Pinda: Nikila rushwa Mungu aniue!

Inawezekana kabisa yeye asiwe fisadi, hilo ndio tunategemea kutoka kwake. Lakini ingekuwa ni jambo la busara sana kama angeapa kuwakamata mafisadi wote na kung'oa mzizi wa fitina!
 
hayo mambo huwa yanasemwa sana na viongozi wanaoingia madarakani.Ni mifano kama miwili,wakati raisi kikwte anaingia madarakani alianza kwa kasi sana na mikwara mingi ila alipozoea aliendelea kuwa sehemu ya jamii ya rushwa ya chama cha mapinduzi.Yeye kama mwenyekiti wa baraza la mawaziri na mkuu wa nchi na serikali,haiwezakani lowasa akakiuka maamuzi ya baraza la mawaziri halafu yeye asijue kwani utendaji wote wa serikali hupelekwa pale.Pili Lowassa aliingia kwa mikwara kiasi cha kuwafukuza watu kazi kumbe yeye ni bonge la fisadi.
TUMUOMBEE NDUGU PINNDA ILI ASIWE FISADI
 
asipokula Yeye Kuna Malowassa Wengi Tu Wamebaki Serikalinikwa Hiyo Atabaki Na Maisha Yake Uku Watu Wanakula Pesa Swala Wajisafishe Toka Chini,,ufisadi Uko Kuanzia Kata
gday
Kwa kuwa kiranja (MKPP)mwenyewe kakataa kupiga kelele tuamini darasa zima halitapiga kelele, atakaye piga kelele anaandikwa jina Mwalimu (JMK)akija viboko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom