Pinda ni mgeni rasmi mahafali ya chuo kikuu kishiriki Mkwawa

KUKU-DUME

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
472
250
Wakuu, kumbe mh. Mizengo Pinda yupo huku Iringa kakimbia kikao cha bunge kaja kujificha kwenye maharari ya chuo cha Mkwawa..
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,359
2,000
Mbona hawa viongozi wa kupachikwa hawana chembe ya busara na hekima?. Kwa hali ya nchi na bunge ilivyo sasa bado ana guts za kuhudhuria mahafali?. Kwa maana nyingine mahafali hayo ni bora kuliko burning issues za escrow na kuwajibika kwa serikali?.
Hebu arudi bungeni kabla ya saa kumi na aache tabia ya kukikimbia kivuli chake. Awepo bungeni ili atangaze kujiuzulu kwa madudu yaliyofanywa na serikali anayoiongoza.
 
Rawasha

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
1,073
2,000
Naomba nikueleweshe kidogo. Ziara au safari za viongozi wakuu zinapangwa mapema. Mialiko inatumwa na akishasema ndio inawekwa kwenye ratiba ya kazi. Hilo halina uhusiano na yanayotokea sasa. Wao sio kama wengi wetu ambao hupanga safari ndani ya dakika 5. Acha hasira.
 
made

JF-Expert Member
Jun 29, 2010
816
500

Kuna mangapi walienda wawakilishi ilhali ilipangwa mapema.....ni ujinga wakupindukia kwa hali aliyoiacha bungeni ye aende akagawe vyeti.........
 
Kingmairo

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
4,948
2,000
Naomba nikueleweshe kidogo. Ziara au safari za viongozi wakuu zinapangwa mapema. Mialiko inatumwa na akishasema ndio inawekwa kwenye ratiba ya kazi. Hilo halina uhusiano na yanayotokea sasa. Wao sio kama wengi wetu ambao hupanga safari ndani ya dakika 5. Acha hasira.
Hapa umekurupuka. Hali ya urgency iliyopo bungeni ikiwa ni pamoja na azimio linaloweza kuiangusha serikali nzima hapaswi kuwa mbali na eneo hilo, tena yeye akiwa kiongozi wa serikali bungeni. Kugawa vyeti hata mkuu wa chuo anaweza peke yake.
 
Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,946
2,000
wakuu...kumbe mh. mizengo pinda yupo huku iringa kakimbia kikao cha bunge kaja kujificha kwenye maharari ya chuo cha mkwawa..

Haya ndiyo yale yale mwendelezo wa Madhara ya Serikali kwa Bunge.
Mahafali ndiyo nini?

UKAWA acheni mchezo katika sakata hili.
Mapendekezo la kwanza jana na yaliyoazimwa kutoka yale ya Mhe. Mwakyembe yame kaa sawa.

Hivyo basi hakuna mlolongo wa mapendekezo mengine; Zaidi ya Pendekezo moja la kuwa ngo'a watendaji na Viongozi wafuata;

1. Waziri Mkuu 2.Waziri wa Nishati na Naibu wake. 2.Katibu Mkuu wa Nishati, 3.Waziri Tibaijuka na AG.Habari na stori hizi za Spika oh kuingilia Mamlaka haina mashiko na mantiki-imedhibitika kuwa watendaji husika wampotosha raisi na kubwa zaidi CAG na PAC wamedhibitisha kutokutimiza wajibu wao,bila kujali ni kwa kiwango gani.

Msingi hapa si kukomoana bali kulinda heshima na dhana ya dhamana waliyopewa na Umma na itaendelea kuwafundisho kwa wateule wengine wajao.

Ni wazi kwamba kama Mnyika alivyosema Raisi ni dhaifu na hili linaweka wazi ukubwa wa tatizo-Raisi anayejitambua leo hii angekuwa amekwisha mtimua kazi AG-Werema kama hatua ya kwanza kuonyesha kukereka kwake na Rushwa na Ufisadi.

Lakini hiyo haitoshi kwa sababu Wanajua Raisi ni dhaifu wahusika kijiweni wanaita Wamedindisha ,wakijua hilo kuwa Raisi aidha ni dhaifu au ni sehemu ya Uchafu huu kama Mhe.Lisu alivyotaka kulieleza kwa kurejea historia ya suaala husika.

Mwisho UKAWA msije logwa mkawa sehemu ya Dhambi na Uchafu huo-utawazika rasmi-kumbukeni suala la KATIBA MPYA.

CC. Kurugenzi ya Habari

Last edited by a moderator:

Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,822
2,000
Naomba nikueleweshe kidogo. Ziara au safari za viongozi wakuu zinapangwa mapema. Mialiko inatumwa na akishasema ndio inawekwa kwenye ratiba ya kazi. Hilo halina uhusiano na yanayotokea sasa. Wao sio kama wengi wetu ambao hupanga safari ndani ya dakika 5. Acha hasira.
arudishe makanyagio bungeni ili ajisulubishe mwenyewe. Kukubali kuwa atakuwa mgeni rasmi sio lazima aende yeye mwenyewe mbona wanatumaga wawakilishi? Anatafuta pa kupumulia eee
 
Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,822
2,000
Hapa umekurupuka. Hali ya urgency iliyopo bungeni ikiwa ni pamoja na azimio linaloweza kuiangusha serikali nzima hapaswi kuwa mbali na eneo hilo, tena yeye akiwa kiongozi wa serikali bungeni. Kugawa vyeti hata mkuu wa chuo anaweza peke yake.
sio mkuu wa chuo tu hata mkuu wa wilaya si yupo amtume
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,359
2,000
Naomba nikueleweshe kidogo. Ziara au safari za viongozi wakuu zinapangwa mapema. Mialiko inatumwa na akishasema ndio inawekwa kwenye ratiba ya kazi. Hilo halina uhusiano na yanayotokea sasa. Wao sio kama wengi wetu ambao hupanga safari ndani ya dakika 5. Acha hasira.
vipi angekuwa admitted hospital angekwenda na drip kutoa vyeti. Tuambizane tu ukweli kuwa hana vipaumbele na ndo maan hata nchi wameinyima vipaumbele. Arudi kujiuzulu na spika wake amfuate kwani wanajitahidi sana kulindana na kubebana.
 
mpambe

Senior Member
May 16, 2013
133
195
MH. Pinda bado ni waziri mkuu wetu. Tumpe heshima yake. Kama yupo Iringa ni kikazi na wadogo wetu watafurahi kupewa vyeti na MH. Waziri mkuu.
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,437
2,000
MBOWE PINDA.jpg
Huyu mtu yupo Dodoma,
ni ajabu kuonekana Iringa wakati kamtuma Mwakilishi wake
Bunge lipo chini ya Waziri Mkuu na ndiye atakayelifunga
hakuna Kiongozi yeyote wa kuligunga Bunge lenye kimbembe kikali km hichi katika Historia
huwezi muachia Lukuvi au Wasira
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom