Pinda Watanzania hawataki kujua wewe mtoto wa nani , fanya kazi period !!

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Nimekuwa nikimsikia Pinda na kauli mbiu yake kuwa yeye ni mtoto wa mkulima na akiwa akifanya vitu ambavyo binafsi naona kama vile mama theresa anavifanya sio mtendaji wa serikali. Pinda ajue watanzania hatuko interested kujua wazazi wa kiongozi ni wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, wafanyakazi n.k tunachotaka kuona ni kiongozi anayetenda kazi na kufanya maamuzi yenye manufaa kwa watu.
Nawakilisha !
 
"...kama ni suala la meremeta niko radhi mniweke msalabani lakini ...'' Je unayakumbuka haya maneno? je mtoto wa mkulima ni slogan au it just happened kazaliwa na wakulima/
 
Pinda ni chekibobu tu. Sijaona utendaji wake. Nasema kwa dhati kabisa. Bora Lowasa alikuwa akiuma na kupuliza
 
Pinda ni chekibobu tu. Sijaona utendaji wake. Nasema kwa dhati kabisa. Bora Lowasa alikuwa akiuma na kupuliza

Na hutouona madhali wewe ni shabiki wa EL ambaye alikuwa akiuma tuu hakuna kupuliza kama unavyomshabikia (tunayaona ya Richmond!). Angalau yeye hakujilimbikizia hata mimali na angekuwa nazo hizo mali mungekwisha mkaanga.
 
mh! Sijawahi kusema namfagilia huyu mamvi. Pinda yuko vuguvugu sana. Waweza niambia kafanya nini serikalini?
 
Pinda ni kichekesho ni Watanzania wangapi ambao babu zao walikuwa wakulima!!!
 
Asilimia 90% ya viongozi wa serikali wanaweza kuwa ni watoto wa wakulima sasa si ajabu kwa pinda. Kweli ni bora mara mia ya lowasa alikuwa anachapa kazi kuliko huyu ambaye ameacha watu wanaiba harafu anachekelea tu eti hataki gari la mil. ngapi hizo. Act as a leader kama kweli unamaanisha.
 
Nimekuwa nikimsikia Pinda na kauli mbiu yake kuwa yeye ni mtoto wa mkulima na akiwa akifanya vitu ambavyo binafsi naona kama vile mama theresa anavifanya sio mtendaji wa serikali. Pinda ajue watanzania hatuko interested kujua wazazi wa kiongozi ni wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, wafanyakazi n.k tunachotaka kuona ni kiongozi anayetenda kazi na kufanya maamuzi yenye manufaa kwa watu.
Nawakilisha !

Amekuwa mkimya sana nay ehadi anatia kichefuchefu!! Naelewa EL ana issues lakini ki-utendaji yule jamaa alikuwa na personality na alikuwa anaogopewa sana!! Hata FS naye pia kamzidi...!! Ukiangalia waliomtangulia mfano EMS, CDM, JSW, JSM, FTS, EL wote hao walikuwa "wachangamfu" kuliko huyu mtoto wa mkulima!!
Naunga mkono hoja; PINDA ACHA UKULIMA, FANYA KAZI ULIYOKABIDHIWA NA WANANCHI!!
 
Absolutely!Pinda anatia huruma, mfano eti kakataa shangingi alilopewa hivi punde halafu hajafanya lolote kuzuia watendaji na mawaziri wenzie kuendesha magari hayo. Huyu bwana ni mwoga sana, bora Lowasa kwa habari ya kufanya maamzi magumu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom