Pinda: Kiongozi asiye na makuu


Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,310
Likes
38,180
Points
280

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,310 38,180 280
Pinda ni kiongozi na wala sio mtawala.
Yeye ni binadamu anamapungufu yake, na pia kuna mema aliyoyafanya.
Hapa akipiga mzigo.
 

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,498
Likes
182
Points
160

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,498 182 160
Rafiki yangu usifanye mchezo na wanasiasa.
Wana sura nyingi kama rangi za kinyonga.
Asavali umesema wewe.

Lakini swali ni ..

Je kuna jipya hapa?

Kama walengwa waliotakiwa kuwa wa kwanza ku-observe facts kuwa siasa za kibongo hususan genge la watawala ndio haswa mzizi wa matatizo yoooote yanayotuzunguka, itakuwa vipi kutegemea kuwa siku za usoni tutakuwa na uongozi mzuri wenye kujali the common mwananchi na kuwaletea maendeleo??

Sidhani.
 

Forum statistics

Threads 1,204,682
Members 457,412
Posts 28,166,663