Pinda na mnaoitwa mawaziri mizigo kumbe ukweli huu hapa.

M

Mwanamume

Senior Member
Joined
Jan 3, 2013
Messages
182
Likes
12
Points
35
Age
42
M

Mwanamume

Senior Member
Joined Jan 3, 2013
182 12 35
Kwa mfumo wa uundwaji serikali ulivyo sasa, ambapo Rais anateua Waziri mkuu na "kuthibitishwa" na bunge lkn pia anateua mawaziri wengine wote, wakuu wa mikoa na wilaya, wakurugenzi, makatibu wakuu wa wizara, wakuu wa mashirika, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, n.k ni vigumu waziri kumuwajibisha mtendaji aliye chini yake. Mfano bungeni Hawa Ghasia katajawa na kamanda Sugu kuwa ana majibu ya jeuri kwa kuwa tu anaelewana na mama Salma. Hii ina tafsiri nyingi sana. Moja ni kwamba Ghasia anajua kwa kuwa karibu na mke wa rais kibarua chake kiko salama zaidi. Hawezi kuwajibishwa hata na Waziri mkuu. Mifano kama hii iko mingi kwa ngazi zote. Ndiyo maana Pinda akasema uwaziri mkuu ni msalaba. Kwa sababu anaongoza mawaziri ambao yy hana mamlaka ya kuwafuta kazi. Waziri naye chini kuna tatizo kama hilo. Kwahiyo tatizo lipo kwenye mfumo.
Kinachofanywa na CC ya CCM ni kucheza karata ya uchaguzi mkuu ujao. Kwa kuwachafua mawaziri na hatimaye kuwavua madaraka ionekane ati CCM nayo inawajibisha. Ni mpango mkakati wa CCM KUJISAFISHA KWA DAMU YA AKINA PINDA. Kwa kusema hivi c kwamba nawaunga mkono mawaziri. Laa! Hasha. Ninachokisema tatizo ni serikali nzima tukianza na rais kwa kuteua mtu eti kisa ni rafiki wa mwanaye, mkwewe, mkewe, n.k
 
MwanaFalsafa1

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
5,566
Likes
39
Points
135
MwanaFalsafa1

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
5,566 39 135
Kwa kawaida nchi ikiwa na mfumo wa uraisi (presidential system) kuna kuwa na makamo wa raisi tu hakuna waziri mkuu. Nchi zenye mawaziri wakuu ambao ni heads of government kunakua na raisi au mfalme ceremonial. Sasa huku kwetu raisi ni head of state amd government lakini bado tuna waziri mkuu.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,579
Likes
39,004
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,579 39,004 280
Thats why I hate hii katiba ya Uzayuni wa CCM
 
harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
2,906
Likes
778
Points
280
harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
2,906 778 280
Hapa naona umelenga sana serikali ya kishikaji ambalo ni suala lisilowezekana kuizuia kwa sababu kila kitu ndivyo kinavyokwenda kama mm sijulikani na Mh.Rais ,First Lady na au Mwanae au Mkuu wangu wa kazi basi sitaweza kuonekana utendaji wangu na wala sitapewa nafasi .
Kama ni mborongaji basi sitapewa nafasi
 
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Messages
3,861
Likes
1,398
Points
280
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2007
3,861 1,398 280
Wanaume wengine mnatia shaka uanaume wenu, sasa mwanaume na udaku wapi na wapi tena.
Mwaga nondo wanaume wenzio wajue kuna kidume kina data, fact na habari.Bora kukausha some times.
 
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
7,350
Likes
5,509
Points
280
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
7,350 5,509 280
!
!
the rule of the thumb, thats what it is. Mmabo ya binaadamu hayo
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,191
Likes
428
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,191 428 180
Kwa mfumo wa uundwaji serikali ulivyo sasa, ambapo Rais anateua Waziri mkuu na "kuthibitishwa" na bunge lkn pia anateua mawaziri wengine wote, wakuu wa mikoa na wilaya, wakurugenzi, makatibu wakuu wa wizara, wakuu wa mashirika, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, n.k ni vigumu waziri kumuwajibisha mtendaji aliye chini yake. Mfano bungeni Hawa Ghasia katajawa na kamanda Sugu kuwa ana majibu ya jeuri kwa kuwa tu anaelewana na mama Salma. Hii ina tafsiri nyingi sana. Moja ni kwamba Ghasia anajua kwa kuwa karibu na mke wa rais kibarua chake kiko salama zaidi. Hawezi kuwajibishwa hata na Waziri mkuu. Mifano kama hii iko mingi kwa ngazi zote. Ndiyo maana Pinda akasema uwaziri mkuu ni msalaba. Kwa sababu anaongoza mawaziri ambao yy hana mamlaka ya kuwafuta kazi. Waziri naye chini kuna tatizo kama hilo. Kwahiyo tatizo lipo kwenye mfumo.
Kinachofanywa na CC ya CCM ni kucheza karata ya uchaguzi mkuu ujao. Kwa kuwachafua mawaziri na hatimaye kuwavua madaraka ionekane ati CCM nayo inawajibisha. Ni mpango mkakati wa CCM KUJISAFISHA KWA DAMU YA AKINA PINDA. Kwa kusema hivi c kwamba nawaunga mkono mawaziri. Laa! Hasha. Ninachokisema tatizo ni serikali nzima tukianza na rais kwa kuteua mtu eti kisa ni rafiki wa mwanaye, mkwewe, mkewe, n.k
Wanachofanya kina Kinana ni kudhoofisha wasiokuwa kwenye mtandao wa uraisi wa Migiro...
 
KYAMTUNDU

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
1,821
Likes
9
Points
135
KYAMTUNDU

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
1,821 9 135
Hadi Kikwete anatoka IKULU, kila mbunge wa CCM atakuwa amepitia uwaziri/unaibu
 
Forum statistics

Threads 1,252,124
Members 481,989
Posts 29,796,487