Pinda Hajiamini? au hafai kuongoza njia?

BURAKEYE

Member
Dec 17, 2010
22
1
Kuna habari nilizozisikia kwenye vyombo vya habari Kuhusiana na mtoto wa mkulima kukataa gari ambalo tayari amenunuliwa! Sitaki kuamini kuwa tokea mchakato wa manunuzi ambao kwa serikalini huchukua muda uanze huyu jamaa hakuwa aware, but ni yeye ambaye kwa kipindi chake kilichopita aliondoa semina na makongamano yote yasiyo na tija, aidha alikataza manunuzi ya magari kwa mwaka wa fedha uliopita isipokuwa magari ya wagonjwa na matreta. Je kama wasaidizi wake ndivyo wanavyomuelewa wanaweza kumnunulia gari kama hilo? Je kama yeye mwenyewe kanunuliwa, hao wasidizi wake wakiwemo mawaziri,makatibu wakuu na wakurugenzi wa wizara hawajanunuliwa? Gari ngapi amezikataa? Hii ni staili ya kiongozi makini au ni kutafuta sifa binafsi? Nani akemee yasinunuliwe kama yeye mwenyewe kaishia kuzira? Wangapi watazira kama alivyofanya yeye kwenye serikali yake? Ni Uzaifu katika uongozi au WOGA? Ni kutokujiamini?
 
Burakeye - Olakomeneza!

Both - Ni dhaifu sana na Ni mwoga sana katika UONGOZI - he does not deserve to be even an MP at first place...
 
He's weak, indecisive and always after publicity stunt. He likes sympathizing with the public, remember the outcry in the Bunge session. Tanzanians want actions that will lead to development. These five years ni jehenamu tu.................
 
''Africans are the most subservient people on earth when faced with force, intimidation, power. Africa all said and done is a place where we grovel before leaders''-(J Githongo, Executive Magazine, 1994)
Huwezi jua aliuzwa na wenziwe anataka wapande magari gani akaufyata, the option aliyoiona ni kujifanya halitaki while wale walio chini yake wanayatumia kwa fujo. It means kashindwa kuwazuia hata wenzake wayasusie kama yeye?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom