Asa kuahirisha bunge kunasaidia nini kwa tatizo la gongolamboto na wakikutana iyo kesho watakuwa wametatua nini???? spika na wenzako mlioshauriana kufikia uamuzi huu nyote u are STUPID ******!!
mabomu haya ni ya kivita mkuu-hii nchi inasehem nyingi sana ambazo hazina watu-wanaweza kujenga kambi zao hapo na arsenal zao kwenye maeneo hayo pasipo na shida yoyote-ila kwa kuwa kila kitu wanakipeleka dar es salaam-ngoja hayo mabomu yawatokee puaniHayo mabomu ni yale ya Kivita au yale ya kuwapiga waandamanaji wa vyama vya upinza na vyuo vikuu? Kama ni ya kivita si wajenge ghala kwenye moja ya misitu ya nchii hii
what is better, kukaa bure kwa wabunge 357 dodoma wakilipwa stahili zote au kuendelea na mijadala na kuwataka serikali walete kauli ya tukio kesho? nani anabeba garama za kuendelea kuwaweka dodoma?
kweli hatuna uongozi hii nchi
Bunge laahirishwa ..sababu ya hofu kubwa kwa wabunge
Asant sana ndugu yangu mie ninauchungu mkubwa sana umeongea point tupu. Sijui tufanye nini jamani. lazima tuchukue hatua.Jambo la kwanza litakalotokea si kuhudumia waathirika au wafiwa, bali kukimbilia kuunda TUME. kuunda tume ndio njia inayotumiwa na viongozi wavivu wa kufikiri au kutatua matatizio ya wananchi wao. Ni njia ya kuongeza muda (buy the time) ili kutafuta majibu ya kuwaghilibu wananchi.
Tukumbuke kuwa Mabomu ya mwaka jana iliundwa TUME ambayo hatukupata taarifa zake. Ilipoundwa tuliambiwa lakini taarifa yake ni siri,hapa ndipo mjue tunadanganywa.
Kwa vile tume ilishamaliza kazi yake na taarifa wanazo, hakuna sababu ya kuunda tume nyingine. Tunachotaka ni majibu na waliohusika waondoke madarakani mara moja. Ninasema majibu kwasababu kama jeshi lilikuwa tayari wakati wa uchaguzi kwanini lisiwe tayari kutueleza mabomu yao wenyewe wanayojua yapo wapi yana umri gani, nani anatunza n.k. Hapa Shimbo aje na majibu, si majibu yale ya kuingilia demokrasia na ushabiki bali majibu ya taaluma yake.
HUTATAKI TUME TENA.