Pinda: Jipunguzie posho, za mawaziri wako na za wabunge uwalipe madaktari. .

magistergtz

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
282
56
Pinda amekosea sana kuamuru madaktari kurejea kazini pasipo kutatua matatizo yao. Hii ni staili ya utawala wa kiimla.
Kama wewe ni mtoto wa mkulima, punguza posho zako, za mawaziri wako na wabunge hata kwa asilimia 15 mkawalipe madaktari.
Acha vitisho pinda
 
Miviongozi yetu ilivyo michoyo, hili ombi lako ndugu yangu ni ndoto. Yako tayari tule nyasi ili yanunue ndege ya Rais. Naichukia miviongozi ya bongo.
 
He iz lost; natabiri mambo mawili 1. madaktari hawataenda kazini kesho na kwa tamko lake atakuwa amewafukuza kazi , kumbuka almost nchi nzima madaktari wamegoma isipokuwa wachache wanaofanya kazi kwa mkataba au walio karibu na kustaafu 2. Madaktari watagawanyika na ngomo wao utakuwa umeisha ila watakao enda kazini wataenda kwa shingo upande, hawatafanya kazi ya kutibu kwa moyo na si ajabu wakalazimika kudai wagonjwa pesa il wawatibu
My take. Ktk yote hayo atakayeumia ji mwananchi. wananchi shangilieni lkn mjue huo ni msiba wenu siyo wa madokta, kumbuka madokta siyo lazima wafanye kazi bongo!
 
Hili jumba asipoangalia litamwangukia yeye wakati walioharibu watabaki salama
 
Back
Top Bottom