Pinda akataa shangingi Toyota VX 8 ya Tsh 280 milioni!

Hivi mnakumbuka huyu muheshimiwa aliwahi kutoa amri ya katazo la ununuzi wa magari hayo bila kibali chake? Sasa hilo gari lilinunuliwa kwa kibali cha nani? Serikali iache unafiki.
 
Alikataa kwa maneno na sio kwa vitendo, mbona tangu 2010 ameshabadilishiwa zaidi ya mara 3 VX V8?

Tatizo la Pinda ni muongo sana, amewahi kusema kwny account yake bank hana hela zinazozidi 20m wakati amefanya kazi serikalini zaidi ya miaka 40!
Nyambafu!
 
Muuongo na mnafiki!
Huo ubunge tu kila inapovunjwa wanachukua zaidi ya 40ml.
Kosa kubwa watakalo fanya CCM nikupitisha hata kwenye tano bora Mtoto wa Mkulima.

Mwaka huu kila mbunge anachukua 240, bado Pinda utamsikia anasema yy ni masikini account yake bank ina 25m na watu watamuamini na kumuona ni mzalendo!

Watanzania tuna shida ya kufikiri mambo kwa kina!
 
Inawekana ni kati ya wale wenye Mamilioni ya Madola Swiss Bank.
Yeye kama PM mpaka leo Serikali yake haijaleta ile ripoti ya Wenyenazo huko Uswisi.

Nashanga Kongozi wa ACT-Wazalendo hili la Pesa za Mafisadi Uswisi haliongelei tena kwenye jukwaa la Kisiasa .

CC Zitto

Last edited by a moderator:

Zitto Kabwe hawezi kuongelea tena mabilion ya Uswis, hii ni kwa sababu chama chake kinategemea zaidj ufadhili wa wahisani!

Alishanyamazishwa!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kifupi Pinda is among the worst PM, TZ has ever have failed on every aspect from his residential area to Katavi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom