Pinda - Uchumi unashuka hebu angalia takwimu hizi ...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda - Uchumi unashuka hebu angalia takwimu hizi ......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Mar 2, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mshahara wangu umepanda kwa asilimia 12 kuanzia mwezi January mwaka huu, bei za bidhaa mbali mbali ni kama ifuatavyo:
  View attachment 24175 Jul-10 Feb-11 Ongezeko %
  Mchele 1,100 1,750 650 59%
  Mafuta ya kupikia (Korie 10l) 16,500 26,000 9,500 58%
  Gesi ya kupikia - 15kgs 37,000 45,000 8,000 22%
  Maji (Dawasco) - 1M3 650 820 170 26%
  Diesel 1,500 1,800 300 20%
  Maji ya kunywa (Uhai 1l) 500 600 100 20%

  Mheshimiwa waziri mkuu, unaposema uchumi umepanda unamaanisha nini?? Kwangu mimi uchumi wangu uchumi umeshuka (in material forms) kama nilikuwa nalipwa laki 5 July 2010 na nikapata nyongeza ya 12% ina maana sasa niko masikini zaidi kuliko July 2010 kwa sababu sasa nanunu vitu vichache zaidi kuliko nilivyokuwa nafanya miezi 8 iliyopita na bei zinaendelea kupanda kila siku
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pinda anazungumzia uchumi wake mwenyewe na hao wachache waliomzunguka. Kwa kakundi hako ka wateule wachache, uchumi wao umekuwa ukipaa
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Inflation stats
   

  Attached Files:

 4. d

  dotto JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  betri National Special toka Tzs.350/= @ (Dec2010) hadi Tzs.700/= (Feb 2011) na........
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kweli?
  Nina miaka kama 6hivi sija nunua betri,ila nakumbuka enzi zile zilikuwa 200 @betri
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mkuu unapozungumzia masuala ya mfumuko wa bei unaiharibu kabisa siku yangu. Hili suala lipo serious kuliko wanavyolichukulia hawa wanasiasa. Mimi nimeguswa sana na hali ya uchumi wa sasa maana mshahara wangu ulikuwa unaniwezesha kughalamia mahitaji ya msingi tu (basic needs) kutokana na mfumuko wa bei nimeanza natafuta ndani ya basic needs ni kipi nikitoe. Hebu fikiria kama imefika mahala nasitisha manunuzi ya sukari kwa kigezo kwamba siyo hitaji la msingi, hivi unategemea heshima ndani ya nyumba inaelekea wapi?
   
 7. m

  mukwano Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watavunja nyumba za watu hawa jamaa, na anendelea kutoa taarifa za uongo sisi tunakaa kimya tuu!!!!!!!!! CDM wakisema eti watasababisha uvunjifu wa amani. Hivi ni nani anasababisha uvunjifu wa amani kuliko yule anayekupunguzia mahitaji ya msingi?????????
  Anaye kunyima kula huyo ni adui kuliko adui mwingine yeyote yule, watu wanaishi kwa taabu na shida hadi kwenye nyumba unasema eti kuna amani?????

   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Pedi(freestyle) 1,500 2,000 33.3%
   
 9. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pole mkuu, unajua hawa wanasiasa wanatuchezea akili kwa takwimu za kuzimu, sijui wanazitoa wapi?
   
 10. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hii inaweza ikaonekana kama utani lakini hili ni hitaji la mhimu zaidi ya sabuni ya kuogea na inapopanda bei kwa zaidi ya 30% halafu wanatuambia uchumi umepanda ni kututukana kirejareja
   
 11. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,304
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  pinda anavuta bangi, lazima.
   
 12. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,260
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Ashazoea kusema uongo huyo pinda ana sura ya kikulima kumbe muongo balaa ukitaka kumsikia utadhani unamuangalia kiongozi aliye serious na anamaanisha kile anachokisema kumbe ndita zake ni za usanii anawaza mengine! Unajua mi huwa namlaumu sana pinda maana najua mkwere ni mtu wa kujichekesha panapo hata majanga! Lakini huyu pinda ukimuangalia usoni unasema mmh huyu kiongozi anapozungumzia rushwa kweli anamaanisha, kumbe laah zile ndita na hudhuni aongeapo nh usanii mtupu! Waziri mkuu anakuwa anadanganya mpaka bungeni!
   
 13. MANI

  MANI Platinum Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Na ndio maana wanataka mitambo ya dowans iwashwe ili mapato yaongezeke.
   
 14. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanasiasa na viongozi wengi wanafurahia maisha magumu ili tuwaonane babu kuwa wakitanua kwa sababu ya ufisadi. noma kweli.
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hili umesababisha mwenyewe kutokana na msimamo wako usio na maana , ona hili SIMTAMBUI JK KAMA NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
   
 16. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  None sense argument, leta hoja yenye mashiko !
   
 17. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Serikalini - the more they spend the economy growth.
   
 18. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Zikivunjika wasaidizi tupo hapa na kuwapa watakacho !
   
Loading...