IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Kila siku nasema nchi hii imejaa Ubinafsi na Uoga. Hii ndiyo ilikuwa nafasi kwa wananchi, wafanyakazi wote kugoma na kuandamana mpaka mabadiliko yatokee
Kusema tunamadaktari wa kutosha Jeshini ni sawa na kusema Jeshi letu lina ndege kibao za kivita zinazoweza kuruka wakati wowote.
Hii inaitwa Wishful Thinking.
Tatizo la watu kaa Pinda ni kutumiwa kama ya Ndani jeshini kuna MA na RMA kibao ambao wenyewe wanawaita Madaktari.
Jamaa kaletewa idadi kwa ununda wake wa kushindwa kudadisi hoja kadhanimadkari jeshini ni kibao huyo kaenda kuropoka kwenye vyombo ya habari.
Hivi hao madaktari wa jeshi wakitolewa huko jeshini na kuletwa Muhimbili ni nani atahudumia katika hospitali za jeshi walizoziacha bila madakitari??
Ni siasa zinazo mtuma kuropoka au ni ubabe wa kijima?
Mkuu Kwelea kwelea hao madaktari wa Sudani watalipwa Tshs 500,000/=za kununulia nyanya Kariakoo?????????? Wacha mikwala bwana hizo ghalama za WASUDANI SI WAWALIPE NDUGU ZETU WA MUHUMBILI WARUDI KAZINI????????katika mazungumzo kati ya waziri mkuu na balozi wa sudan hapa tanzania mnamo juzi, balozi wa sudan alikubali kuwa nchi yake iko tayari kuleta madaktari mabingwa kuja kuwafundisha madaktari wetu.....
Wasudan wanasubiri list ya waliogoma ili walete madaktari wao...
.......hapo penye red, maneno yale yanawafaa wabunge maana ndiko watu wanachukulia reference/s!!!!!Nani anakubali watanzania wafe? Kama ni hukumu, basi huwa kuna hukumu 1st hand murder & 2nd hand murder. Hapa nadhani 1st-hand murders ni nyinyi madaktari msiowahudumia hao wagonjwa na 2nd-hand murders ni hao wengine. Wekeni ubinadamu mbele ..
Mi nadhani suluhisho ni kuwatimua viongozi wa wizara ya afya kwanza wakiongozwa na Blandina ndipo mgogoro huu utakapoisha maana she is the source of all the troubles we see in the MOH
endapo madaktari wataitaji kuwaona wananchi na kuwaeleza kilichopo mioyoni mwao bila kujali kama wamezuiwa au la ndipo itabidi (sincerely) tujitokeze kuwasikiliza na kuungana nao pia.Pinda vitisho anavyompaga mkewe wake anadhani na madaktari wako hivyo? Mimi naona hali ikiendelea kuwa mbaya raia na sisi tukusanyike tuishinikize serikali yote kujiuzuru
Mkulu wa Boma la Magogoni anaona ni sawa tuu, alale kwake watu waendelee kufa mahospitalini bila tiba ya madaktari????? Yuko kimya tuu lakini CDM ikiamua kuandamana kuwaunga mkono wagaga si atakurupuka ???????? Uungwana na busara ni muhimu wa ndugu!!!!! CDM mabango vipi ndio kazi hiyo imejileta???katika kuthibitisha ukosefu wa umakini ndani ya serikali, mchana huu mwandishi wa Clouds Redio ameripoti kuwa wagonjwa katika hospitali ya Muhimbili hawakupata huduma yeyote ikiwemo kushuhudia zaidi ya ambulance 7 zikileta wagonjwa toka hospitali mbali mbali na kulazimika kuondoka na wagonjwa wao kutokana na kukosekana kwa huduma katika hospitali hiyo. Hii inashiria kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameshinde kutekeleza ahadi yake kupelekea madajatari toka JWTZ na JKt akama alivyoahidi jana wakati akitoa kauli za dharau dhidi ya madakatari wanaogoma.
My take: Tukumbuke kiini cha mgogoro huu ni madakatari walioko mafunzoni yaani interns katika hospitali ya Muhimbili kunyanyaswa na uongozi wa Wizara ya Afya hivyo kutakiwa Waziri Dr Haji Mponda, Katibu Blandina Nyoni na Mganga Mkuu Ngd Deo Mtasiwa kuondolewa mara moja kwa kuishawishi serikalim kuchukua hatua za kionevu dhidi ya madakatari hao waliokuw akatika mafunzo. Ni kwanini Serikali inakubali watanzania wafe katika kuwalinda wazembe watatu?
Ni imani yangu watatu hao wakiondolea hata leo madakatari walioko katika mgomo watakuwa tayari kuzungumza na serikali kuhusu madaia yao.
fukuza waziri wa afya, naibu waziri wa afya na katibu mkuu wa wizara ya afya.
Pm awaombe radhi madaktari kwa kuwadhalilisha.
Tuanze upya majadiliano!