Pinda amvaa Lowassa: "Kuvunja Baraza" yataka moyo!

Miongoni mwa maamuzi ''magumu'' anayosema Pinda ni pamoja na kuanzisha shule za kata na pia kwamba ilikuwa uamuzi mgumu sana kuvunja baraza la mawaziri wakati PM Lowassa alipojiuzuru.

Pinda bana!
 
Katiba ilimtaka kuvunja baraza la mawaziri baada ya waziri mkuu kujiuzuru. lakini ili waziri mkuu ajiuzuru ni lazima amuandikie barua rais na rais akubali, kwa maana hii ni kweli kabisa hayo yalikuwa maamuzi magumu ya Kikwete. Lakini hii ni kama unataka ukweli wa suala hili lakini kama ni kutafuta kuwatukana viongozi unaweza kuendelea tu maana hiyo nayo ni kazi nzuri sana na inaweza kukupa umaarufu mkubwa sana hapa tena unapewa cheo cha upambanaji.
Uamuzi mgumu aliufanya Lowasa na si Kikwete. Katika situation ile, hakutakiwa kusubiri Lowasa aandike barua ya kujiuzuru, kamati ya Mwakyembe ilikuwa na full data, angefanya uamuzi mgumu kama yeye ndiye angeaanza kumvua madaraka, otherwise alimeza tu baada ya Lowasa kutafuna.
 
Miongoni mwa maamuzi ''magumu'' anayosema Pinda ni pamoja na kuanzisha shule za kata na pia kwamba ilikuwa uamuzi mgumu sana kuvunja baraza la mawaziri wakati PM Lowassa alipojiuzuru.Pinda bana!
Shule zenyewe alianzisha Lowasa, kaondoka hata kuziendesha vizuri wanashindwa.
 
Kulia mbele ya bunge akijidai anawaonea albino huruma, oh mara kujiita mtoto wa mkulima yote hayo ni kujifanya mtakatifu machoni mwa watanzania kumbe moyoni anatusanif sasa kaanza kuonyesha makucha
 
Hivi waziri mkuu akitaka kujiuzu sio anamuandikia barua Raisi ya kuomba kutaka kujiuzulu? Kama ni kweli basi wewe umetafsiri vibaya Maneno ya Pinda kwa maana Raisi angetaka, asingekubali kubali kujiuzulu Kwa EL hivyo Baraza la Mawaziri lisingevunjwa. Kwa maneno hayo ni kweli Serikali ilichukua maamuzi mazito kubali mkuu.
Nimeshangazwa sana na kauli ya Mizengo Pinda kuisifia serikali ya Kikwete ati kuwa imewahi kuchukua maamuzi magumu. Pinda bila haya anadiriki kusema kuwa mmoja ya maamuzi magumu ni Kikwete kuvunja baraza la mawaziri kufuatia kujiuzulu kwa Lowassa mwaka 2008.Pinda asitake kuupotosha umma akidhani wote ni vilaza kama bosi wake. Suala la Kikwete kuvunja baraza la mawaziri halikuwa jambo la hiyari. Katiba ndiyo iliyomlazimisha Kikwete kuvunja kebineti. Katiba inataka kebineti ivunjwe endapo waziri mkuu ataachia ngazi kwa sababu yoyote ile...iwe kufa, kufukuzwa, kujiuzulu nk.Pinda anapenda sana cheap popularity. Anasahau kuwa serikali ya bosi wake imeshindwa kuchukua maamuzi magumu ndo maana hadi leo tunaishi kizani.Hana lolote huyo anayelimia tumboni keshalewa madaraka.
 
Miongoni mwa maamuzi ''magumu'' anayosema Pinda ni pamoja na kuanzisha shule za kata na pia kwamba ilikuwa uamuzi mgumu sana kuvunja baraza la mawaziri wakati PM Lowassa alipojiuzuru.
Pinda bana!
Ni kweli si maamuzi rahisi kuanzisha shule mbovu kama za kata
 
Vilaza ni sisi tunaishindwa kufanya maamuzi magumu ya kuwafukuza hawa watu kwenye uongozi, huyu pinda kama ni dawa tayari keshapatiwa za kutosha sasa anangoja nini huku hana analofanya ni mbumbumbu na mshamba mkubwa, hana hata hadhi yakuwa waziri mkuu. Tatizo tunaongea mno ndio maana tunawapa kiburi wanajua hatuna guts za kufanya maamuzi magumu na kuyatekeleza. I can not wait for the day shujaa yoyote yule atakapoweza kutuongoza maandamano ya kuwafukuza hawa nchini kwetu wakatafute nchi nyingine maana kwa huu uhaini waliotufanyia hawafai hata kuwafunga maisha. Waondolewe
 
Mwenye maamuzi ya mwisho ni Raisi sio waziri mkuu, Kikwete angekataa mabadiliko yasingekuwepo. Pia Lowasa pia alikuwa ni sehemu ya Serikali hivyo nae ni sehemu ya maamuzi magumu yaliyofanywa ktk awamu ya Kikwete. Propaganda zipo nyingi hii iacheni jamani.
Uamuzi mgumu aliufanya Lowasa na si Kikwete. Katika situation ile, hakutakiwa kusubiri Lowasa aandike barua ya kujiuzuru, kamati ya Mwakyembe ilikuwa na full data, angefanya uamuzi mgumu kama yeye ndiye angeaanza kumvua madaraka, otherwise alimeza tu baada ya Lowasa kutafuna.
 
Katiba ilimtaka kuvunja baraza la mawaziri baada ya waziri mkuu kujiuzuru. lakini ili waziri mkuu ajiuzuru ni lazima amuandikie barua rais na rais akubali, kwa maana hii ni kweli kabisa hayo yalikuwa maamuzi magumu ya Kikwete. Lakini hii ni kama unataka ukweli wa suala hili lakini kama ni kutafuta kuwatukana viongozi unaweza kuendelea tu maana hiyo nayo ni kazi nzuri sana na inaweza kukupa umaarufu mkubwa sana hapa tena unapewa cheo cha upambanaji.
wanaounga mkono waseme ndiyo, ndiyo!!!!!! wanaopinga waseme siyo, SIYOOOOOOOOOOOOO!!!
 
Ingawa wana JF wengi waliiona ile taarifa kwa makengeza kuwa alimvaa EL lakini mimi niliona kama alikuwa anamsifia EL; maana alitowa historia ya Serikali ya Kikwete wakati wa Lowasa mambo yaliyofanya na kuyasifiya, hatuongea hata moja ambalo limefanyika akiwa PM na pia alionyesha kuwa Lowasa alichukuwa maamuzi magumu kujiuzuru akiongezea kuwa 'yataka moyo'
 
Nimeshangazwa sana na kauli ya Mizengo Pinda kuisifia serikali ya Kikwete ati kuwa imewahi kuchukua maamuzi magumu. Pinda bila haya anadiriki kusema kuwa mmoja ya maamuzi magumu ni Kikwete kuvunja baraza la mawaziri kufuatia kujiuzulu kwa Lowassa mwaka 2008.

Pinda asitake kuupotosha umma akidhani wote ni vilaza kama bosi wake. Suala la Kikwete kuvunja baraza la mawaziri halikuwa jambo la hiyari. Katiba ndiyo iliyomlazimisha Kikwete kuvunja kebineti. Katiba inataka kebineti ivunjwe endapo waziri mkuu ataachia ngazi kwa sababu yoyote ile...iwe kufa, kufukuzwa, kujiuzulu nk.

Pinda anapenda sana cheap popularity. Anasahau kuwa serikali ya bosi wake imeshindwa kuchukua maamuzi magumu ndo maana hadi leo tunaishi kizani.

Hana lolote huyo anayelimia tumboni keshalewa madaraka.

mi nadhani alikuwa anamaanisha maamuzi magumu aliyochukua kikwete ni kumteua yeye kuwa pm,
na yeye maamuzi magumu aliyoyachukua kama pm ni kulialia hadharani eti anawaonea huruma albino! so..?
 
Katiba ilimtaka kuvunja baraza la mawaziri baada ya waziri mkuu kujiuzuru. lakini ili waziri mkuu ajiuzuru ni lazima amuandikie barua rais na rais akubali, kwa maana hii ni kweli kabisa hayo yalikuwa maamuzi magumu ya Kikwete. Lakini hii ni kama unataka ukweli wa suala hili lakini kama ni kutafuta kuwatukana viongozi unaweza kuendelea tu maana hiyo nayo ni kazi nzuri sana na inaweza kukupa umaarufu mkubwa sana hapa tena unapewa cheo cha upambanaji.
Wacha ukilaza wewe, Mkeo akikuomba talaka ukampa ni uamuzi mgumu? Kumbe uamuzi wa kawaida usio mgumu ni kwamba angem'bembeleza aendelee? huoni kama ingezidi kumshushia hadhi Rais?ule ulikua uamuzi wa kawaida tu ambao yoyote angeweza kuufanya
 
Nimeshangazwa sana na kauli ya Mizengo Pinda kuisifia serikali ya Kikwete ati kuwa imewahi kuchukua maamuzi magumu. Pinda bila haya anadiriki kusema kuwa mmoja ya maamuzi magumu ni Kikwete kuvunja baraza la mawaziri kufuatia kujiuzulu kwa Lowassa mwaka 2008.

Pinda asitake kuupotosha umma akidhani wote ni vilaza kama bosi wake. Suala la Kikwete kuvunja baraza la mawaziri halikuwa jambo la hiyari. Katiba ndiyo iliyomlazimisha Kikwete kuvunja kebineti. Katiba inataka kebineti ivunjwe endapo waziri mkuu ataachia ngazi kwa sababu yoyote ile...iwe kufa, kufukuzwa, kujiuzulu nk.

Pinda anapenda sana cheap popularity. Anasahau kuwa serikali ya bosi wake imeshindwa kuchukua maamuzi magumu ndo maana hadi leo tunaishi kizani.

Hana lolote huyo anayelimia tumboni keshalewa madaraka.

Jee, angekataa "resignation" ya Lowassa?
 
Ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.zifuatazo ni baadhi ya posho wanazokirimiwa waheshimiwa wabunge kama zilivyotajwa na waziri mkuu ndugu pinda wakati akifunga mjadala wa makadirio ya bajeti ya ofisi yake.
  1. mshahara wa mbunge.........2305000
  2. posho ya ubunge(mp constituency allowance)
  3. posho ya vikao vya bunge
  4. posho ya madaraka kwa viongozi
  5. posho ya msaidizi wa ofisi ya mbunge
  6. entertainment allowance
  7. posho ya kujikimu ndani na nje ya nchi
  8. posho ya mavazi anaposafiri nje ya nchi
  9. posho ya usafiri wakati wa vikao vya bunge
  10. posho ya mafuta lita1000 kwa mwezi(pipa moja la mafuta)
  11. posho ya mfuko wa maendeleo ya jimbo.
DUUH!MAHELA YA KUTOSHA.......................................
 
Ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.zifuatazo ni baadhi ya posho wanazokirimiwa waheshimiwa wabunge kama zilivyotajwa na waziri mkuu ndugu pinda wakati akifunga mjadala wa makadirio ya bajeti ya ofisi yake.
  1. posho ya mafuta lita1000 kwa mwezi(pipa moja la mafuta)
  2. posho ya mfuko wa maendeleo ya jimbo.
DUUH!MAHELA YA KUTOSHA.......................................
Lita 1,000 ni pipa 5 mkuu, sio 1. Halafu wabunge wa ''vitu'' maalumu posho ya mfuko wa jimbo hua wanaipelekaga wapi?
 
Ni wabunge wa tanzania lakini wanaiiishi 'american dream'
its sad ...
 
Nimeshangazwa sana na kauli ya Mizengo Pinda kuisifia serikali ya Kikwete ati kuwa imewahi kuchukua maamuzi magumu. Pinda bila haya anadiriki kusema kuwa mmoja ya maamuzi magumu ni Kikwete kuvunja baraza la mawaziri kufuatia kujiuzulu kwa Lowassa mwaka 2008.Pinda asitake kuupotosha umma akidhani wote ni vilaza kama bosi wake. Suala la Kikwete kuvunja baraza la mawaziri halikuwa jambo la hiyari. Katiba ndiyo iliyomlazimisha Kikwete kuvunja kebineti. Katiba inataka kebineti ivunjwe endapo waziri mkuu ataachia ngazi kwa sababu yoyote ile...iwe kufa, kufukuzwa, kujiuzulu nk.Pinda anapenda sana cheap popularity. Anasahau kuwa serikali ya bosi wake imeshindwa kuchukua maamuzi magumu ndo maana hadi leo tunaishi kizani.Hana lolote huyo anayelimia tumboni keshalewa madaraka.
Nimeiona hiyo! point
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom