Pinda awapasha Wazanzibari (Muungano aulazimisha)

Namsapoti sana mtoto wa mkulima katika hili.Muungano haulazimishwi na mtu yoyote,kama waZenji wameushiba wawe huru kukitoa.
Hii habari ni ya siku nyingi kidogo na mtoa hoja naona kairudia tu.
Sisi waTanganyika hatuna haja na hao wanaotaka kujitoa, na waende zao ili warudi na kuingia kwetu kwa passport.
Madhumuni makuu ya muungano wakati ule ni kuilinda Zanzibar isitwaliwe na wahuni maana ilikuwa kama ptoto aliyezaliwa jana.Sasa wahuni hawapo na hawauhutaji tena muungano mie naona poa tu, wakitoe.

"Kanchi" kenyewe hakajai hata mkononi, waacheni wazaane wajae, wakose ardhi, watwangane kwa misingi ya Uunguja, Upemba, Uzanzibara, kisha tutawasuluhisha!
 
Katika mtu mabaye huotoona pepo mmoja wao ni wewe kwa sababu una chuki,una dharau,na huna hoja ya msingi zaidi ya kutoa chohco zako,nyie ndio ccm wala rushwa hapa bongo.
"Kanchi" kenyewe hakajai hata mkononi, waacheni wazaane wajae, wakose ardhi, watwangane kwa misingi ya Uunguja, Upemba, Uzanzibara, kisha tutawasuluhisha!
 
"Kanchi" kenyewe hakajai hata mkononi, waacheni wazaane wajae, wakose ardhi, watwangane kwa misingi ya Uunguja, Upemba, Uzanzibara, kisha tutawasuluhisha!
Mkuu Buchanan.

Vipi comoro wamebadilisha uamuzi wao wa kujiunga katika Muungano wa TZ?
 
Back
Top Bottom