Pinda (PM) If you don’t know where you are going, any road will get you there! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda (PM) If you don’t know where you are going, any road will get you there!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shykwanza, Feb 15, 2012.

 1. s

  shykwanza Senior Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toa maoni juu ya statement hii kwa kurejea maaumuzi na maagizo mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda. e.g kilimo kwanza, kupiga marufuku ununuzi wa mashangingi (Magari ya kifahari), ununuzi wa thamani za kichina, mgomo wa Madaktari na maamuzi yake, sakata la David Jairo bungeni na maaumuzi ya Pinda, kauli ya pinda juu ya posho mpya za wabunge nk.
   
 2. R

  RUTARE Senior Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo red ni nini? au ulimaanisha samani?
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  pinda kapindishwa, anything can be done to the silly mtoto wa mkulima...too weak to be a pm.
   
 4. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Shykwanza mbona unatumia signature yangu bila kunilipa royalities?
  Lakini hali unayoiona kwa mtoto wa mkulima ndio hali halisi ya muelekeo wa nji hii kwa siku hizi.
   
Loading...