisa mapenzi- tunakoelekea siko maana mara vimada, tigo, threesomes na sasa pingu na maumivu ah- ya nini yote haya?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom