Pinda kalonga!

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, leo amekutana kwa saa kadhaa na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Amelonga mambo kadhaa muhimu. Je, atatikisa ama atalikoroga? Tusubiri, ndio kwanza wanatoka wako njiani
 
Mukulu sasa hapa habari ni ipi ? si ungesubiri utuletee liyowiva!

Hapo ndio huwa napata tabu kabisa, watu wengine sijui tuo addicted na BREAKING NEWZ? bora ungeita tetesi alafu eti kalonga......
 
Ila mi Halisi iwa namwaminia jamani si mtulie apakue vitu kasema tusubili ndo wanatoka tayari watu mnaharaka si msubili.
 
Huko visiwani kume tengenezwa mtego, Makamba kauruka,Chiligati kauruka, Nzanzungwanko kauruka, n.k lakini huyu jamaa nanvyomjua kwa kaluli za kukurupuka huenda keshaingi kichwa kichwa kama Khatibu.
 
Halisi has never let down JF....Pinda hawezi kuja na jipya....mimi huwa namwona kama Joti wa Ze Comedi
 
-Kazungumzia DECI, amesema ni uhalifu, japo amesema kuna timu ya wataalamu wanaifanyia kazi. Ila anasema kwa sasa serikali haiwezi kuifunga.
_kazungumzia BAraza la Mitihani, naona bado Gov kuna ule ugonjwa wa kuwalea watendaji wakuu na kutaka kuhamishia matatizo kwa wadogo. Anasema wako waliokaa muda mrefu kuwa ni tatizo, wakati uzoefu ni kigezo cha ubora!!! Hilo la wafanyakazi wa zamani ndio wimbo wa Mkuu wa NECTA kutaka wale wa zamani waondolewe.
 
Kuhusu Zanzibar, ameteleza. Anasema anaungana na Nahodha (Waziri Kiongozi wa ZNZ) alivyohitimisha mjadala
 
Maana ya kuweka kidogo kidogo, ni kutoa nafasi kwa wana JF wengine kuchangia maana najua wengi walikuwamo na watajua kwa njia zao. Ni njia nzuri ya kushirikisha wengi zaidi katika kupashana habari. Naamini watakuja wengi kuongezea 'nyama nyama'
 
Kuhusu Zanzibar, ameteleza. Anasema anaungana na Nahodha (Waziri Kiongozi wa ZNZ) alivyohitimisha mjadala

Mkuu naona hajateleza kasimama kwenye haki na wao wana haki ya kumiliki mafuta yao kama sisi tunavyo chezea madini.
 
Mkuu naona hajateleza kasimama kwenye haki na wao wana haki ya kumiliki mafuta yao kama sisi tunavyo chezea madini.

KUteleza si kwa kukosea ni kuteleza kwa kukwepa kuingia mtegoni
 
-Kazungumzia DECI, amesema ni uhalifu, japo amesema kuna timu ya wataalamu wanaifanyia kazi. Ila anasema kwa sasa serikali haiwezi kuifunga.
_kazungumzia BAraza la Mitihani, naona bado Gov kuna ule ugonjwa wa kuwalea watendaji wakuu na kutaka kuhamishia matatizo kwa wadogo. Anasema wako waliokaa muda mrefu kuwa ni tatizo, wakati uzoefu ni kigezo cha ubora!!! Hilo la wafanyakazi wa zamani ndio wimbo wa Mkuu wa NECTA kutaka wale wa zamani waondolewe.

Mkuu Halisi heshima mbele!
Vipi amegusia na ma-upatu mengine ya revolving fund ?maana hayo nayo yanaleta ujinga kwa TZ wa kutofanya kazi kwa bidii
 
Kuna ile mchezo ktk tbisii inaitwa seto na vinavuna time. jamaa wanawavuna Watz kama shamba la bibi. Nadhani ni mchezo wa kubahatisha pekee ambao hausimamiwi na bodi ya michezo ya kubahatisha ambapo pia haijawahi kuoneshwa anayeshinda zaidi ya washindi wa kupigiwa simu (na kompyuta) kudadadeki.

Mbona kitimutimu inasimamiwa na bodi ya bahati na sibu?

kuhusu DECI namuunga mkono mzee wa milambizo (pinda) kuwa ni uhalifu. Ila kuhusu mafuta zenji hana msimamo naona amedandia mgongoni kwa nahodha....
 
Mkuru awaambie ukweli si kuwapongeza kwa kuchanganya watu na mahabri yao ya visasi. Inakera sana mtu na weledi wake anashikwa masikio amseme fulani kisa cha juu khaa utumbo mtupu!!
 
-Kazungumzia DECI, amesema ni uhalifu, japo amesema kuna timu ya wataalamu wanaifanyia kazi. Ila anasema kwa sasa serikali haiwezi kuifunga.
_kazungumzia BAraza la Mitihani, naona bado Gov kuna ule ugonjwa wa kuwalea watendaji wakuu na kutaka kuhamishia matatizo kwa wadogo. Anasema wako waliokaa muda mrefu kuwa ni tatizo, wakati uzoefu ni kigezo cha ubora!!! Hilo la wafanyakazi wa zamani ndio wimbo wa Mkuu wa NECTA kutaka wale wa zamani waondolewe.

Uhalifu upi Mh. Ila kasema haiwezi kuifunga(sala zinafanya kazi) very good atawakomboa wanyonge waliowekeza asante sana Pinda ubarikiwe
 
"Haja zungumzia "civil war" ndani ya chama chake?"

************************

Junius: Hana sauti kabisa ktk chama chake pamoja na kwamba ni member wa NEC na CC. Wenye sauti, ingawa za kukera ni akina Makamba, Makalla,n.k.
 
Back
Top Bottom