Pinda ni mtego kutupata wakulima na masikini wakati na yeye ni kafisadi, ni ujanja wa kikwete tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda ni mtego kutupata wakulima na masikini wakati na yeye ni kafisadi, ni ujanja wa kikwete tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmzalendo, Mar 8, 2011.

 1. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KATIK HALI INAYOONYE PINDA NI CHAMBO WA WA KUTUNA WAKUKULI NI WANYONGE NI KAULI ZAKE NA MATENDO YAKE KAMA KULIA MBELE YA KAMERA
  KIUNDANI PINDA ANAMPIGA STOP MAGUFURI SIO KWA SABABU YA NYUMBA ZA
  WANYONGE NI KUTETEA MABANGO YA MAFISADI YALIYOPO BARABARA HUKO ILAILA, KINONDONI NA TEMEKE.
  NI WASIWASI NA MMILIKI WA OUTDOOR NI KIGOGO WA SASA AU VIGOGO WA ZAMANI WASIO ELEWANA NA MAGUFURI
  HAPA TUMELIWA TENA NA HUU NI FISADI ANASHILI PINDA


  JUE PINDA ZAIDI HAPI CHINI

  www.lifeofmshaba.com: WAZIRI MKUU PINDA ANATUFANYA WATOTO KUTUDANGANYIA PIPI?
   
 2. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....atawapata wavivu wa kufikiri tu!:blah::blah::blah:
   
Loading...