Pinda ni Mzigo

KITANGE

Senior Member
Apr 12, 2013
138
42
David Kafulila muda huu kasema wale mawaziri waliotajwa ndio mzigo peke yao, kiongozi wao ni Waziri mkuu maana mawaziri hawamheshimu ndio maana leo wapo kama sita bungeni. Ni sawa kabisa Pinda ni mzigo hafit nafasi hiyo amechoka anapwaya.
 
Hivi nini kazi ya waziri mkuu kwenye nji hii ya wadanganyika km laweza tokea jambo akasema hawezi chukua maamuzi mpaka rais awepo? Naomba mnijuze kiujumla sijui anasimamia wapi mbunge yeye waziri yeye mjumbe nec yeye hata china hiyo haipo
 
Kangi Lugola (Mwibara) - CCM, naye amesema;- kuwa Waziri Mkuu ni mzigo! Na anaongeza kuwa Pinda afukuzwe, Ghasia naye afukuzwe! Waziri Mkuu anaendesha wizara yake kama Vikoba au Saccos! Watumishi ndani ya Tamisemi, mwezi mmoja tangu waajiriwe wanajenga magorofa!

Anamshauri rais amtimue waziri mkuu, amtimue Hawa Ghasia kwa wizi mkubwa wa fedha za umma ndani ya wizara ya Tamisemi! Mtumishi anaiba anabadilishwa eneo la kufanya kazi!
 
Back
Top Bottom