Pinda Bungeni - Taarifa ya Mabomu kulipuka, Bunge laahirishwa

NINAVYOJUA MIMI KAZI YA TUME NI KUCHUNGUZA SABABU YA TUKIO NA KUTOA MAPENDEKEZO AMBAYO YANAPASWA KUFANYIWA KAZI ILI KUEPUKA TATIZO HUSIKA KUJIRUDIA,,,,,,,KWA TANZANIA NI TOFAUTI,LENGO NI KUPUNGUZA UKALI WA HASIRA ZA WATU LABDA NA KUPEANA ULAJI...................BWANA MWINYI WATU HUSEMA MAJI HUFUATA MKONDO,KWANI NINI HUFUATI MKONDO WA BABA YAKO KWANI YEYE ANA REKODI YA KUWA KIONGOZI WA TANZANIA ANAYEKUBALI KUWAJIBIKA,ALIWAHI KUJIUZURU ALIPOKUWA WAZIRI WA MAMBO MIAKA ILE,ACT RESPONSIBBLY................WATU WA GONGO LA MBOTO NA MAJIRANI POLENI SANA:disapointed::disapointed::disapointed:
 
Najua kuna wadau wa sheria humu ndani...tunaomba mwongozo! kulikua na sababu gani ya kuahirisha kikao cha Bunge leo? Nani anabeba gharama za kuhodhi wabunge mjini Dodoma? Hapakua na namna nyingine ya kuendelea na shughuli huku wakitafuta namna ya kuwasilisha simanzi zao? ...wana usalama mnazungumzaje ukaribu karibu wa taasisi za kijeshi na maeneo muhimu ya kijamii km uwanja wa ndege na taasisi za kielimu? sizungumzii makazi maana umekuwa wimbo wa taifa sasa....na watu idara ya mipango miji inatoa tamko gani ktk majanga haya yote?
 
ndugu yangu, gurudumu.hiii habari inanisikitisha sana watu wanatumia fedha zetu kucheza nazo kama pipi iko siku nasi tunakuja watakuja tambua umuhimu wa fadha zetu,

haingii akilini kwa watu kukaa bila kufanya kitu siku ipite,haya ndo mmadhara ya kuwa na viongozi ambao hawafikirii impact za maamuzi yao kwa jamiii.

hapa ni jambo la muhimu kuendelea kukukza jamiii ambayo itakuwa tayari kudai haki zao na kuwajibisha viongozi na hii inaanza na mimi na



ewe kudai dhamani ya kodi zetu tunazolipa kwa serikali yetu
Inauma sana ndugu yangu lazima kitu kifanyike.
 
Habari za asubuhi mabibi na mabwana,

Nimeshitushwa na habari kuwa bunge letu tukufu limeahirishwa kutokana na mabomu yaliyolipuka gongo la mboto jana usiku. Nimejiuliza vitu viwili mbona wanasiasa wanapenda kutuchezea akili zetu? yaani leo wamevuta posho hakuna la maana lililofanyika! Hii ni dhulma dhidi ya Raia. Hivi wabunge watafanya nini kwa leo moja hii kuahirisha bunge?

Kwanini wasiahirishe basi mpaka janga la taifa Umeme utakapopatikana?

Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wameniharibia siku yangu ya leo.
 
Hawa watu ni lazima watueleze baada ya ule mlipuko wa mbagala, ni hatua gani za kiusalama zilichukuliwa ili kuepukana na madhara kama haya. Kwa jinsi ninavyo ona kama kweli wangekuwa wamechukua hatua baada ya mlipuko wa Mbagala hili la Gongo la mboto lisingetokea.
Hawa watu ni lazima wajiuzulu, akiwemo amiri jeshi mkuu
 
Baada ya kuahirisha wanakwenda wapi? uvivu tu! Wakae waendelee kujadili matatizo ni mengi saana, kuahirisha bunge ni ku pile mambo, kwani hao wabunge wanaelekea G-Mboto? Nasisi wengine leo tufunge ofc?
 
I cant support the move though nasikia wanakwenda kupewa briefing za uhalisia (ukipenda ita ukweli) wa kile kilichojiri jana huko Gongolamboto. Kuna mantiki ipi kikao cha bunge kuahirishwa kwa sababu nchi iko katika majonzi, lakini kamati za bunge hilo hilo zikaendelea kukutana baadhi katika hoteli za gharama kama vile Dodoma Hotel na St. Gasper? May be, bu it doesnt click in my mind for that move to be right. Kwa hapo ilipofikia kuna haja ya kufanya mambo ya siri siri tena. Let them debate who is gonna be held accountable this time around.

FOR Dr. Hussein A. Mwinyi, the minister; Brother we still know you as smart boy in the government, maana hatujawahi kusikia mawaa yako (kama kweli yapo; juzi uliwashangaza baadhi ya watu ulipoamua kupaki gari na kusita kuteremka, ili usikutane na Mzee wa Vijisenti alipokuwa akitoka kuzungumza na waandishi wa habari akijitangazia uadilifu, kama vile ulikuwa unasubiri, mara alipopanda kwenye gari yake tu, ukashuka ukaingia hotelini. Watu "aaaha Dkt Mwinyi hataki kukutana na watu wanaonuka tuhuma za grand corruption). BUT THIS TIME AROUND U HAVE TO GO. RESIGN BROTHER. TAKE UR RESPONSIBILITY. THERE'S STILL A ROOM 4 U, TO FLOURISH IN TZ POLITICS, WAITIN TO BE NEXT ZNZBAR PRESIDAA.

Ni aibu kuwa katika sakata la Mbagala no body took responsibility, si mwanasiasa wala watendaji wizarani na jeshini, as if nothing unusual has happened.
 
Hivi wana impact yoyote kwa yanayotokea kweli?? au dnio siasa??


Bunge crap'
 
Hii mimi siielewi vizuri! Nasisi wengine tufunge hizi ofisi? Kwa mawazo yangu wangeendelea na mijadala kama kawaida, kwani sidhani kama hawa wabunge wataandamana wote kwenda G-mboto. nadhani hizi ni dalili za uvivu..
 
1.Dr Hussein Mwinyi
2. Gen. Davis Mwamunyange

Nadhani mnapaswa, kwa busara zenu, kupima na kuchukua hatua. Vinginevyo, Rais atuambie ni vipi tunaweza kuendelea kuwaamini.

A Report on Mbagala Bomb Blasts
Daily News, 27th August 2009 @ 23:39

A REPORT on the source of a series of bomb blasts at the Tanzania People's Defence Forces (TPDF) base at Mbagala in Dar es Salaam some four months ago has been handed over to the government.

The Minister for Defence and National Service, Dr Hussein Mwinyi said yesterday that he had already received the report on the accident which claimed lives of 26 people and destroyed properties worth billions of shillings.

"The team has completed its task and the report is now in my office waiting for some few official procedures before we make it public, but it will be out soon," he said. Dr Mwinyi reiterated his stance that he would resign if the report mentions negligence on TPDF as one source of the blasts.

The minister said from his glance of the report, it was comprehensive and exhaustive as it even suggests strategies of containing similar incidents in the future. He further said that since the incident took place early April, this year, the government launched several sensitisation campaigns aimed at educating people on the dangers of constructing houses within the military buffer zones.
=====================================

it was comprehensive and exhaustive as it even suggests strategies of containing similar incidents in the future.
Upuuuuuuuuuuzi Mtupu
 
Kila kitu tume!Sasa hapo wanatakiwa wafanye kazi gani na majibu yako wazi?
 
mi naona kaahirisha ili kuwapa waheshimiwa muda wa kunywa bia taratibu huku wakisimuliana muvi la gongo la mboto.

kwa kweli ukiondoa wachahche wanaohusika moja kwa moja, wengine labda waende dar kutembelea majeruhi kama hatua za kiitifaki na kuonyesha kuwa wana sympathy na wapiga kura wao, mfano huyo makinda. ila itaongeza gharama sana kwa mlipa kodi manake nahisi sasa watakpodi ndege kwa fujo sana, magari tyatatumika matatumatatu, posho zitachukuliwa sitasita wa siku nk. kwa kisingizio cha mabomu kulipuka!
 
Asa kuahirisha bunge kunasaidia nini kwa tatizo la gongolamboto na wakikutana iyo kesho watakuwa wametatua nini???? spika na wenzako mlioshauriana kufikia uamuzi huu nyote u are STUPID ******!!

Wamejaa unafiki usio na kipimo. Mbona watu Arusha walipouwa na kujeruhiwa na polisi walikaa kimya. JK na CCM yako achieni ngazi mmetuletea maafa makubwa watanzania. Mungu amewalaani na ulafi wenu wa madaraka na mali.:angry:
 
Back
Top Bottom