Pingamizi la Dr Slaa dhidi ya Rose Kamili lakataliwa mahakamani

Himself Ritz i text him while driving.... alikimbia magomeni, kidongo chekundu, yy mwenyewe kasema ni genge la wahuni ni waislam fake, shekh wa Dar kasema ni wahuni..... So ni waislam wahuni tu ndio wabasumbua.... DAWA KUWAUA.... piga pigaaa shaba.... no joke.... mtu mzima hatishiwi bunduki.... Ukifanya ka Zanzibar 2000 nakwambia hutasikia WAHUNI KAMA HAWA WANATUCHOMEA MAKANIASA, ofisi ya ccm, kusumbua serikali.... Wangeshoot wooote..... saa hizi kimyaaa...

''MBONA HAKUNA VIFOOOOO..... kumbe ni mbio za kawaida tu hata marathon zipo.... Tired hakuna waislam walio uawa sina RAHA...'' by Mr. President JF

Mkuu Riz kweli wewe unaacha haya mambo yanapita huko, unayadili ndoa za watu, kweli ''ustaadhi''
 
Mkuu dogo hili? huyu ni rais wetu wa mwaka 2015 sasa unadhani atagombea vipi bila kuwa na mke mmoja.
 
usiishie hapo, Je wanandoa wakitengana miaka2 na zaidi??? katafute sheria inasemaje ndio ujue utamu ukoje

Duuhh...!!! Asante ungesema i didn't think on other side of it...
Itakuwaje... Help...!!!!
 
Mkuu haya ni masuala ya kisheria hayataki kulazimisha sheria ni taaluma Jaji Laurnce Kaduri ni msomi aliyebobea hawezi kukurupuka kutoa hukumu.

Kanisa lililoridhia ndoa yake ifungwe kadiri ya sheria zao lilikosea?

Kuna hati zo zote zinazothibitisha ndoa hiyo kufungwa au la?
Je, ndoa anayoisema huyo Rose inatalikika au la? Na kama inatalikika ni chombo gani kisheria chenye madaraka ya kuitaliki ndoa isiyo na hati, maana kifungo cha wanandoa ni hati zao za ndoa.
Kwa utaratibu huu wote wanaoishi bf/gf kwa muda mrefu ni wanandoa?

Sheria za Tanzania za kishikaji kwa sababu zifuatazo:
Nchi nyingi baadhi ya watu hawapendi kufunga ndoa badala yake kuishi tu kama marafiki huku wakiishi pamoja na kuzaa watoto, mantiki yake ni kwamba waku huru kuachana wakati wo wote kwa vile hawafungwi na kiapo cha ndoa ambacho hati yake huwepo serikalini. Kinachotakiwa ambacho hawa wawili hawawezi kukwepa ni matunzo ya watoto.

Hii ya kwamba hawakufunga ndoa ila waliishi pamoja wengi wanafanya hata RITZ ni mojawapo lakini ni ndoa ya dhana isiyo na hati kisheria.

Je, ndoa ya dhana na ndoa ya hati zina uzito sawa? Nini tofauti ya ndoa ya dhana na ndoa ya hati? Ndoa ya dhana ni maridhio ya wawili kuishi pamoja pengine kwa kushirikisha wanandugu kutambua maridhio yao, lakini kisheria ndoa kamili ifungwe kihalali ina hati ambaho huwakilishwa serikalini.

Je, Rozi na Dr. Slaa kuna hati yo yote inayoonyesha walikuwa wanandoa au ni shinikizo la Dr. Slaa? Pengine Rose ndiye aliyemkimbia Dr. Slaa. Kama Rose alikuwa anaishi na Dr. Slaa ndani ya nyumba anayodai iko Mikocheni ikukuwaje aondoke na nyumba ije kutamalakiwa na mwingine? Yeye alikuwa wapi hati Mshumbuzi anatamalaki nyumbwa wakati Rose na watoto wake wakiwamo ndani?
 
Halafu mm nachojua.... Rose ajitahidi atafute mwanaume mwingine tu.... Ila watoto Dr. Slaa atawatunza.... Maana mwanaume kama humpendi mwanamke HAISIMAMI NG'O.... So no tendo la NDOA, no ndoa....this is biblical..
 
Mkuu dogo hili? huyu ni rais wetu wa mwaka 2015 sasa unadhani atagombea vipi bila kuwa na mke mmoja.

Mkuu tuweke record vizuri, ivi JK aliingia akiwa na idadi nzuri ya wake kiasi gani, kama ni dini inaruhusu, kwa nini hawa huwa mnawaficha-ficha, halafu hivi vichuchu vi-DC unavizungumziaje
 
Tangu lini Rose Kamili amekuwa mama yako? kwa hiyo unamkana mama yako na kuomba kuwa mtoto wa kambo wa Rose Kamili? Yani kweli wewe jamaa ni akili tope kweli kweli.

Nampa sifa ya mama kama mwanamke ndio malezi yangu mkuu, mama sio aliyenizaa tu, wewe unavyomuita Mwl Nyerere baba wa taifa ni baba yako mzazi.
 
Mmbo ya ndoa ni very complicated,the two have answers but Rose Kamili hana sababu za kulazimisha mahusiano na mtu asiye kutaka hata kama wamezaa,hapo hajaonesha kuwa alimuhitaji Dr.Slaa ili walee familia bali yupo kwa kazi maalumu,kitu ambacho kinatoa picha kwamba si mtu mwema kama anvyotaka watz tuamini.
 
Halafu mm nachojua.... Rose ajitahidi atafute mwanaume mwingine tu.... Ila watoto Dr. Slaa atawatunza.... Maana mwanaume kama humpendi mwanamke HAISIMAMI NG'O.... So no tendo la NDOA, no ndoa....this is biblical..

kwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiii
mwanaume habakwi
 
Kanisa lililoridhia ndoa yake ifungwe kadiri ya sheria zao lilikosea?

Kuna hati zo zote zinazothibitisha ndoa hiyo kufungwa au la?
Je, ndoa anayoisema huyo Rose inatalikika au la? Na kama inatalikika ni chombo gani kisheria chenye madaraka ya kuitaliki ndoa isiyo na hati, maana kifungo cha wanandoa ni hati zao za ndoa.
Kwa utaratibu huu wote wanaoishi bf/gf kwa muda mrefu ni wanandoa?

Sheria za Tanzania za kishikaji kwa sababu zifuatazo:
Nchi nyingi baadhi ya watu hawapendi kufunga ndoa badala yake kuishi tu kama marafiki huku wakiishi pamoja na kuzaa watoto, mantiki yake ni kwamba waku huru kuachana wakati wo wote kwa vile hawafungwi na kiapo cha ndoa ambacho hati yake huwepo serikalini. Kinachotakiwa ambacho hawa wawili hawawezi kukwepa ni matunzo ya watoto.

Hii ya kwamba hawakufunga ndoa ila waliishi pamoja wengi wanafanya hata RITZ ni mojawapo lakini ni ndoa ya dhana isiyo na hati kisheria.

Je, ndoa ya dhana na ndoa ya hati zina uzito sawa? Nini tofauti ya ndoa ya dhana na ndoa ya hati? Ndoa ya dhana ni maridhio ya wawili kuishi pamoja pengine kwa kushirikisha wanandugu kutambua maridhio yao, lakini kisheria ndoa kamili ifungwe kihalali ina hati ambaho huwakilishwa serikalini.

Je, Rozi na Dr. Slaa kuna hati yo yote inayoonyesha walikuwa wanandoa au ni shinikizo la Dr. Slaa? Pengine Rose ndiye aliyemkimbia Dr. Slaa. Kama Rose alikuwa anaishi na Dr. Slaa ndani ya nyumba anayodai iko Mikocheni ikukuwaje aondoke na nyumba ije kutamalakiwa na mwingine? Yeye alikuwa wapi hati Mshumbuzi anatamalaki nyumbwa wakati Rose na watoto wake wakiwamo ndani?

Mkuu sasa mtafanyaje na Jaji ndio kaishatoa hukumu.
 
Halafu mm nachojua.... Rose ajitahidi atafute mwanaume mwingine tu.... Ila watoto Dr. Slaa atawatunza.... Maana mwanaume kama humpendi mwanamke HAISIMAMI NG'O.... So no tendo la NDOA, no ndoa....this is biblical..

Tatizo la sheria nyingi za Tanzania utaona kuna mahala zinakinzana, na hivyo kutoa mwanya au upenyo wa kuteleza, ndoi hili la ndoa ya Rose Kamili na Dr. Slaa. Kuna kitambulisho gani kisheria chenye kuthibitisha ndoa, maama kadiri ya sheria za Tanzania mamlaka zote za kufungisha ndoa lazima ziwakilishe nakala za hati za ndoa serikalini, maana kama ni dhana ya wawili kuishi pamoja haijatokea kulazimishwa kufunga ndoa kwa sababu kama zifuatazo:
Ndoa ya kikristo katika Kanisa Katoliki mwumini lazima akiri mbele ya mfungishaji, mashahidi na wahudhuriaji kwamba ameridhia ndoa hiyo kwa ridhaa ya moyo wake mwenyewe bila shinikizo la aina yo yote.
Je, ni utaratibu upi serikalini ulioainisha kuhusu ndoa za mkeka zitokanazo na hawiili kuishi pamoja zaidi ya miaka miwili?
Kuitambua kama ndoa kwa wawili hao ni lazima wote wakubaliani au mmoja anaweza kushinikiza kwamba ni ndoa?
 
Mkuu sasa mtafanyaje na Jaji ndio kaishatoa hukumu.

Jaji hatatoa hukumu, amesitisha ombi la upande wa mlalamikaji kwamba kesi iendelee, hukumu ni baada ya kesi kuisha, ndio maana imepangiwa siku ya kuanza kutajwa. Inawezekana Ritz ukawa na tamko la kiwango hiki? Ndivyo nilivyoelewa, katika mienendo ya kesi kuna kuangalia kama kesi iliyofunguliwa ina mantiki ya mahakama kushughulikia au, na sasa mahakama imeona upo umuhimu wa kufanya hivyo.

Nikuulize swali moja?
Ndoa anayosema Rose Kamili inatalikika? Kwa utaratibu upi kisheria?
 
Nampa sifa ya mama kama mwanamke ndio malezi yangu mkuu, mama sio aliyenizaa tu, wewe unavyomuita Mwl Nyerere baba wa taifa ni baba yako mzazi.

Kichwa nazi wewe naona mabomu yamekuharibu akili kidogo uliyokuwa nayo.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya neno baba wa Taifa na mama yetu kama unavyomuita Rose Kamili.
 
Nampa sifa ya mama kama mwanamke ndio malezi yangu mkuu, mama sio aliyenizaa tu, wewe unavyomuita Mwl Nyerere baba wa taifa ni baba yako mzazi.

Inaelekea huyu mama yako ni mpumbavu......
Kwa imani yake toka kwenye biblia imeandikwa "Mwanamke mpumbavu huiboma nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"
Wanawake wa ukweli hawaachwi na hata wakiachwa hawawi ving'ang'anizi walikokataliwa weweee
 
Yaani hawa wanaaibishana....

Wanngerudi Hanang kwa wazee wao Wairaq wakae chini na hatimae waachane KILA MTU KIVYAKE.... SASA HAPA KINACHOENDELEA NI JUST TO SCORE POLITICAL POINTS.... & it really matters for Dr. Slaa's political rivals....
Rose anakosa busara kidogo.... Yy kama Dr. Slaa atatunza wanae 2 akae kimya.... Amtafute mwanaume mwingine.... IN REALITY UNAFIKIRI HAKUNA ANAYEMKULA ROSE THIS TIME... yupo... Tena anamkuna vizuri tu.... atulie ...

Tatizo la sheria nyingi za Tanzania utaona kuna mahala zinakinzana, na hivyo kutoa mwanya au upenyo wa kuteleza, ndoi hili la ndoa ya Rose Kamili na Dr. Slaa. Kuna kitambulisho gani kisheria chenye kuthibitisha ndoa, maama kadiri ya sheria za Tanzania mamlaka zote za kufungisha ndoa lazima ziwakilishe nakala za hati za ndoa serikalini, maana kama ni dhana ya wawili kuishi pamoja haijatokea kulazimishwa kufunga ndoa kwa sababu kama zifuatazo:
Ndoa ya kikristo katika Kanisa Katoliki mwumini lazima akiri mbele ya mfungishaji, mashahidi na wahudhuriaji kwamba ameridhia ndoa hiyo kwa ridhaa ya moyo wake mwenyewe bila shinikizo la aina yo yote.
Je, ni utaratibu upi serikalini ulioainisha kuhusu ndoa za mkeka zitokanazo na hawiili kuishi pamoja zaidi ya miaka miwili?
Kuitambua kama ndoa kwa wawili hao ni lazima wote wakubaliani au mmoja anaweza kushinikiza kwamba ni ndoa?
 
Rose anahoja kwenye madai yake baadhi na zaidi kutangazwa kuwa mke halali wa Dr. Slaa, a wife by default. Lakini hana haki ya kumzuia Dr. Slaa kuoa mke mwingine kwani default marriage zinakosa supporting document ikiwemo inayosema ndoa ni ya mke mmoja au wengi. Wangefunga ya kanisani madai yake ya kumkataza Slaa kuoa yangeleta maana. Na madai yake dhidi ya Josephine ni dhaifu. Suala la nia yake Josephine naomba wenzangu tusiliangalie kisiasa hili suala tuliangalie kijamii zaidi hata ungekuwa wewe Josephine si ungepigania ndoa yako ukizingatia ufirst lady unanukia weeeeeeeee
 
Kinachosikitisha zaidi ni kitendo cha Slaa kutokuwatunza watoto wake aliowazaa kwa sababu ya kulewa mapenzi!!!
Ndio maana mtoto wake mkubwa ana miaka 25 lakini hamuungi mkono baba yake...
 
Back
Top Bottom