Pingamizi la Dr Slaa dhidi ya Rose Kamili lakataliwa mahakamani

Wanabodi,

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali kwa gharama pingamizi lilowasilishwa mbele yake na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willbrod Slaa lililokuwa likiomba mahakama hiyo ifute kesi ya madai iliyofunguliwa na ‘mkewe’ Rose Kamili Slaa nee Sukum, akiomba mahakama hiyo imzuie ‘mumewe’ Dkt. Slaa asifunge ndoa na mchumba wake Josephine Mushumbusi.

Uamuzi huo ulitolewa na Jaji Laurnce Kaduri ambaye alisema amepitia kwa kina pingamizi lilowasilishwa na Dkt. Slaa na majibu yaliyojibiwa na mlalamikaji Rose anayetetewa na wakili wa kujitegemea Joseph Thadayo na amefikia uamuzi wa kuona hoja zilizowasilishwa mbele yake na Dkt. Slaa zikiomba mahakama hiyo iifute kesi ya msingi iliyofunguliwa na Rose, ni dhahifu na hivyo amezitupilia mbali.

Jaji Kaduri alisema Dkt. Slaa alikosea kudai kuwa Rose hakuwa na haki ya kufungua kesi hiyo ya kumzuia asifunge ndoa na mchumba wake Josephine kwa taratibu za kisheria kwa sababu Slaa na Rose hawakuwai kufunga ndoa ila kulikuwa na dhana ya ndoa.

“Mahakama hii inaitupilia mbali, tena kwa gharama, pingamizi hilo la Dkt. Slaa linalosema kuwa Rose hakuwa na haki ya kupinga ndoa yake kwa sababu hakuwa mke wake na wala hawajawai kufunga ndoa, kwa sababu sheria ya ndoa inasema mtu ambaye umeishawahi kuishi kama mke na mume kwa zaidi ya miaka miwili, sheria inawahesabu kama ni wanandoa, hivyo Mahakama hii inasema Rose ana haki ya kufungua kesi ya kuzuia ndoa ya wadaiwa, yaani Slaa na Josephine na mahakama inatupilia mbali pingamizi la Slaa,” alisema Jaji Kaduri.

Kesi ya msingi itatajwa mahakamani hapo Novemba 6 mwaka huu.

  1. Kesi hiyo ya madai ya ndoa Na.4/2012 ilifunguliwa mahakamani hapo na Rose dhidi ya Dkt. Slaa na Josephine kwa mara ya kwanza mapema Julai mwaka huu, akiiomba mahakama isikubali shauri hilo lipelekwe kwenye Bodi ya Maridhiano ya Masuala ya Ndoa ya kwa ajili ya kupatanishwa.
  2. Dai la pili, Rose anaiomba mahakama itanganze yeye na Dkt. Slaa bado ni wanandoa.
  3. Dai la tatu, anaiomba mahakama itamke kuwa ndoa baina yake na Dkt. Slaa bado ni halali kisheria na kwamba ndoa nyingine itakayofungwa kinyume na sasa ndoa hiyo itakuwa ni batili.
  4. Katika dai lake nne, mlalamikaji ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) anadai mdaiwa wa pili (Josephine) alimshawishi mumewe (Dkt. Slaa) kuivuruga ndoa yake na mumewe ambaye ni mdaiwa wa kwanza.

“Pia, nia ya wadaiwa hao wawili ya kutaka kufunga waliyopanga ifungwe Julai 21 mwaka huu katika eneo lolote lile, ndoa hiyo ihesabike kuwa ni batili”

Aidha anaiomba mahakama iwaamuru wadaiwa wamlipe fidia ya shilingi 50,000,000 kama gharama za matunzo ya watoto watoto wawili ambao Emiliana Slaa na Linus Slaa aliyezaliwa mwaka 1987 na kwamba walianza kuishi pamoja na Dkt. Slaa kama mume na mke, ambao amekuwa akiwahudumia kwa tangu mwaka 2009 baada ya mume wake kumkimbia.

Pia anaiomba mahakama imwamuru mdaiwa wa pili (Josephine) amlipe fidia ya Shilingi 500,000,000 kwasababu alimsababishia usumbufu mkubwa na kumharibia ndoa yake.

Akaongeza kuiomba mahakama hiyo impatie nafuu nyingine ambazo itaona inafaa.

Source: wavuti.com - wavuti
Hapa hamna kesi, anaweza tu kusema anaoa mke wa pili kwisha. Hiyo inayolazimishwa kuwa ndoa haiko classified na hakuna mkataba kati yao. Hapa ni sheria tu hakuna ushabiki. Ingekuwa ndoa ya kikrito ingekuwa kazi.
 
yakhe Slaa bado nachumbia tu? sasa taongoza vipi sisi huku nanuka janaba! kumbe bana Slaa sio adilifu kabisa bado nazini tu?
 
ahaa mkuu Ritz
Ahaaa asante kwa taarifa sitaki bifu na molemo; lakini jamaa nakumbuka kama alifanya mnuso siku ya meli ilipozama kwa mantiki kama kulikuwa na pingamizi halali mahakamani ina maana ndoa kati yake na Josephine ni batili na kwa maana hiyo jamaa bado ni mzinifu; na kama ni mzinifu ina maana ni mchafu wa kiroho; ina maana kichwani ametawaliwa na pepo wachafu mkuu acha nifunge mdomo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mtu asiye fahamu anaweza akadhani hapo kuna kesi.

Hakika hapo rose ana poteza muda tuu!

Ni lini rose alifunga ndoa na Dr?

Ushabiki wa ritz una wapumbaza wengi!
 
Ritz;Taifa lipo kwenye ombwe la uongozi!Huku kwetu waislam wanatutangazia kwenye vipaza sauti kuwa tuwauwe haraka then tuwazike haraka nguruwe wetu tunaowafuga!

Tujadili haya ya kuchomwa makanisa na kupora vitu wakiingia kanisani sio haya ya Dr Slaa yasiyo na mashiko yyt kwa usalama wa nchi hii bana!
 
Wanawake mna mambo.Huu ni uswahili unaofanywa na mtu aliyesoma. Achia mwenzako aendelee na maisha yake. Get a life bitch!
 
Ritz hebu tujadili mustakabali wanchi yetu.. Hayo mambo ya slaa ni too person; hata ww au mm tunayo ya kwetu...

Naomba kukuulza hivi wanachofanya waislamu wenzako , kuchoma makanisa, kuua na kutishia maisha viongoz wa dini nyngne ni sahihi?
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali kwa gharama pingamizi lilowasilishwa mbele yake na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willbrod Slaa lililokuwa likiomba mahakama hiyo ifute kesi ya madai iliyofunguliwa na ‘mkewe’ Rose Kamili Slaa nee Sukum, akiomba mahakama hiyo imzuie ‘mumewe’ Dkt. Slaa asifunge ndoa na mchumba wake Josephine Mushumbusi.

Uamuzi huo ulitolewa na Jaji Laurnce Kaduri ambaye alisema amepitia kwa kina pingamizi lilowasilishwa na Dkt. Slaa na majibu yaliyojibiwa na mlalamikaji Rose anayetetewa na wakili wa kujitegemea Joseph Thadayo na amefikia uamuzi wa kuona hoja zilizowasilishwa mbele yake na Dkt. Slaa zikiomba mahakama hiyo iifute kesi ya msingi iliyofunguliwa na Rose, ni dhahifu na hivyo amezitupilia mbali.

Jaji Kaduri alisema Dkt. Slaa alikosea kudai kuwa Rose hakuwa na haki ya kufungua kesi hiyo ya kumzuia asifunge ndoa na mchumba wake Josephine kwa taratibu za kisheria kwa sababu Slaa na Rose hawakuwai kufunga ndoa ila kulikuwa na dhana ya ndoa.

“Mahakama hii inaitupilia mbali, tena kwa gharama, pingamizi hilo la Dkt. Slaa linalosema kuwa Rose hakuwa na haki ya kupinga ndoa yake kwa sababu hakuwa mke wake na wala hawajawai kufunga ndoa, kwa sababu sheria ya ndoa inasema mtu ambaye umeishawahi kuishi kama mke na mume kwa zaidi ya miaka miwili, sheria inawahesabu kama ni wanandoa, hivyo Mahakama hii inasema Rose ana haki ya kufungua kesi ya kuzuia ndoa ya wadaiwa, yaani Slaa na Josephine na mahakama inatupilia mbali pingamizi la Slaa,” alisema Jaji Kaduri.

Kesi ya msingi itatajwa mahakamani hapo Novemba 6 mwaka huu.

  1. Kesi hiyo ya madai ya ndoa Na.4/2012 ilifunguliwa mahakamani hapo na Rose dhidi ya Dkt. Slaa na Josephine kwa mara ya kwanza mapema Julai mwaka huu, akiiomba mahakama isikubali shauri hilo lipelekwe kwenye Bodi ya Maridhiano ya Masuala ya Ndoa ya kwa ajili ya kupatanishwa.
  2. Dai la pili, Rose anaiomba mahakama itanganze yeye na Dkt. Slaa bado ni wanandoa.
  3. Dai la tatu, anaiomba mahakama itamke kuwa ndoa baina yake na Dkt. Slaa bado ni halali kisheria na kwamba ndoa nyingine itakayofungwa kinyume na sasa ndoa hiyo itakuwa ni batili.
  4. Katika dai lake nne, mlalamikaji ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) anadai mdaiwa wa pili (Josephine) alimshawishi mumewe (Dkt. Slaa) kuivuruga ndoa yake na mumewe ambaye ni mdaiwa wa kwanza.

“Pia, nia ya wadaiwa hao wawili ya kutaka kufunga waliyopanga ifungwe Julai 21 mwaka huu katika eneo lolote lile, ndoa hiyo ihesabike kuwa ni batili”

Aidha anaiomba mahakama iwaamuru wadaiwa wamlipe fidia ya shilingi 50,000,000 kama gharama za matunzo ya watoto watoto wawili ambao Emiliana Slaa na Linus Slaa aliyezaliwa mwaka 1987 na kwamba walianza kuishi pamoja na Dkt. Slaa kama mume na mke, ambao amekuwa akiwahudumia kwa tangu mwaka 2009 baada ya mume wake kumkimbia.

Pia anaiomba mahakama imwamuru mdaiwa wa pili (Josephine) amlipe fidia ya Shilingi 500,000,000 kwasababu alimsababishia usumbufu mkubwa na kumharibia ndoa yake.

Akaongeza kuiomba mahakama hiyo impatie nafuu nyingine ambazo itaona inafaa.

Source: wavuti.com - wavuti

Slaa: Ole wenu CCM

• Asisitiza ana uhuru kuoa, hagombei uaskofu bali urais, sichaguliwi mke.

na Mwandishi wetu

amka2.gif
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amesema hakuna kiongozi yeyote wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mwenye ubavu wa kumnyoshea yeye kidole katika masuala ya yanayohusu maisha yake binafsi. Dk. Slaa alitoa maelezo hayo jana wakati akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mpira wa Kwara, uliopo Babati Mjini, mkoani Manyara wakati akiendelea na mikutano yake ya kampeni.
Mgombea huyo wa urais ambaye amekuwa akivuta umati mkubwa wa wasikilizaji katika maeneo mbalimbali anayopita alieleza kukerwa na tabia ya viongozi wa juu wa CCM akiwamo Katibu Mkuu wake, Yusuf Makamba kwa namna wanavyojaribu kumchafua kwa kuingilia masuala yake binafsi.
Akiwahutubia wananchi hao huku akishangiliwa muda wote wa hotuba yake, Dk. Slaa aliwataka viongozi hao wa CCM na wapambe wao kuacha kumchagulia mke wa kufunga ndoa naye kwani masuala yake binafsi ya maisha hayawahusu.
Akisisita Dk. Slaa mwanasiasa ambaye ana rekodi ya kipekee ya kurusha makombora mazito ya tuhuma dhidi ya CCM na viongozi wake ambayo takriban yote yamekuwa yakithibitika kuwa na ukweli alimtaka Makamba na wenzake kutambua kuwa amechukua fomu ya kugombea kiti cha urais wa nchi na si uaskofu wa kanisa.
Aliwageukia Makamba na vigogo wengine wa CCM wanaojaribu kuingilia ndoa yake akisema iwapo angekuwa akiutaka uaskofu wa kanisa basi alikuwa na uwezo wa kuupata miaka 20 iliyopita.
Alisema endapo Makamba na wenzake wataendelea kumsakama kuhusiana na maisha yake binafsi, atawalipua vimada wa vigogo wa juu wa CCM na jinsi wanavyotumia fedha nyingi za serikali kuwatunza.
Slaa ambaye alitumia mkutano huo wa hadhara kumtambulisha mkewe, Josephine alisema ameamua kuzungumzia maisha yake binafsi kutokana na Makamba na baadhi ya vyombo vya habari alivyosema vinatumika na CCM
kuzungumzia maisha yake binafsi, hususan ndoa yake na kufikia hatua ya kutaka kumchagulia mke.
“Niwaambie ukweli, Dk. Slaa hateswi na ndoa yake. Nani ananichagulia nifunge ndoa na nani. Hakuna mtu anayeweza kuingia katikati ya ndoa ya mtu mwingine. Nikisema nianze kuwalipua vigogo wenye nyumba ndogo (vimada) hapa, hakuna atakayesimama,” alisema Dk. Slaa kwa kujiamini na kushangiliwa.
Mgombea huyo wa urais alimgeukia Makamba na akamtaka ajitokeze hadharani na kueleza umma wa Watanzania ni kwa nini alifukuzwa kazi ya ualimu miaka ya nyuma.
“Mimi namtaka Makamba aseme hadharani, kwa nini alifukuzwa ualimu ni kwa sababu gani … mwache aendelee, nitaweka hadharani uchafu wao na nitaanza na Makamba
mwenyewe,” alisema.
Hii ni mara ya kwanza kwa Dk. Slaa kuweka hadharani msimamo wake tangu baadhi ya vyombo vya habari na vigogo wa CCM waanze kumshambulia kwa maisha yake binafsi.
Mbali ya kutoa kauli hiyo, Dk. Slaa pia alimtaka mke wa Rais Kikwete, Mama Salma kuacha kufuja fedha za serikali kwa kuwa na msafara mrefu wa magari ya serikali pamoja na askari wengi wa kumlinda.
Alisema mke huyo wa Kikwete ambaye jana alikuwapo mjini hapa na kufanya mikutano ya ndani ya CCM, anapaswa kutambua kuwa yeye si rais wa Tanzania kwani kwa sasa kuna rais mmoja tu.
“Mgombea urais wa CHADEMA, anatembea kwa basi, lakini mke wa rais anatembea na msafara wa magari 21, yenye thamani ya sh milioni 400 kila moja, ambazo ni sawa na fedha za kujenga zahanati nne, hili jambo ni la hatari sana na kulikomesha hili ni kutompigia kura Kikwete katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Akichambua sababu za kwa nini Kikwete hafai kuchaguliwa tena mwaka huu, Dk. Slaa alisema pamoja na ahadi nyingine, ameshindwa kutimiza ahadi yake ya maisha bora kwa kila Mtanzania.
Alisema katika kipindi cha uongozi wa Kikwete, maisha ya Watanzania yamezidi kuwa mabaya kwani gharama za maisha hasa bei za bidhaa na huduma za jamii, zimeongezeka mara dufu na kufanya maisha ya wengi kuwa duni badala ya kuboreka.
“Bei ya sukari, nauli za mabasi, chumvi, nyama, soda na hata bia, zimeongezeka mara dufu katika kipindi chake cha miaka mitano. Aliingia madarakani kwa kuwadanganya Watanzania, leo anarudi tena kuomba ridhaa yenu ili awatumikie eti kwa kasi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi. Mwaka 2010, msidanganyike,” alisema Dk. Slaa.
Kuhusu ahadi za ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Mbeya kwa kiwango cha kimataifa, Dk. Slaa alisema ahadi hiyo ni ya uongo kwani kiwanja hicho kimefungwa na serikali imekuwa ikiahidi kukijenga kwa miaka 10 iliyopita bila mafanikio.
“Ahadi hiyo ni usanii mwingine. Hii ni Serikali ya wasanii, kiwanja kimefungwa kwa miaka 10 sasa, yeye anazungumzia kujenga kiwanja cha kimataifa, kwanza Shirika la Ndege la Taifa la (ATC), wamelifanyia ufisadi, wameua ndege zote,
hivyo viwanja vya ndege anavyoahidi leo kuvijenga kwa kiwango cha kimataifa, zitatua ndege gani kama Serikali yenyewe haina hata ndege moja?” alihoji Dk. Slaa na kushangiliwa na maelfu ya wananchi waliofurika kumsikiliza.
Akizungumzia nyongeza ya mishahara kiduchu waliyopewa wafanyakazi badala ya kiwango cha sh 315,000 walichopendekeza, Dk. Slaa aliwataka wasidanganyike na
kiasi hicho na kuamua kumpigia kura wakati alishatangaza kutozihitaji kura zao na badala yake wampigie kura kwani Ilani ya CHADEMA inazungumzia kuboresha mishahara na maisha ya wafanyakazi.
Kuhusu hatua ya CCM kumsimamisha Kisyeri Chambili aliyepata kuwa mbunge wa Tarime kugombea ubunge katika jimbo la Babati, Dk. Slaa aliwataka wananchi kuhoji rekodi yake.
Alisema Chambiri aliyebwagwa katika ubunge wa Tarime na marehemu Chacha Wangwe (CHADEMA), amekimbia jimbo la asili yake kwa kuwa anajua hawezi kushinda kutokana na rekodi yake isiyofaa.
“Chambili nilikuwa naye bungeni akiwa Mbunge wa Tarime, namjua ubovu wake na jinsi alivyoshindwa kuwatumikia wananchi wa nyumbani kwao alikozaliwa, leo amekuja kufanya biashara zake Babati anaomba kura kwenu. Muulizeni aliwafanyia nini Tarime,” alihoji.
Badala yake aliwataka wananchi hao kumchagua mgombea ubunge wa CHADEMA, Pauline Gekul, kwani ni mwanamke msomi, jasiri mwenye uwezo wa kuliongoza jimbo la Babati Mjini na Francis Qamara anayegombea udiwani.
“Nawaombeni mnipe kura zetu Oktoba 31 na vijana hawa, Pauline na Francis na madiwani wao ili tuweze kufanya kazi nzuri kama tuliyoifanya Karatu,” alisema.

Naanza kuamini sasa mtu akikwambia wewe "Muslim" ni tusi baya sana...na kwa tafsiri fupi ni
1.Mtu mpuuzi tu usiyeweza kutumia akili yake bali za kuambiwa bin kushikiwa na kina Shekhe Ponda and kina Farid
2.Mtu usiye na chembe ya utu, kwakua kuua ni sehemu ya ibada
3.Mtu asiyeweza kujadili hoja bali ni mtu wa jazba na ni sawa na hayawani wengine kama mbwa, mbuzi, kondoo na nguruwe
4.Ni mwizi tu, kwa maana ya kwamba anaweza kuingia kwenye nyumba za ibada na kufanya uharifu wa jinsi hiyo
5.Upeo mdogo kwani hawezi ku relate na ku-link vitu vidogo tu kuweza kupata connection mfano wa mtoa mada na baadhi ya wachangiaji.
6.Aibu siyo issue kwao kwani ni mtu anayeweza kuingia mtaani na ku chant kama mwendawazimu
7.Ni mtu asiyejitambua kwa maana ya kwamba hata anachodai kupigania hakitambui vyema bali ni mikumbo ya kipumbavu
8.Hawezi kutofautisha kati ya kudai haki na kuvunja sheria......maandamano yasiyo na msingi
9.Umoja kwake ni tusi, kwani hata miongoni mwao hawaelewani, mara huyu anadai Bakwata huyu anadai Uamsho...hivyo kiu kinachoitwa amani kwake ni tusi kubwa mno
10.Hana kazi za kumfanya ae busy kiasi cha kupata muda mwingi kutafuta mawe, matairi, na kila aina ya takataka kwa ajili ya kuchoma mioto na kupambana na vyombo vya dola.

Mod: Kama ume mind post yangu nipige ban tu hakuna tatizo lakini huu nio mtazamo wangu juu ya hawa wapuuzi...nasema tena wapuuzi na wajinga tu......huwezi shabikia upuuzi wa namna hii ukawa na akili timamu.
 
Wanabodi,

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali kwa gharama pingamizi lilowasilishwa mbele yake na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willbrod Slaa lililokuwa likiomba mahakama hiyo ifute kesi ya madai iliyofunguliwa na ‘mkewe' Rose Kamili Slaa nee Sukum, akiomba mahakama hiyo imzuie ‘mumewe' Dkt. Slaa asifunge ndoa na mchumba wake Josephine Mushumbusi.

Uamuzi huo ulitolewa na Jaji Laurnce Kaduri ambaye alisema amepitia kwa kina pingamizi lilowasilishwa na Dkt. Slaa na majibu yaliyojibiwa na mlalamikaji Rose anayetetewa na wakili wa kujitegemea Joseph Thadayo na amefikia uamuzi wa kuona hoja zilizowasilishwa mbele yake na Dkt. Slaa zikiomba mahakama hiyo iifute kesi ya msingi iliyofunguliwa na Rose, ni dhahifu na hivyo amezitupilia mbali.

Jaji Kaduri alisema Dkt. Slaa alikosea kudai kuwa Rose hakuwa na haki ya kufungua kesi hiyo ya kumzuia asifunge ndoa na mchumba wake Josephine kwa taratibu za kisheria kwa sababu Slaa na Rose hawakuwai kufunga ndoa ila kulikuwa na dhana ya ndoa.

"Mahakama hii inaitupilia mbali, tena kwa gharama, pingamizi hilo la Dkt. Slaa linalosema kuwa Rose hakuwa na haki ya kupinga ndoa yake kwa sababu hakuwa mke wake na wala hawajawai kufunga ndoa, kwa sababu sheria ya ndoa inasema mtu ambaye umeishawahi kuishi kama mke na mume kwa zaidi ya miaka miwili, sheria inawahesabu kama ni wanandoa, hivyo Mahakama hii inasema Rose ana haki ya kufungua kesi ya kuzuia ndoa ya wadaiwa, yaani Slaa na Josephine na mahakama inatupilia mbali pingamizi la Slaa," alisema Jaji Kaduri.

Kesi ya msingi itatajwa mahakamani hapo Novemba 6 mwaka huu.

  1. Kesi hiyo ya madai ya ndoa Na.4/2012 ilifunguliwa mahakamani hapo na Rose dhidi ya Dkt. Slaa na Josephine kwa mara ya kwanza mapema Julai mwaka huu, akiiomba mahakama isikubali shauri hilo lipelekwe kwenye Bodi ya Maridhiano ya Masuala ya Ndoa ya kwa ajili ya kupatanishwa.
  2. Dai la pili, Rose anaiomba mahakama itanganze yeye na Dkt. Slaa bado ni wanandoa.
  3. Dai la tatu, anaiomba mahakama itamke kuwa ndoa baina yake na Dkt. Slaa bado ni halali kisheria na kwamba ndoa nyingine itakayofungwa kinyume na sasa ndoa hiyo itakuwa ni batili.
  4. Katika dai lake nne, mlalamikaji ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) anadai mdaiwa wa pili (Josephine) alimshawishi mumewe (Dkt. Slaa) kuivuruga ndoa yake na mumewe ambaye ni mdaiwa wa kwanza.

"Pia, nia ya wadaiwa hao wawili ya kutaka kufunga waliyopanga ifungwe Julai 21 mwaka huu katika eneo lolote lile, ndoa hiyo ihesabike kuwa ni batili"

Aidha anaiomba mahakama iwaamuru wadaiwa wamlipe fidia ya shilingi 50,000,000 kama gharama za matunzo ya watoto watoto wawili ambao Emiliana Slaa na Linus Slaa aliyezaliwa mwaka 1987 na kwamba walianza kuishi pamoja na Dkt. Slaa kama mume na mke, ambao amekuwa akiwahudumia kwa tangu mwaka 2009 baada ya mume wake kumkimbia.

Pia anaiomba mahakama imwamuru mdaiwa wa pili (Josephine) amlipe fidia ya Shilingi 500,000,000 kwasababu alimsababishia usumbufu mkubwa na kumharibia ndoa yake.

Akaongeza kuiomba mahakama hiyo impatie nafuu nyingine ambazo itaona inafaa.

Source: wavuti.com - wavuti

[h=2]Chadema: Hatutaki siasa za maji taka[/h]

headline_bullet.jpg
Wasema wanakwenda kwa umma

Slaaaa%284%29.jpg

Mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa.

[FONT=ArialMT, sans-serif]Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakina muda na siasa za majitaka na kimefunga mjadala kuhusu ndoa ya mgombea urais kupitia chama hicho, Dk. Willibroad Slaa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Chadema ilisema mjadala na hoja zinazotolewa kuhusu suala hilo ni muendelezo wa kile kilichoelezwa kuwa ni `siasa za majitaka' kauli iliyoasisiwa na Spika wa Bunge, Samuel Sitta.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Sitta alitumia kauli hiyo kujibu mapigo ya kundi la wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kumzushia kashfa zisizokuwa na msingi.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu, alisema jana kuwa chama hicho kinakabiliwa na kazi ya kutafuta ridhaa ya wananchi, ili kishughulikie mambo yenye maslahi kwa jamii.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Tunayaangalia matatizo yanayowakabili Watanzania na kutafuta ridhaa ya kuiongoza nchi, tumefunga mjadala kuhusu suala hilo," alisema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Lissu, alisema Chadema italizungumzia suala hilo ikiwa litafikishwa mahakamani.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema chama hicho kina orodha ya uchafu na vimada wa wagombea wa urais wa vyama vingine (hakuwataja), lakini hawajawazungumzia jukwaani kwa vile hayana maslahi kwa Watanzania.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]Lissu alisema kuna mambo binafsi kadhaa ya baadhi ya wagombea urais, ikiwemo matatizo ya afya yanayojulikana chanzo chake, lakini Chadema haiwezi kuyazungumzia jukwaani ama kuyatumia kama njia ya kupata kura.[/FONT]

"[FONT=ArialMT, sans-serif]Hatutaki hata kuzungumzia ‘status' ya ukimwi kwa baadhi ya wagombea, ana wake wangapi, ana vimada wangapi...nani anakwenda nje kubadilisha damu kila miezi sita, hatutazungumzia siasa za chumbani kama wanavyotaka tufanye, kwa sababu hayatatatua matatizo tuliyonayo," alisema.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema mambo mengine yenye umuhimu kwa jamii na ambayo Chadema inawajibika kuyazungumzia ni ubadhirifu wa fedha za umma.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Lissu alisema chama hicho kitaendelea kuzungumzia mustakabali wa taifa ikiwemo wizi unaofanywa na vigogo wa serikali ikiwemo upotevu wa Sh. bilioni 772 zilizoelezwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali katika ripoti yake ya ukaguzi ya mwaka 2007/2008.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Naamini kabisa kwamba Watanzania wanahitaji kufahamu kwa nini hawapati elimu bora, kwa nini mama wajawazito wanakufa wakati wa kujifungua, kwa nini wao ni masikini wakati Tanzania ina rasilimali lukuki," alisema.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Ninaamini pia kuwa Watanzania hawako tayari kukimbilia kwenda kuangalia huo mtaro wa maji machafu…wanataka kuleta yale waliyomfanyia Mrema (Lyatonga), mwaka 1995, yale ya Frederick Sumaye na mashamba yake na yale Salim na kaka yake wa Oman," alisema.[/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]Mwaka 2005 Mrema alizushiwa kashfa ya kuzaa na kumtelekeza mwanamke aliyejulikana kwa jina la Angelina Mosha (marehemu).[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Pia aliyekuwa miongoni mwa wana-CCM waliotaka kuteuliwa kuwania urais mwaka 2005, Dk. Salim Ahmed Salim, alizushiwa kuwa mwarabu na kwamba alikuwa na ndugu zake huko Oman. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Lissu aliongeza kuwa sheria haitaji sifa za mgombea urais katika suala la ndoa "kwamba awe na wake wangapi au mke, mahawara au asiwe nao."[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema Dk. Slaa amezushiwa tuhuma hizo kwa kuwa ameonekana kuwa tishio kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Dk. Slaa ana ‘record' nzuri, amekuwa sauti kuu kwa maslahi ya taifa bungeni, sio mla rushwa, kwa hiyo wameona waingie chumbani kwake kwa sababu hawawezi kumkamata kwenye rushwa," alisema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema baadhi ya watu walizusha kwamba Chadema ni chama cha Wachaga, Dk. Slaa ametumwa na kanisa Katoliki na sasa wameamua kuingia kwenye masuala yake binafsi baada ya kukwama kwenye hoja hizo za awali.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Dk Slaa afunguliwa kesi mahakamani[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Wakati huo huo, shauri la madai limefunguliwa jana Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam na Aminiel Chediel Mahimbo, akimtaka Dk. Willibroad Slaa amlipe fidia ya Sh. bilioni moja.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mahimbo anamtuhumu Dk. Slaa ambaye ni mgombea urais kupitia Chadema, kuwa amemnyang'anya' mke, Josephine Mkatunzi Mushumbusi. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kesi hiyo ilifunguliwa jana kwa niaba ya Mahimbo na kampuni ya uwakili ya Amicus kupewa namba 122 ya mwaka 2010.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mahimbo alifafanua katika madai yake kwamba katika fedha anayodai, Sh. milioni 200 ni ya maumivu maalumu na Sh. milion 800 ni ya kufidia kitendo cha mlalamikiwa kumpunguzia hadhi na heshima mbele ya jamii.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Aidha, Mahimbo alidai kuwa, Septemba 7, 2002, alifunga ndoa ya Kikristo na mwanamke huyo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), usharika wa Kijitonyama na waliishi sehemu mbalimbali hapa Dar es Salaam ikiwemo Kimara Baruti.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alidai kwamba ndani ya ndoa yao, walifanikiwa kupata watoto wawili, Upendo aliyezaliwa Mei mosi 2003 na Preciuos aliyezaliwa Machi, 14, 2007.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Vivuli vya vyeti vya ndoa na vile vya kuzaliwa watoto hao vimeambatanishwa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Pia alidai kuwa ndoa yao bado ni halali kwa kuwa haijawahi kutenguliwa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Aidha alifafanua kuwa mwanzoni mwa mwaka huu, mkewe alianza safari za mara kwa mara, kitendo kilichosababisha asiwepo nyumbani kwao kwa muda mrefu.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mahimbo alidai kwamba aliamini kuwa safari hizo zilitokana na kuongezeka kwa shughuli za mkewe, kwani ni mfanyabiashara anaeendesha kampuni iitwayo Green World Clinic.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Aliendelea kudai kwamba, mlalamikiwa amemtambulisha Mushumbusi kama mkewe kwa tarehe na sehemu tofauti.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Vivuli vinavyoihusu habari hiyo katika magazeti mbalimbali vimeambataishwa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Pia alidai kuwa mahusiano ya kingono kati ya mlalamikiwa na mke wake yamemdhalilisha, yamemhuzunisha, yamemshushia hadhi mbele ya jamii, hivyo kupata maumivu maalum.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Chadema kumshitaki JK kwa umma[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Chadema kimeuchambua uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, uliotupilia mbali pingamizi lao dhidi ya mgombea urais wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Chama hicho kimesema uamuzi wa Tendwa umetolewa kwa misingi ya kisiasa zaidi kuliko kisheria.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Tamko hilo limetolewa na Chadema ikiwa ni siku moja baada ya Tendwa kutupilia mbali malalamiko yaliyowasilishwa katika ofisi yake na Kaimu Katibu Mkuu wa Chama hicho, John Mnyika, Agosti 30, mwaka huu.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Katika malalamiko hayo, Chadema walitaka Rais Kikwete aenguliwe katika orodha ya wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu, kwa madai ya kuvunja Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010 wakati wa kampeni za CCM zinazoendelea hivi sasa. [/FONT]

