Pinda in London with Kenyan Diaspora

Chilisosi

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Messages
3,055
Likes
18
Points
135
Chilisosi

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2008
3,055 18 135
To be posted
Prime Minister of the Republic of Tanzania Visits SACOMA​
Mizengo Kayanza Peter Pinda, Honourable Prime minister of the Republic of Tanzania, was taken to tour of the SACOMA Fresh Produce store in East London.
SACOMA Fresh produce is an ethical trade company owned by Kenyans in the Diaspora. SACOMA imports fresh fruits and vegetable from all over the world with special focus on supporting small holder farmers from Africa to access UK/EU Markets

Tanzanian Prime Minister Mizengo Kayanza Pinda visits Sacoma fresh produce market.

A delegation of 30 people among them Tanzanian prime minister visited the new Spitalfields Market where SACOMA freshfoods has a stall for wholesale. The delegates had the aim of finding out how SACOMA can facilitate exports of produce from Tanzania to the UK market. This visit was a quick follow up to a visit by the Tanzanian High Commission and Kenyan High Commission that took place last week.
The Tanzania government is highly interested to opening new avenues for their farmers to sell their fresh organic products, and because of the successful story of SACOMA working with Kenyan farmers and Ugandan farmers, it was an opportunity they could not let go. This visit today June 7th 2013, meant that time has come for Tanzania to vigorously compete with Kenya for common market and with the kind of interest the prime minister showed, we will soon be eating the best sweet potato from Tanzania.
The SACOMA stall is open for the public as well, they are located at stall 82, and here you can buy the best sweet potatoes, tomatoes, Maize, and many other cheap but high quality vegetables. We are so impressed by the fantastic work the SACOMA FRESH PRODUCE is doing for farmers globally, as they are quite favorited by the Eastern european clientelle.
Addressing the event, The honourable Prime Minister said that it is not impossible for Tanzania to send produce into the UK/EU market. The visit was facilitated by HE Allan Peter Kallaghe, the Tanzania high Commissioner to UK, who had also visited the SACOMA market last week.
The market tour was followed by a special Sweet potatoes breakfast which highlighted the value addition activities that SACOMA is promoting the sweet potatoes from Kenya. CEO of SACOMA, Mrs Perez Ochieng explained how SACOMA will increase its capacity to trade with small holder farmers through increased volume sales, capacity building, branding and quality in specific response to the problem faced by smallholders in guaranteeing life sustaining incomes and livelihoods in Africa small holder communities. Irrespective of the numerous investments in agriculture producers continue to be faced by structural weakness in agricultural systems that affect their ability to become competitive and ensure positive agricultural economic returns. As an ethical trader SACOMA Fresh Produce has capacity to trade 120 tons a day and provides a guaranteed market for produce at the UK premier wholesale Market in London UK (Britain's premier number one wholesale fruit, vegetable and flower market). SACOMA provides the greatest choice of these products from all over the world. SACOMA has develop an integrated business model that rural African farmers are able to become stakeholders of the entire value chain.
During his Visit the Prime Minister acknowledged that it was indeed ‘possible' to have the Tanzania produce in the Market.
Also present at the occasion was Councilor Elizabeth Kangethe and Pastor Joseph Odima
PM shares a joke with Mr Sam Ochieng and Mrs Perez Ochieng on a consignment just arrived white maize. If you fancy fresh maize you can call 07956 358 642 for a home delivery.

My take; Hivi hakuna watanzanian wa kuexport mazao toka Bongo kwenda Uk ? kwani wakenya wanawezaje?​
 
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Messages
10,801
Likes
4,315
Points
280
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2007
10,801 4,315 280
Sisi mipango yetu ipo kwenye mafile ............. tunasubiri copy and paste!!!!!
 
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
11,305
Likes
1,633
Points
280
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
11,305 1,633 280
BADO SIJAELEWA! Basing on Thread Title and Thread Contents; ni kwamba unamlaumu Pinda; au unawashangaa Watanzania?!
 
Ng'wamapalala

Ng'wamapalala

JF Gold Member
Joined
Jun 9, 2011
Messages
6,332
Likes
137
Points
160
Ng'wamapalala

Ng'wamapalala

JF Gold Member
Joined Jun 9, 2011
6,332 137 160
Mkuu Tuko umeamua kweli kututukana tuishio ughaibuni. Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.

Kigezo gani kimekufanya kuamini kama wote tunaoishi UK tunabeba mabox ya wazungu?. Hutaki kujua kama wengine wanabeba mabox yao na wengine tukiishi kwa return on different investment, lakini vile vile cha muhimu siwezi kuacha shughuli zangu kwenda kumsikiliza Mh. Mizengo Pinda. Kwa lipi ambalo anaweza kunieleza wakati hata uwaziri mkuu umemshinda. Nafikiri mtazamo wangu unaakisi mawazo ya wengi hapa UK.

Utendaji wa waziri mkuu huwezi kuutofautisha na utendaji wa makamu wa rais Dr. Gharib Bilal tofauti yao ni kwamba, mmoja kazi yake ni kukata utepe na mwingine kazi yake ni kusikiliza bila matendo. Mh. Pinda yeye yuko active katika kusikiliza. Mara chache kumuona akiongea.

Kikubwa kabisa, Watanzania hapa UK wamegawanyika sana kutokana na hii kitu waliyoianzisha ya matawi ya chama ughaibuni. Hakuna Utanzania kwenye mikusanyiko, bali kuna Uchama. It's absurd hata kwenda kwenye mikusanyiko ya CCM au CHADEMA baada ya CUF pia kujifia softly.

Kwetu sisi tunaoishi bila kutegemea mkono wa serikali au vyama vya siasa, huwa hata hatuendi kwenye hiyo mikusanyiko yao. Bora kujichanganya na watu wa mataifa mengine kuliko Watanzania UK. Huu ndiyo msimamo wangu.
 
TOWNSEND

TOWNSEND

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Messages
2,602
Likes
52
Points
145
TOWNSEND

TOWNSEND

JF-Expert Member
Joined May 8, 2011
2,602 52 145
Kama serikali ipo makini kila kitu kitawezekana lakini sasa kila kitu ubaguzi wanakutitama wewe ni nani umekuja na mpango gani...hakuna wa kukusaidia serikali hii bila kutoa chochote sio biashara tu hata hospital ya serikalu...jaribu kupata kiwanja juoone
 
C

chama

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Messages
8,005
Likes
17
Points
0
C

chama

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2010
8,005 17 0
BADO SIJAELEWA! Basing on Thread Title and Thread Contents; ni kwamba unamlaumu Pinda; au unawashangaa Watanzania?!
Mkuu NasDaz
Tatizo ni kijana wa Bavicha badala ya kusoma habari nzima kaangalia picha na kuandika uharo JF; lugha pia ni changamoto kubwa inayowakabili vijana wa Bavicha; habari ni nzima kwa ufupi ni namna gani Tanzania tunaweza kuuza bidhaa zetu za kilimo UK/EU; alichokifanya mh.Pinda hata balozi wetu UK alikwisha kifanya yote ni namna ya kutafuta njia ya wakulima wetu kuuza bidhaa zatu UK; na hawa Bavicha wanachoshindwa kuelewa Kenya bado kuna masettler wa Kiingereza wanaondesha kilimo kwa wao ni rahisi sana kwao kufanya hizo biashara; ni sawa na hapa kwetu Lonhro wanajishughulisha na kilimo cha chai wao kila itavyokuwa watauza chai kwa urahisi sana UK lakini je Mwakipesile mkulima wa kawaida wa chai naye ataupata urahisi huo? Bavicha inabidi wajielemishe kabla ya kukurupuka na kuandika vitu kama waliotoka kwenye lindo;: angalia picha ya kwanza aliyopiga waziri mkuu ukiachia mbali balozi wengine ni wazungu na hao ndio wamiliki wakuu

cc Chris Lukosi
 
Hakika ulichokiona ndicho hasa nami nilichokiona kwamba looking for possible opportunities kutoka pale. Kwamba, as far as hao Wakenya wanauza fresh fruits from Africa na sisi hapa kuna matunda mengi tu ambayo huozea mashambani basi hiyo visit ni muhimu sana. Ikiwa jamaa wana-import from Africa, kumbe inawezekana kabisa kwa wakulima wetu wadogo wadogo kupitia Ushirika wao kusafirisha hadi Kenya; kwenye collection centres za hao SACOMA
 
S

Shelui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
1,114
Likes
0
Points
0
S

Shelui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2013
1,114 0 0
Londo ipo Lindi ni London
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Mimi nimewwahi kuona bidhaa za Tanzania Uk. Labda kama anaangalia uwezekano wa kupanua soko.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
K

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
1,279
Likes
221
Points
160
K

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
1,279 221 160
To be posted
Prime Minister of the Republic of Tanzania Visits SACOMA​
Mizengo Kayanza Peter Pinda, Honourable Prime minister of the Republic of Tanzania, was taken to tour of the SACOMA Fresh Produce store in East London.
SACOMA Fresh produce is an ethical trade company owned by Kenyans in the Diaspora. SACOMA imports fresh fruits and vegetable from all over the world with special focus on supporting small holder farmers from Africa to access UK/EU Markets

Tanzanian Prime Minister Mizengo Kayanza Pinda visits Sacoma fresh produce market.

A delegation of 30 people among them Tanzanian prime minister visited the new Spitalfields Market where SACOMA freshfoods has a stall for wholesale. The delegates had the aim of finding out how SACOMA can facilitate exports of produce from Tanzania to the UK market. This visit was a quick follow up to a visit by the Tanzanian High Commission and Kenyan High Commission that took place last week.
The Tanzania government is highly interested to opening new avenues for their farmers to sell their fresh organic products, and because of the successful story of SACOMA working with Kenyan farmers and Ugandan farmers, it was an opportunity they could not let go. This visit today June 7th 2013, meant that time has come for Tanzania to vigorously compete with Kenya for common market and with the kind of interest the prime minister showed, we will soon be eating the best sweet potato from Tanzania.
The SACOMA stall is open for the public as well, they are located at stall 82, and here you can buy the best sweet potatoes, tomatoes, Maize, and many other cheap but high quality vegetables. We are so impressed by the fantastic work the SACOMA FRESH PRODUCE is doing for farmers globally, as they are quite favorited by the Eastern european clientelle.
Addressing the event, The honourable Prime Minister said that it is not impossible for Tanzania to send produce into the UK/EU market. The visit was facilitated by HE Allan Peter Kallaghe, the Tanzania high Commissioner to UK, who had also visited the SACOMA market last week.
The market tour was followed by a special Sweet potatoes breakfast which highlighted the value addition activities that SACOMA is promoting the sweet potatoes from Kenya. CEO of SACOMA, Mrs Perez Ochieng explained how SACOMA will increase its capacity to trade with small holder farmers through increased volume sales, capacity building, branding and quality in specific response to the problem faced by smallholders in guaranteeing life sustaining incomes and livelihoods in Africa small holder communities. Irrespective of the numerous investments in agriculture producers continue to be faced by structural weakness in agricultural systems that affect their ability to become competitive and ensure positive agricultural economic returns. As an ethical trader SACOMA Fresh Produce has capacity to trade 120 tons a day and provides a guaranteed market for produce at the UK premier wholesale Market in London UK (Britain's premier number one wholesale fruit, vegetable and flower market). SACOMA provides the greatest choice of these products from all over the world. SACOMA has develop an integrated business model that rural African farmers are able to become stakeholders of the entire value chain.
During his Visit the Prime Minister acknowledged that it was indeed ‘possible’ to have the Tanzania produce in the Market.
Also present at the occasion was Councilor Elizabeth Kangethe and Pastor Joseph Odima
PM shares a joke with Mr Sam Ochieng and Mrs Perez Ochieng on a consignment just arrived white maize. If you fancy fresh maize you can call 07956 358 642 for a home delivery.

My take; Hivi hakuna watanzanian wa kuexport mazao toka Bongo kwenda Uk ? kwani wakenya wanawezaje?​
mambo mengi ktk biashara yamekaa kikolon-mbona hata kariakoo wakulima hawana nafas-wachuuz tupu
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,566
Likes
2,895
Points
280
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,566 2,895 280
Mkuu Tuko umeamua kweli kututukana tuishio ughaibuni. Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.

Kigezo gani kimekufanya kuamini kama wote tunaoishi UK tunabeba mabox ya wazungu?. Hutaki kujua kama wengine wanabeba mabox yao na wengine tukiishi kwa return on different investment, lakini vile vile cha muhimu siwezi kuacha shughuli zangu kwenda kumsikiliza Mh. Mizengo Pinda. Kwa lipi ambalo anaweza kunieleza wakati hata uwaziri mkuu umemshinda. Nafikiri mtazamo wangu unaakisi mawazo ya wengi hapa UK.

Utendaji wa waziri mkuu huwezi kuutofautisha na utendaji wa makamu wa rais Dr. Gharib Bilal tofauti yao ni kwamba, mmoja kazi yake ni kukata utepe na mwingine kazi yake ni kusikiliza bila matendo. Mh. Pinda yeye yuko active katika kusikiliza. Mara chache kumuona akiongea.

Kikubwa kabisa, Watanzania hapa UK wamegawanyika sana kutokana na hii kitu waliyoianzisha ya matawi ya chama ughaibuni. Hakuna Utanzania kwenye mikusanyiko, bali kuna Uchama. It's absurd hata kwenda kwenye mikusanyiko ya CCM au CHADEMA baada ya CUF pia kujifia softly.

Kwetu sisi tunaoishi bila kutegemea mkono wa serikali au vyama vya siasa, huwa hata hatuendi kwenye hiyo mikusanyiko yao. Bora kujichanganya na watu wa mataifa mengine kuliko Watanzania UK. Huu ndiyo msimamo wangu.
BAdo najiuliza, ni wewe ndio umeandika hichi kitu au macho yangu hayaoni vizuri? nyuzi zako kadha nimezoea kuona unasifia sana magamba, au umeongoka?
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,192
Likes
433
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,192 433 180

Hahahaaa... Mkuu hiyo paragraph ya mwisho inalenga exactly nilichokuwa namaanisha... It was just a joke kwa watu ambao wako very affiliated na siasa za vyama vyao, lakini tunaishia kuwaona 'wakitembelewa' na kupiga picha na akina Diamond platinum... Hahahaaa... Najua wapo maelfu ya watanzania in diaspora wanafanya mambo makubwa kwenye nchi za wenzetu.
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,215
Likes
650
Points
280
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,215 650 280
Mkuu Tuko umeamua kweli kututukana tuishio ughaibuni. Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.

Kigezo gani kimekufanya kuamini kama wote tunaoishi UK tunabeba mabox ya wazungu?. Hutaki kujua kama wengine wanabeba mabox yao na wengine tukiishi kwa return on different investment, lakini vile vile cha muhimu siwezi kuacha shughuli zangu kwenda kumsikiliza Mh. Mizengo Pinda. Kwa lipi ambalo anaweza kunieleza wakati hata uwaziri mkuu umemshinda. Nafikiri mtazamo wangu unaakisi mawazo ya wengi hapa UK.

Utendaji wa waziri mkuu huwezi kuutofautisha na utendaji wa makamu wa rais Dr. Gharib Bilal tofauti yao ni kwamba, mmoja kazi yake ni kukata utepe na mwingine kazi yake ni kusikiliza bila matendo. Mh. Pinda yeye yuko active katika kusikiliza. Mara chache kumuona akiongea.

Kikubwa kabisa, Watanzania hapa UK wamegawanyika sana kutokana na hii kitu waliyoianzisha ya matawi ya chama ughaibuni. Hakuna Utanzania kwenye mikusanyiko, bali kuna Uchama. It's absurd hata kwenda kwenye mikusanyiko ya CCM au CHADEMA baada ya CUF pia kujifia softly.

