Pinda ampongeza Spika kwa kazi nzuri

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Ni kutoka Dodoma
pindaaz.JPG
 
Hii mechi inayochezwa sasa hivi ni ngumu sana na matokeo yake yanaweza kubaki kwa muda mrefu....
 
Tatizo wanajiaminisha kuwa ufalme wao utadumu milele na milele na hautaisha kumbe wana muda mfupi sana
 
Aminia. It sound like that. Kwa kweli amemuokoa ingawa Makinda amefuata sheria. Kwa vile watu walivyokuwa na moto mkali mambo yangekuwa mabaya sana ingawa sasa hali inaweza kuwa tofauti kidogo.
 
Wamenikumbusha lile tangazo flani hivi...Kwanza? (Pinda ndio anauliza tupanbe) Makinda anajibu (Tupambeee) Kisha? (Pinda ndio anauliza tena) Tusherehekeeeeeee (huyu sasa ni Makinda)
 
tatizo hajui kusoma alama za nyakati, dalili ya mvua ni mawingu hata kama haitanyesha wakati wingu limetanda. Mwisho wa ubaya ni aibu
 
kama anamalizia vile ndugai angekulipua,,,,,Hajali yule kijana akili zao sawa kabisa
 
Back
Top Bottom