Tunaoifahamu kidogo Katiba ya JMT ya sasa hakuna namna WM Pinda anaweza kujiuzulu au hata Rais kutengua uteuzi wake kwani Bunge linakutana tena mwezi May mwakani.Mwambieni Slaa na Mbowe wajiuzuru kwanza ndio pinda afuate wajinga nyie
Dah, mkuu una hasira naye kweli kweli!!!!Ningependa aende kuzimu tu kwani ni zigo la matapishi kwenye gunia.
Hata Nchimbi tulisubiri sana ila wakamuonea mchapa kazi wetu
Huyu Pinda kama ni msafi na mpenda uchapa kazi alipaswa kujiuzulu miaka mitatu iliyopita kama kukaa mbali na utawala ambao unalalamikiwa na hata na chama tawala chenyewe!!
Mabaraza yanavunjwa kwa kashifa,waziri mkuu yupo,anapinga matumizi ya mashangingi wakati waziri Mkuu nae ana mashangingi,analia bungeni,Mara uwaziri Mkuu ni msalaba,mara siwezi kufanya maamuzi kwani raisi hayupo(sakata la Jairo),huyu ni waziri Mkuu au secretary??!!
Pinda utasemwa bungeni na kupigiwa kura mara ngapi za kutishiwa kufukuzwa uwaziri ili uone una pwaya na kudharaulika?? Hadi wakina Machali??!! Kweli Pinda ni waziri Mkuu wa kwanza mwenye MIZENGWE ILIYOPINDA HASWAA!!!
Merry Christmas & happy New mtoto wa Mkulima mjomba wa mafisadi!!
Mkuu, madaraka ni kma mtego. ukishakuwa nayo na ikatokea kuwa umechoka utakabiliwa na hali kuu mbili au tatu:Alisema uwaziri.mkuu ni mzigo,sasa nani amtue?ndio maana amekwenda nyumbani kwa wazazi wake labda wazazi wake watamsaidia kumtua,wakishindwa basi aubebe mpaka imuangushe,kwani mzigo huo anaoangaika nao,aliubeba mwenyewe au alibebeshwa?basi atafakari mwenyewe? atautuaje.
sasa MJINGA ni nani mkuu? Pinda alieshindwa kumudu nafasasi aliyopewa au kina Nchimbi na Nahodha waliokwenda kuua na kubaka wananchi wetu kwa kisingizio cha operesheni TOKOMEZA? Tafakari chukua hatua!Mwambieni Slaa na Mbowe wajiuzuru kwanza ndio pinda afuate wajinga nyie
Ningependa aende kuzimu tu kwani ni zigo la matapishi kwenye gunia.
Kakobe njaa inamsumbua
Huyu Kakobe naye!
Dr Slaa alipotuhumiwa kula ruzuku kwa "kujikopesha" alijiuzuru wajamani?Muungwana Erythrocyte.... tatizo sio Waziri Mkuu...tatizo ni mfumo SERIKALINI....uliodumu kwa zaidi ya miaka 50.
W/mkuu hana ubavu wa kuuvunja ikiwa RAIS anaukumbatia. Mf. Operesheni umesimamiwa na Ofisi ya Mkuu wa Majeshi ambaye ni Swahiba wa Rais...kila kitu kilikuwa kinajulikana ndani ya Ofis ya Rais.... Rais hawezi kumkemea kwa sababu wemeteuana Kindugu na Ki-kazi zaidi.
W/Mkuu anatamani kuwashikisha adabu Watumishi wengi...lakini Rais anakataa.
Ni kweli W/Mkuu ni dhaifu...lakini MFUMO Serikalini uliodumu kwa miaka 50 umechangia sana.
Kiungwana tu...W/Mkuu angeachia ngazi siku ile bungeni....lakini HAWEZI kwa kuwa RAIS yuko USA. Anamwachia nani Serikali wakati Mkuu wa Nchi HAYUPO.
Suluhisho ni Rais SHUJAA na mwenye busara ili kuvunja MFUMO na kutomonea haya Mtendaji yoyote akivuruga.
Ni mtazamo wangu.
Shut up your mouth locust.Dr Slaa alipotuhumiwa kula ruzuku kwa "kujikopesha" alijiuzuru wajamani?
Tena hiyo ilikuwa 1st degree crime na si third party responsibility ya kuwajibika.
Hebu tupatieni udadavuzi hapo!
Shut up your mouth locust.