@pingili-nywee

Ameteuliwa kwenye Serikali tukufu ya CCM kuwasaidia kupanga maendeleo ya serikali za Mikoa.
Atakuwa anashughulikia mambo kadha wa kadha .. kama uboreshaji wa soko la Korosho.

Tunavyoongea sasa hivi anaongoza jeshi tukufu kwenye ununuzi na usafirishaji wa Korosho kutoka eneo la Morogoro.

HAPA KAZI TU!
 
Who knows where this fellow kenyan from kajiado has gone to? He has not been seen here in JF for 1 month
Ama amepata kazi ametuacha sisi ma jobless humu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bila shaka huyo yuko honeymoon. Alishapata jiko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nalesh
Habari za kipchoge zililetwa na mkenya mwingine humu kwa niaba yake.
 
Tufanya Kazi. Sio muda wote JF....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tuseme ukweli ,unless wewe ni mzee ume retire...wengi wetu hapa hatuna kazi za maana, walio nazo hautawaona kila siku hapa... Ingekua unashikiliwa na ripoti au project kuanzia ijumaa Hadi juma pili ... ungekua hauna muda na kushindana na utani wa kijinga wa Tz Vs Ke... Tena kila siku... Nakumbuka kuna wakati flani mwaka Jana mwanzo mwanzo nilikua jf, Kenya talk, Quartz, Nairaland, Hadi comments section za Discus..... Tena na engage kila hoja kila mtu...unakuta nimemaliza siku nzima nikiwa Kwa forum... Wakati huo nilikua "in between jobs" ...
Hizi forums zina affect utendakazi wa mtu, ndo maana nilijitoa kwa forum zengine, na sikuhizi na avoid kushindana na watu Kwa mda mrefu.. fight off the addiction!!!!!

Inaezekana pingili-nywee ameangukia project babkubwa akaamua hana mda na watani wake ... Au amepata kadem kapya kanamsumbua sumbua
 
Sema kuwa wewe ndohuna kazi.... Me i have many friends and with big companies in TZ but they are talking about JF and what has been posted. Tuki kaa kupiga story wao nikuongelea JF...People ndani ya serikali na wengine usalama wa taifa tukikaa sehemu moja inaitwa Oceanic huku Mbweni wao nikuongelea JF...Huku JF inatumika zaidi na watu wenye umri mkubwa...Wanasiasa wote Tanzania wamo humu JF....Dating nyingi zinafanyika humu JF.... Mimi Fundi wakuja kunifungia Electric Fence na CCTV cameras nilimtoa JF...
Jamii Forum Tanzania ni platform kubwa sana....Inawatu wengi mashuhuri na wafanya biashara.... Kipindi cha siasa inakuwa sio mchezo humu JF..Wewe tatizo ukiingia JF unakimbilia hii section yako....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii hoja yako kwa upande wa Tz nakukatalia! Tena ni opposite wenye kazi za maana ndiyo wamejaa humu. Tena daily watu lazima wachungulie humu, Wewe umejifungia kwenye Kenyan section kuna mambo mengi ya maana yana endelea humu. Watu wana piga deal nakupeana mawazo, mwingine anaingia upande wa jokes au chit chat, au sports. Ila siyo kwa kua hana kazi ya maana. Mimi daily naingia kupata trending news kwenye section nazo zipenda, ila ninafanya kazi ya maana sana kuliko Mike Sonko . Ukipata kazi ikakufanya ukose muda wa ku tembelea social networks ata kwa dakika 10 kwa siku, jua hiyo siyo kazi ya maana.
 
Jmaa kayumba
yaani uwe nakazi ukose muda wakuingia mtandaoni
basi ujue nikazi ya Kupanga tofali
 
Sema kuwa wewe ndohuna kazi.... Me i have many friends and with big companies in TZ but they are talking about JF and what has been posted. Tuki kaa kupiga story wao nikuongelea JF...People ndani ya serikali na wengine usalama wa taifa tukikaa sehemu moja inaitwa Oceanic huku Mbweni wao nikuongelea JF...Huku JF inatumika zaidi na watu wenye umri mkubwa...Wanasiasa wote Tanzania wamo humu JF....Dating nyingi zinafanyika humu JF.... Mimi Fundi wakuja kunifungia Electric Fence na CCTV cameras nilimtoa JF...
Jamii Forum Tanzania ni platform kubwa sana....Inawatu wengi mashuhuri na wafanya biashara.... Kipindi cha siasa inakuwa sio mchezo humu JF..Wewe tatizo ukiingia JF unakimbilia hii section yako....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umetumia mfano wa 'rafiki zako' walio na kazi za maana ... Alafu kunatofauti Kati ya talking about what has been posted na kushinda siku nzima ukijadiliana... Kama wewe Una spend zaidi ya 4hrs Kwa mtandao wowote Kwa siku jua hauna kazi ya maana. . Hata kama mshara unakutoshelza jua tu you are not productive person ..

Nionyeshe mtu mmoja au wawili wa serekali ambao wanashinda hapa jf siku nzima.... Sana Sana utakuta wana comment mara moja au mbili Kwa wiki, au wanapita kimya kimya...
 
Hii hoja yako kwa upande wa Tz nakukatalia! Tena ni opposite wenye kazi za maana ndiyo wamejaa humu. Tena daily watu lazima wachungulie humu, Wewe umejifungia kwenye Kenyan section kuna mambo mengi ya maana yana endelea humu. Watu wana piga deal nakupeana mawazo, mwingine anaingia upande wa jokes au chit chat, au sports. Ila siyo kwa kua hana kazi ya maana. Mimi daily naingia kupata trending news kwenye section nazo zipenda, ila ninafanya kazi ya maana sana kuliko Mike Sonko . Ukipata kazi ikakufanya ukose muda wa ku tembelea social networks ata kwa dakika 10 kwa siku, jua hiyo siyo kazi ya maana.
Kuingia na kuchungulia ni kitu cha kawaida, kila alie na smartphone hua anashika hio tabia... Unaamka asubuhi dakika 30 za Kwanza unachungulia social media zote, trending news...etc....

Tofauti ya mtu productive mwenye kazi ya maana na alie si productive ni
kwamba jamaa ambaye Hana kazi ya maana ataanza Ku engage Kwa kila mjadala, na uki reply naye ana reply hata iwe ni saa ngapi.... Hauezi ukaniambia huyo ni mtu ana kazi na majukumu....
 
Naomba nipingane nawe kuhusu kazi ya maana kwa tafsiri yako. Daktari ana kazi ya maana, si ndio? Napokuwa shift au kwenye operations ndio anakuwa busy....akiwa home jioni au hayuko shift yuyko free sana tu...na anaweza kuwa humu kwa muda mrefu. Kazi ya maana haimaanishi hauna muda wa bure. Kuna watu wana kazi za kiboya tu ila kuna time wana project au reports preps unakuita wako busy sana.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom