Pinda ni waziri mkuu wa awamu ipi?


QUALITY

QUALITY

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
854
Likes
2
Points
0
QUALITY

QUALITY

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
854 2 0
Leo katika gazeti la Mwananchi kuna picha ya Pinda na ameandikwa kuwa ni waziri Mkuu. sasa swali langu ni kuwa yeye ni waziri mkuu wa awamu ipi? Iliyopita au ijayo? Cha kushangaza ni kuwa baraza la mawaziri halikuvunjwa mpaka sasa lipo!! Lakini je na Masha naye bado ni waziri wa mambo ya ndani huku akiwa si mbunge? Au Jk alichanganyikiwa au kusahau kuvunja baraza ili ajiandae kuunda jingine? Au ni kosa la uchapaji wa mwandishi wa gazeti hilo?

Hebu tuwekane sawa.
 

Forum statistics

Threads 1,236,965
Members 475,327
Posts 29,274,893