PINDA: Uchaguzi wa Meya Arusha halali haustahili kurudiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PINDA: Uchaguzi wa Meya Arusha halali haustahili kurudiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wambugani, Jan 27, 2011.

 1. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda amesisitiza, Uchaguzi wa Meya na Naibu Meya kwa Jiji la Arusha ni halali na haustahili kurudiwa.

  Kwa mujibu wa Kamati Kuu ya CCM, uamuzi wao ulikuwa uchaguzi umefanyika kihalali, kwa hiyo wanaosema uchaguzi huo haukuwa halali ama hawajui sheria au wanajiingiza tu katika ushabiki wa kisiasa.

  Je Madiwani wa CHADEMA, wataenda Mahakamani?
   
 2. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hii habari ni ya lini?
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  je..? naibu meya aliyejiuzulu.... itakuwaje
   
 4. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  source please???
   
 5. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Kama hiyo habari nikweli basi watakutana na nguvu ya umma.
   
 6. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,159
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Mahakama ya nini? Ni kutumia nguvu ya uma au kanuni za Baraza la madiwani kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae. :boom:
   
 7. b

  bulunga JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
   
 8. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  kwa mujibu wa NEC ya CCM wanasema uchaguzi wa ARUSHA ni halali na CDM wanaokataa hawaelewi sheria kwani hata ule wa HAI ulikuwa ni kama wa Arusha.
  kule hai inasemekana CDM waliwaingiza akina Lucy Owenya na Kiwelu ili wapate kura za kutosha kuchukua halmashauri sasa kwanini kosa liwe kwa CCM na si CDM?

  WAKONGWE WA SHERIA na wafuatiliaji mnasemaje kwa hili maana sie wengine tupo gizani
   
Loading...