Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda amevunja katiba?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by fisi 2, Jun 27, 2012.

 1. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,093
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  kwa kauli yake ya Liwalo na Liwe, ametangaza vita na uhai wa watanzania?, serikali haipo tena kulinda wananchi wake? Mbona wabunge hawakuomba mwongozo kwa kauli hii? AOMBE RADHI
   
 2. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 4,889
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Pinda sio mtu makini, kauli uwa zinamtoka bila kutafakari, wakimwambia aombe radhi uwa anaishia kulia, PM gani badala ya kusimamia hoja anaishia kulia km mwali anayeogopa kwenda kuvunjwa bikira yake.
   
 3. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 369
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pinda bure!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 28,005
  Likes Received: 6,875
  Trophy Points: 280
  Huyu Pinda apewe ARV's zilizo expie naye aote matiti
  [​IMG]
   
 5. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  "....na litakalo kuwa na liwe.." MWISHO WA KUFIKIRI.
   
 6. n

  nhassall Senior Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kesho nasubiri kumwona akilia. na kwa nini hajakemea kabisa kipigo alichopata Dr. Ulimboka?
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,084
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Sio mara yake ya kwanza
   
 8. G

  Gayo junior Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda hakutumia busara kabisaaaaa kusema "liwalo na liwe" maana yake madaktari wamemwaga mboga serikali tunamwaga ugali" ebu tusikie utumbo mwingine leo??????
   
Loading...