Pinda unaheshimika sana katika TZ usimuige Makamba,mshauri Bosi wako JK kuhusu kukata

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Mh.Pinga alikejeli kitendo cha Wabunge wa Chadema kutoka nje wakati Rais akihutubia kwa kusema ni geresha na kuwa wameenda kuangalia kwenye luninga.Mh.Pinda hivi nyumbani kwako ukamuudhi mwanao akasusa vitu fulani hatakama hawezi kukuchukulia hatua yoyote unamdharau au unatafuta muafaka?Mshauri Bosi wako JK akae na Chadema kutatua tatizo au hadi watu wauliwe kama ilivyotakea Zanzibar au Kenya?
 
Na asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke mnayemtuhumu kuwa mzinzi....wale wote wakaondoka kimyakimya...pindaaa...angalia naona unakuwa wa kwanza kumrushia jiwe mtuhumiwa wa mkosefu as if wewe ni msafi
 
MASAHIHISHO:pinda unaheshimika sana katika TZ usimuige Makamba,mshauri Bosi wako JK kuhusu kukataliwa.
 
Back
Top Bottom