Pinda aonyesha Vidole 2 Maalim Seif anamjibu kwa kunyesha Vidole 3 - Rasimu ya Katiba

mrelbattawy

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
564
112
Ni baada ya kumalizika shughuli za Jaji warioba kumkabidhi rasimu Mh. Rais Jk kikwete na viongozi wengine baada ya hapo Waziri Mkuu Pinda alionyesha Vidole viwili vya mkono kumuonyesha Maalim Seif akimaanisha serikali 2 na Maalim Seif akaonyesha vidole 3 akimaanisha Serikali 3.,

Kwenu wakuu.,
 
Mwambie Pinda kuwa X-mass imepita aje atwambie kilichomzuia kuachia ngazi kama alivyoahidi!!?
 
.
Pinda ndie aliyeagiza raia wapigwe tu na vyombo vya umma, sasa dola imetekeleza agizo la Pinda. Hivyo kama kulikuwa na kuwajibika kwa serikali, Pinda ndiye aliyepaswa kuwajibika kabla ya mwandamizi mwingine kufanya hivyo. Lakini cha ajabu anawatoa wenzake kafara wa agizo lake alilolitoa kipumbavu. Hii inawezekana tu Tanzania.
.
 
Ni baada ya kumalizika shughuli za Jaji warioba kumkabidhi rasimu Mh. Rais Jk kikwete na viongozi wengine baada ya hapo Waziri Mkuu Pinda alionyesha Vidole viwili vya mkono kumuonyesha Maalim Seif akimaanisha serikali 2 na Maalim Seif akaonyesha vidole 3 akimaanisha Serikali 3.,

Kwenu wakuu.,

battawy, vikunguni, chachani, why not, naeem internet cafe & stationrs, kwa cjui urusi au usa, ama cjui uingereza.
 
Ni baada ya kumalizika shughuli za Jaji warioba kumkabidhi rasimu Mh. Rais Jk kikwete na viongozi wengine baada ya hapo Waziri Mkuu Pinda alionyesha Vidole viwili vya mkono kumuonyesha Maalim Seif akimaanisha serikali 2 na Maalim Seif akaonyesha vidole 3 akimaanisha Serikali 3.,

Kwenu wakuu.,
Watu wengine kweli ni mandina na mbumbumbu, vidole viwili humaanisha serikali mbili? Je CDM wanapoonesha vidole viwili kumbe wanataka serikali mbili? Kalakabao.
 
Attachments

  • Asha-Bakari-564x272.jpg
    Asha-Bakari-564x272.jpg
    23.8 KB · Views: 178
Back
Top Bottom