Pinda ndie waziri mkuu anayeongoza kuongopea Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda ndie waziri mkuu anayeongoza kuongopea Bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Jul 6, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,028
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ukifanya tathimini ya haraka uragundua kuwa pinda ndie waziri mkuu anayeongoza kwa kuliongopea bunge kwa kutoa taarifa zisizo na uhakika, mfano alivyozungumzia mauaji ya Arusha na Spika kumlinda dhidi ya ushahidi wa Lema, Kusema serikali ya awamu ya Nne imefanya uamuzi mgumu wa kuvunja baraza la mawaziri wakati ukweli lilivunjika kikatiba baada ya waziri mkuu Lowasa kujiuzulu
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 55,521
  Likes Received: 17,001
  Trophy Points: 280
  Nitajie mwana siasa mmoja ambae si muongo.
   
 3. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  presida Jakaya Kikwete
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Siasa + Longolongo = Uongo
   
 5. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hivi wakiwa wengi ndo inahalalisha eheee??
   
 6. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  FaizaFoxy wanasiasa wepi wamekuongopea kipi?
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,690
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  Na pia ni waziri mkuu muoga kuliko wote,...anayependa kulia lia kila tu apatapo kikwazo,.....
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,690
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  Umetumwa na nape umsafishe pinda.
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kweli mkuu, kwanza anajiita mtoto wa mkulima wakati yeye ni fisadi teh!
   
 10. Mipangomingi

  Mipangomingi JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,701
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  FaizaFoxy-Waziri wa uongo na mambo ya kipuuzi JF
   
 11. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nyie hamujui Pinda Uongo wake ni wa wazi sababu hajui usaniii. Hicho cheo engekuwa msanii EL kwa yale yale ambayo yamefanyia ungesikia longlongo.

  Si unakumbuka jamaa EL alivyokuwa anawaibisha wakuu wa wilaya na mikoa kwenye TV kwa uwafokea. wanachi wasiolewa wanajua yes Tumepata PM kumbe ni usanii.

  Tatizo la Pinda hazwezi kuwa msanii wakati boss wake ana "bendi" ya kisanii.
   
Loading...