Kwetu sisi tunaoishi bila kutegemea mkono wa serikali au vyama vya siasa, huwa hata hatuendi kwenye hiyo mikusanyiko yao. Bora kujichanganya na watu wa mataifa mengine kuliko Watanzania UK . Huu ndiyo msimamo wangu.
Ng'wana Mapalala unasemaje? Hapo kwenye bold sijakuelewa vizuri. Kwa nini?
 
Chilisosi

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Messages
3,055
Likes
18
Points
135
Chilisosi

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2008
3,055 18 135
Mkuu Tuko umeamua kweli kututukana tuishio ughaibuni. Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.

Kigezo gani kimekufanya kuamini kama wote tunaoishi UK tunabeba mabox ya wazungu?. Hutaki kujua kama wengine wanabeba mabox yao na wengine tukiishi kwa return on different investment, lakini vile vile cha muhimu siwezi kuacha shughuli zangu kwenda kumsikiliza Mh. Mizengo Pinda. Kwa lipi ambalo anaweza kunieleza wakati hata uwaziri mkuu umemshinda. Nafikiri mtazamo wangu unaakisi mawazo ya wengi hapa UK.

Utendaji wa waziri mkuu huwezi kuutofautisha na utendaji wa makamu wa rais Dr. Gharib Bilal tofauti yao ni kwamba, mmoja kazi yake ni kukata utepe na mwingine kazi yake ni kusikiliza bila matendo. Mh. Pinda yeye yuko active katika kusikiliza. Mara chache kumuona akiongea.

Kikubwa kabisa, Watanzania hapa UK wamegawanyika sana kutokana na hii kitu waliyoianzisha ya matawi ya chama ughaibuni. Hakuna Utanzania kwenye mikusanyiko, bali kuna Uchama. It's absurd hata kwenda kwenye mikusanyiko ya CCM au CHADEMA baada ya CUF pia kujifia softly.

Kwetu sisi tunaoishi bila kutegemea mkono wa serikali au vyama vya siasa, huwa hata hatuendi kwenye hiyo mikusanyiko yao. Bora kujichanganya na watu wa mataifa mengine kuliko Watanzania UK. Huu ndiyo msimamo wangu.
Mkuu umenena.
kijana katudharau lakini pia kwa kiasi fulani sio kosa lake kama ulivyosema, hatuna umoja.
haya mambo ya vyama yameua kabisa utanzania huku uk, imebaki uchadema na u ccm.
Wanayofanya wakenya tunaweza lakini sio rahisi kwani wanaoleta hayo mazao UK ni wakenya wazungu ambao asili yao ni huku hivyo sio big deal kupata masoko ya uhakika. Unaweza leta mihogo yako huku ukaishia kula mwenyewe hata wabongo wenzako wasinunue
 
L

LEX STEELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Messages
224
Likes
14
Points
35
L

LEX STEELE

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2011
224 14 35
kwani Pinda alipelekwa kwa hao wa Kenya na nani?

mwenyeji wake alikuwa nani huko?
 
Ng'wamapalala

Ng'wamapalala

JF Gold Member
Joined
Jun 9, 2011
Messages
6,332
Likes
137
Points
160
Ng'wamapalala

Ng'wamapalala

JF Gold Member
Joined Jun 9, 2011
6,332 137 160
BAdo najiuliza, ni wewe ndio umeandika hichi kitu au macho yangu hayaoni vizuri? nyuzi zako kadha nimezoea kuona unasifia sana magamba, au umeongoka?
Mkuu, mimi siko kumfurahisha binadamu mwenzangu. Ninaandika kwa jinsi ninavyoona ukweli wa jambo bila kujari reflection ya wasomaji.

Tatizo ninaloliona katika ujumbe wako ni kudhani kuwa hakuna kizuri ambacho CCM inakifanya, na hakuna kibaya ambacho vyama vya upinzani wanavifanya na kutokana na hilo, hata akisi lako katika habari na mada mbali mbali zinakuwa zimejengwa na fikra tangulizi kabla ya ukweli halisia wa swala au jambo lililoko mezani.

CCM, serikali na viongozi wake wakifanya makosa lazima wasemwe, vivyo hivyo na vyama vya upinzani navyo, lazima wasemwe pale wanapofanya makosa.
 
Ng'wamapalala

Ng'wamapalala

JF Gold Member
Joined
Jun 9, 2011
Messages
6,332
Likes
137
Points
160
Ng'wamapalala

Ng'wamapalala

JF Gold Member
Joined Jun 9, 2011
6,332 137 160
Ng'wana Mapalala unasemaje? Hapo kwenye bold sijakuelewa vizuri. Kwa nini?
Mkuu, Mbona sentensi iko wazi kabisa.

Nisaidie ili nikuelewe kwa kunyambulisha zaidi swali lako.
 
Ng'wamapalala

Ng'wamapalala

JF Gold Member
Joined
Jun 9, 2011
Messages
6,332
Likes
137
Points
160
Ng'wamapalala

Ng'wamapalala

JF Gold Member
Joined Jun 9, 2011
6,332 137 160
Mkuu umenena.
kijana katudharau lakini pia kwa kiasi fulani sio kosa lake kama ulivyosema, hatuna umoja.
haya mambo ya vyama yameua kabisa utanzania huku uk, imebaki uchadema na u ccm.
Wanayofanya wakenya tunaweza lakini sio rahisi kwani wanaoleta hayo mazao UK ni wakenya wazungu ambao asili yao ni huku hivyo sio big deal kupata masoko ya uhakika. Unaweza leta mihogo yako huku ukaishia kula mwenyewe hata wabongo wenzako wasinunue
Mkuu Chilisosi , mwananchi wa kawaida Tanzania ni vigumu sana kuzijua siasa za kiuchumi za hawa mabeberu wa magharibi mpaka apate exposure ya kiwango cha juu. Hawa mabeberu wamefanikiwa sana kuingia ndani ya akili na fikra zetu kiasi kwamba wanafahamu kile ambacho hata sisi hatujafikiria kukifanya lakini lazima tukifanye na kwa kufanya hivyo, wanakuwa wako katika nafasi nzuri ya kukabiliana na tukio hilo.

Hawa mabeberu hawakututawala by default na wanaendelea kututawala pia siyo by default. Mwana JF mmoja ana sahihi yake inayosema Miafrika ndivyo tulivyo. It's painful statement but TRUE.

Leo wanasema soko la mboga na maua kutoka kwa "wajasilimali wa Kenya" lakini kiuharisia, hiyo ni biashara ya mtu mweupe ( mzungu) kwa mgongo wa neno "Kenya" kama political buffer, na sisi kwa ujinga na upumbavu wetu tuna nunua hii political gimmick kama mleta mada alivyoinunua. Sitashangaa mpaka sasa kuna watu Tanzania wanafikiri habari za BBC au any western media ndizo za kweli zaidi ya media zetu.
 
Last edited by a moderator:
G

Getstart

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
6,249
Likes
774
Points
280
G

Getstart

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
6,249 774 280
Ukweli ni dhahiri ni nchi chache sana ambazo Watanzania nje wana mshikamano wa pamoja. Uganda kidogo wana umoja na ushirikiano mzuri na ubalozi wao, lakini nchi zingine watanzania hata kufika kwenye ubalozi tu ni nadra. Sasa tunaingiza tena na uchama. Mimi ninaona Wakenya pamoja na ukabira wao laki ni wanashirikiana vyema na wana umoja sana nje ya nchi. Mfano mzuri ni Marekani. wanakuwa hata na ajenda zao za kupigia upatu kama nchi. Watanzania nje ya nvhi wanakimbiana.
 
L

LEX STEELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Messages
224
Likes
14
Points
35
L

LEX STEELE

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2011
224 14 35
Kisha mnalalamika kuwa wao eameendelea sana
 
Forum statistics

Threads 1,272,600
Members 490,036
Posts 30,454,765