Naomba nikueleweshe kidogo. Ziara au safari za viongozi wakuu zinapangwa mapema. Mialiko inatumwa na akishasema ndio inawekwa kwenye ratiba ya kazi. Hilo halina uhusiano na yanayotokea sasa. Wao sio kama wengi wetu ambao hupanga safari ndani ya dakika 5. Acha hasira.
Hapa umekurupuka. Hali ya urgency iliyopo bungeni ikiwa ni pamoja na azimio linaloweza kuiangusha serikali nzima hapaswi kuwa mbali na eneo hilo, tena yeye akiwa kiongozi wa serikali bungeni. Kugawa vyeti hata mkuu wa chuo anaweza peke yake.Naomba nikueleweshe kidogo. Ziara au safari za viongozi wakuu zinapangwa mapema. Mialiko inatumwa na akishasema ndio inawekwa kwenye ratiba ya kazi. Hilo halina uhusiano na yanayotokea sasa. Wao sio kama wengi wetu ambao hupanga safari ndani ya dakika 5. Acha hasira.
wakuu...kumbe mh. mizengo pinda yupo huku iringa kakimbia kikao cha bunge kaja kujificha kwenye maharari ya chuo cha mkwawa..
Naomba nikueleweshe kidogo. Ziara au safari za viongozi wakuu zinapangwa mapema. Mialiko inatumwa na akishasema ndio inawekwa kwenye ratiba ya kazi. Hilo halina uhusiano na yanayotokea sasa. Wao sio kama wengi wetu ambao hupanga safari ndani ya dakika 5. Acha hasira.
Hapa umekurupuka. Hali ya urgency iliyopo bungeni ikiwa ni pamoja na azimio linaloweza kuiangusha serikali nzima hapaswi kuwa mbali na eneo hilo, tena yeye akiwa kiongozi wa serikali bungeni. Kugawa vyeti hata mkuu wa chuo anaweza peke yake.
Naomba nikueleweshe kidogo. Ziara au safari za viongozi wakuu zinapangwa mapema. Mialiko inatumwa na akishasema ndio inawekwa kwenye ratiba ya kazi. Hilo halina uhusiano na yanayotokea sasa. Wao sio kama wengi wetu ambao hupanga safari ndani ya dakika 5. Acha hasira.
MH. Pinda bado ni waziri mkuu wetu. Tumpe heshima yake. Kama yupo Iringa ni kikazi na wadogo wetu watafurahi kupewa vyeti na MH. Waziri mkuu.