Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,663
- 20,418
Habari kutoka Sumbawanga zinasema watu wana hasira na Mizengo Pinda baada ya kumuamuru msimamizi wa uchaguzi Sumbawanga Mjini kumtangaza jamaa fulani mjinga mjinga awe mbunge. Watu wanashangaa iweje Pinda awe na mamlaka kwenye tume ya uchaguzi, hali iliyosababisha jimbo hilo kuwa na mbunge mwenye elimu ya darasa la saba. Awali mbunge wa CHADEMA ambaye ni msomi alikuwa ameshinda uchaguzi huo. Habari zaidi zinasema CHADEMA wamejipanga kufungua kesi mahakamani na miongoni mwa watakaoshitakiwa ni Pinda.