obama sererea
Senior Member
- Mar 13, 2012
- 101
- 37
Taarifa zilizonifikia japo sijazibitisha ni kwamba waziri mkuu pinda amekubali yaishe kwenye kikao cha uongozi bungeni kilichodumu kwa zaidi ya masaa matatu. Stay tune
:msela::cheer2:
Huu umbea
Taarifa zilizonifikia japo sijazibitisha ni kwamba waziri mkuu pinda amekubali yaishe kwenye kikao cha uongozi bungeni kilichodumu kwa zaidi ya masaa matatu. Stay tune
Awamu hii hatuitaji kujiudhuru pekee ni lazima na hatua za kisheria zichukuliwe ikishindikana wananchi tuhamsishane ili tuwahukumu hawa wezi na ikiwezekana WAPIGWE TU.
Kumbuka Na Mbowe naye wanamtaja taja...Tuna kila sababu ya kuindoa CCM madarakani.