[FONT=ArialMT, sans-serif]Wakili wa Chadema Mabere Marando, alitoa tamko hilo kwa waandishi wa habari jana.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Kwa maoni yetu sisi ni kwamba, Tendwa alitoa maamuzi ya kisiasa na siyo uamuzi wa kisheria," alisema Marando, ambaye pia ni mjumbe wa timu ya kampeni za uchaguzi za chama hicho.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema Sheria ya Gharama za Uchaguzi, imempa Msajili madaraka yanayomfanya kuwa mfano wa ‘nusu mahakama', hivyo kiutaratibu anawajibika kufuata misingi ya kubadilishana malalamiko kabla hajatoa maamuzi yake.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kutokana na hali hiyo, alisema baada ya Chadema kuwasilisha malalamiko yao katika ofisi ya Msajili, CCM walipopeleka majibu yao, kisheria Tendwa aliwajibika kuwapelekea Chadema majibu hayo ya CCM na kuwapa fursa ya kuyajibu.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Hata hivyo, alisema mpaka jana Tendwa alikuwa hajawapelekea majibu hayo ya CCM, ambayo alisema ni haki yao kuyapata na kuyasemea chochote kama inabidi, kwa vile wao ndio waliofungua kesi kwake.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema pia, katika malalamiko yake, Chadema waliwasilisha ushahidi, CCM wakatoa majibu, lakini katika uamuzi wa Tendwa, hakuna popote panaposema kwamba CCM walipeleka ushahidi wowote kwake.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Sisi ushahidi tulioupeleka amesema katika hukumu hiyo, wameleta magazeti haya, na haya na haya. Lakini upande wa CCM, Tendwa hakusema kwamba, walijitetea kwa ushahidi huu katika kutujibu," alisema Marando.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Pia alisema katika uamuzi wake, Tendwa amefanya jambo, ambalo ni kinyume cha sheria juu ya watu wanaofanyia maamuzi malalamiko au kesi kwa kutamka kwenye uamuzi wake kuwa amejitafutia ushahidi yeye mwenyewe, aliouita "utafiti". [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema kwa jinsi wanavyomfahamu Tendwa, hawana shaka kwamba, aliomba serikali impe mambo aliyotaka kuyatumia katika uamuzi wake.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Tulijua kwamba, na Ngwilizi aliwahi kusema Jangwani kwamba, Tendwa hana ubavu wa kufanya maamuzi sahihi ya kisheria. Utafiti huu kwa kuwa hakueleza ameufanya utafiti namna gani, na tunajua ofisi ya Tendwa ilivyo, bila shaka alikwenda kwa Kikwete ili aweze kumjazia jazia sehemu, kumzibia zibia mashimo ili afikie uamuzi ambao ameufikia sasa," alisema Tendwa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema hali hiyo inathibitisha kwamba, Tendwa hakuwa na nia ya kufanya uamuzi wa kisheria tangu mapema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Marando alisema jambo lingine la msingi la kisheria, ni kwamba Tendwa amejiongezea tafsiri katika sheria ili maamuzi yake yaweze kuunga mkono CCM.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alitoa mfano wa ahadi ya Rais Kikwete katika kampeni ya ununuzi wa meli katika Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, Tendwa katika ukurasa wa 24 wa uamuzi wake alisema ahadi hiyo inatokana na ilani ya CCM.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Hata hivyo, Marando alisema kwa mujibu wa nukuu ya Tendwa, ilani ya CCM inasema: mojawapo ya ahadi zao ni ‘kuendeleza huduma za uchukuzi kwenye maziwa kwa kuimarisha Bandari za Kigoma, Mbamba Bay, Mwanza, Bukoba na Nansio' na kwamba, katika kipengele hicho, hakuna ahadi ya meli mpya katika maziwa hayo.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Lakini kwa makusudi kabisa Tendwa akapanua tafsiri ya maneno ‘uchukuzi kwenye maziwa' ili zile ahadi za meli za Kikwete ziingie katika ahadi ya kwenye ilani ya CCM. Ni makusudi tu kama mwanasheria aweze kuibeba CCM katika kutushinda sisi," alisema Marando.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema kuhusu Sh. bilioni 5, ambazo Rais Kikwete ameahidi kukilipa Chama cha Ushirika cha Nyanza na vyama vingine vya ushirika, Marando alisema Tendwa katika ukurasa wa 23 amenukuu sehemu ya ilani ya CCM inayosema: [/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Ili kuendeleza ushirika, katika kipindi cha miaka mitano ijayo (2010-2015) CCM itaielekeza serikali kutekeleza yafuatayo: Kusimamia utekelezaji wa sheria ya vyama vya ushirika na programu mbalimbali za kuendeleza sekta ya ushirika."[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema Tendwa amechukua kipengele hicho na kukiingizia tafsiri kwamba, ilani ya CCM inamhusu Rais Kikwete kuahidi kulipa madeni ya Nyanza na kubeba madeni ya vyama vya ushirika yanayotokana na fedha za wananchi.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Kwa tafisiri hizi za Tendwa, ni kwamba ameruhusu Kikwete kutoa ahadi ambazo, kwanza hazimo katika ilani…," alisema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema katika uamuzi wake, Tendwa anasema sheria ya Gharama za Uchaguzi inayozuia kushawishi watu kumpigia kura mgombea kwa njia za hongo, ametafisiri kwamba maana ya ‘kushawishi' na ‘hongo' ni kufanya mambo hayo kisirisiri gizani. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kuhusu nyongeza ya mshahara kutoka Sh. 135,000 kima cha chini hadi sh. 235,000 iliyotangazwa na Rais Kikwete, alisema majibu ya CCM yaliyomo kwenye uamuzi wa Tendwa, yanasema serikali haijaongeza mshahara kima cha chini.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema Tendwa alikwenda mbali zaidi na kudiriki kumnukuu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Hawa Ghasia, kuunga mkono jambo hilo, wakati si kweli.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Marando alisema kutokana na hali hiyo, kuna njia mbili mbadala chini ya sheria hiyo, moja ni kwenda mahakamani hivi sasa kuomba marejeo ya maamuzi hayo ya Tendwa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Nyingine ni kufungua kesi kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kuhusu njia ya kwanza, alisema amewashauri viongozi wa Chadema kwamba kwenda mahakamani kuomba marejeo haina uhakika kama uamuzi utatoka kabla ya kampeni hazijaisha.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema hofu inatokana na hivi karibuni kushutumiwa na Jaji Mkuu, Augustino Ramadhan, kwamba hataki aongee mambo ya mahakamani nje ya mahakama.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Hivyo alisema hana uhakika kwamba, kama watapokea na kushughulikia marejeo yao haraka na Rais Kikwete aondolewe katika kampeni kabla ya Oktoba 31, mwaka huu.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kuhusu njia ya pili, alisema Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2010 inaruhusu kufungua kesi, lakini inapingana na Katiba ya nchi, ambayo inatamka kwamba, uchaguzi wa rais hauwezi kulalamikiwa mahakamani baada ya kutangazwa mshindi.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Hiyo njia pia tutaitafakari baadaye kwa sababu pia tunaweza kuamua kwamba tusi-challenge kutangazwa kwake lakini tunaweza kwenda mahakamani kuomba tamko la mahakama kwamba vitendo alivyotenda kwa mujibu wa sheria hii alipanga," alisema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Aliongeza, "tunaweza kufanya hivyo baada ya uchaguzi, lakini hiyo njia kwa sasa siwezi kuifikiria sana kwa sababu naamini Slaa atamshinda Kikwete," alisema Marando.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Tunaendelea kumshitaki katika mahakama ya umma, kuwaomba wasimpigie kura kwa sababu haaminiki," alisema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kampeni za Chadema, Profesa Mwesiga Baregu alisema kwa vile wanajivunia nguvu ya umma, mambo yote hayo wanayarudisha kwao.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Chadema ilidai kwamba Rais Kikwete akitumia nafasi yake ya urais, aliongeza au kuahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa kupandisha kima cha chini kutoka Sh. 135,000 hadi Sh. 235,000.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Pia aliahidi kulipa Chama cha Ushirika cha Nyanza Sh. bilioni 5 ili kilipe madeni ambayo kinadaiwa na kuahidi kuwa serikali itachukua madeni yote ya vyama vya ushirika.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Pia, Rais Kikwete aliahidi watu wa mkoa wa Kagera kununu meli mpya kubwa na ya kisasa zaidi itakayotumiwa na wananchi wa mkoa huo na wengineo kusafiri kati ya Bukoba na Mwanza.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Chadema ilidai kuwa vitendo hivyo vimekatazwa na Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa madai kwamba vilikuwa na nia ya kushawishi wafanyakazi kama wapigakura kumpigia kura Rais Kikwete kutokana na nyongeza hiyo ya mishahara, kushawishi wananchi wa kagera na Mwanza wanaotumia usafiri wa meli katika Ziwa Victoria kumpigia kura.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Habari hii imeandikwa na Restuta James na Elisante John, Singida na Muhibu Said na Raphael Kibiriti wa SJMC, Dar es Salaam.[/FONT]

SOURCE: NIPASHE
 
Ritz hebu tujadili mustakabali wanchi yetu.. Hayo mambo ya slaa ni too person; hata ww au mm tunayo ya kwetu...

Naomba kukuulza hivi wanachofanya waislamu wenzako , kuchoma makanisa, kuua na kutishia maisha viongoz wa dini nyngne ni sahihi?
hatokaa akujibu!
 
Naanza kuamini sasa mtu akikwambia wewe "Muslim" ni tusi baya sana...na kwa tafsiri fupi ni
1.Mtu mpuuzi tu usiyeweza kutumia akili yake bali za kuambiwa bin kushikiwa na kina Shekhe Ponda and kina Farid
2.Mtu usiye na chembe ya utu, kwakua kuua ni sehemu ya ibada
3.Mtu asiyeweza kujadili hoja bali ni mtu wa jazba na ni sawa na hayawani wengine kama mbwa, mbuzi, kondoo na nguruwe
4.Ni mwizi tu, kwa maana ya kwamba anaweza kuingia kwenye nyumba za ibada na kufanya uharifu wa jinsi hiyo
5.Upeo mdogo kwani hawezi ku relate na ku-link vitu vidogo tu kuweza kupata connection mfano wa mtoa mada na baadhi ya wachangiaji.
6.Aibu siyo issue kwao kwani ni mtu anayeweza kuingia mtaani na ku chant kama mwendawazimu
7.Ni mtu asiyejitambua kwa maana ya kwamba hata anachodai kupigania hakitambui vyema bali ni mikumbo ya kipumbavu
8.Hawezi kutofautisha kati ya kudai haki na kuvunja sheria......maandamano yasiyo na msingi
9.Umoja kwake ni tusi, kwani hata miongoni mwao hawaelewani, mara huyu anadai Bakwata huyu anadai Uamsho...hivyo kiu kinachoitwa amani kwake ni tusi kubwa mno
10.Hana kazi za kumfanya ae busy kiasi cha kupata muda mwingi kutafuta mawe, matairi, na kila aina ya takataka kwa ajili ya kuchoma mioto na kupambana na vyombo vya dola.

Mod: Kama ume mind post yangu nipige ban tu hakuna tatizo lakini huu nio mtazamo wangu juu ya hawa wapuuzi...nasema tena wapuuzi na wajinga tu......huwezi shabikia upuuzi wa namna hii ukawa na akili timamu.

kwa hiyo unataka kusema ndivo alivo RITZ aliyeweka thread hii??
 
Back
Top Bottom