Pinda akana kauli yake kuwa hakusema J3 angetoa maamuzi

hawa jamaa wameshanganyikiwa hawajitambui, wanaweweseka, hawaamini kama bado wako na nyadhifa zao, pamoja na madudu yote wanayofanya.
Dawa ni kuwachomoa kwa nguvu!
 
Source ITV

Filikunjombe amedai amemshangaa waziri mkuu kuwa amesema wananchi wamemwelewa vibaya kauli yake kuwa jumatatu angetoa uwamuzi wa mawaziri wake

Na anadai waziri mkuu kasema yeye hamutoa kauli kama hiyo na alitaka mda ili asome then atawafahamisha vzr wadanganyika na hana mamlaka ya kuwawajibisha mawaziri

Alipoulizwa Jenista Mhagama (katibu wa wabunge wa CCM) aliwaambia waandishi kuwa mambo yote yataongelewa na Waziri mkuu pinda (mwenyekiti wa wabunge wa CCM). Alipofuatwa na waadishi wa habari, pinda akahidi kuzungumzia sakata la mawaziri wanaotakiwa kujiuzuru jumatatu ya tarehe 23/04/12 na nilimsikia mwenyewe akitoa ahadi hiyo

Huyu pinda mwongo sana ati!
 
Tusha mzoea waziri mkuu jina. Hicho kiti ana kikalia sababu tu nafasi inabidi ijazwe otherwise nina uhakika hata huyo JK angeendelea bila ya waziri mkuu. Mtu hana meno ila bado ana ng'ang'ania na matokeo yake ni kudharauliwa na bosi wake mpaka na wananchi wa kawaida.
 
alichokumbuka ni kumwita Tunu na watoto wake,makinda mwishoni alifunga bunge kwa kuwatambulisha aibu aibu tena sana kwa w/kuu ndio maana sura haikunjuki km saa zote anakunywa shubiri
 
Pinda ame-pinda na kilichompindisha ni kupinda pinda kwa mambo ya bosi wake. Pinda akitaka anyooke isipokuwa jina lake, basi ajiuzulu
 
Pinda na Kikwete wote ni waongo....hawana credibility hata chembe....Kama wangekuwa wanaitakia nchi yetu mambo mema basi wote wangeachia ngazi ili kupisha Serikali ya muda na hatimaye kufanya Uchaguzi kabla ya 2015. Hakuna sababu za kusubiri hadi 2015 wakati Serikali iliyokuwepo madarakani imeshindwa kuiongoza nchi.
 
Source ITV

Filikunjombe amedai amemshangaa waziri mkuu kuwa amesema wananchi wamemwelewa vibaya kauli yake kuwa jumatatu angetoa uwamuzi wa mawaziri wake

Na anadai waziri mkuu kasema yeye hamutoa kauli kama hiyo na alitaka mda ili asome then atawafahamisha vzr wadanganyika na hana mamlaka ya kuwawajibisha mawaziri

The retrovirus is killing pindas brain iam just feedup with this kind of human beingpinda,anatoa kauli kesho anageuka
 
Source ITV

Filikunjombe amedai amemshangaa waziri mkuu kuwa amesema wananchi wamemwelewa vibaya kauli yake kuwa jumatatu angetoa uwamuzi wa mawaziri wake

Na anadai waziri mkuu kasema yeye hamutoa kauli kama hiyo na alitaka mda ili asome then atawafahamisha vzr wadanganyika na hana mamlaka ya kuwawajibisha mawaziri

Mwache aendelee kukana,hayo mazoea ipo siku ataikana familia yake mchana kweupe(faida ya dhambi)
 
Source ITV

Filikunjombe amedai amemshangaa waziri mkuu kuwa amesema wananchi wamemwelewa vibaya kauli yake kuwa jumatatu angetoa uwamuzi wa mawaziri wake

Na anadai waziri mkuu kasema yeye hamutoa kauli kama hiyo na alitaka mda ili asome then atawafahamisha vzr wadanganyika na hana mamlaka ya kuwawajibisha mawaziri
1)NADHANI KUNA HAJA YA KUCHUNGUZA URAIA WAKE MAANA ANAONEKANA KAMA MTU WA KONGO KWA NGUO ZAKE ANAVYOPATA UWAZIRI MKUU,SURA YAKE, JINA LAKE ,TABIA NA HATA HUU UONGO NI KAMA WANAVYOTUFANYIA WATU KWENYE MUZIKI ANAJIFANYA ANAIMBA WIMBO WA MAPENZI YA DEMU YUPO TUNDURU KUMBE ANASARANDIA MKE WAKO HAPO HAPO KESHO UNASIKIA AMEFUMANIWA NA MKE WA MTU ALIYEKUWA MTEJA WA BENDI YAKE, CHUNGUZA JINA LA KAYANZA PINDA NI JINA LA KIKONGOMAN,SURA YAKE NINAMFANISHA NA WANAMUZIKI WA BENDI MOJA ZAMANI ILIKUWA INAITWA KANYORA NA WALE WALIKUWA NI WAKIMBIZI TOKA KONGO,NGUO ALIZOKUWA ANAVAA ANAVYOPATA UWAZIRI MKUU ZILIKUWA ZINAITWA NGWABI HII ILIKUWA NDO NGUO UNAYOWEZA TAMBULIKA KAMA WEWE NI MKONGO MAN MKIMBIZI YAANI HUKU KWETU NI KAMA WATU WA USALAMA WANGEKUWA NA AINA YAO YA NGUO UKITAKA KUAMINI ANGALIA SINENEMA YA HOTELI RWANDA KUNA AINA YA UVAAJI WATUSI NA WAHUTU WANAJUANA NA HATA ILE TABIA YA KUJIBAGUA NA KUJIITA YEYE NI MTOTO WA MKULIMA NI TABIA YA KIBAGUZI SANA NA HIYO IPO UKANDA HUO WA KONGO KWA NIA YA KUJIFICHA AU MUMUONE YEYE NI MWENZETUMAANA .

(2) LAKINI TUSIHOFU SANA NGOJA MZIKI MZITO UNAKUJA , JAMAA WA KIJIWE No 1 ARUDI KUTOKA MALAWI :target:SI HUWA TUNASEMA ANAONGEA NA WAZEE WA DSM ANAACHA KUONGEA NA WASOMI HO SIJUI WAZEE WENYEWE WANAPEWA HELA SASA PINDA AMESHINDWA KUKAA NA WASOMI WABUNGE NA KUELEZA VITU VYA MSINGI JK YEYE ATAONGEA NA WAZEE WA DSM NA MTAONA HUYU MTOTO WA MJINI NA MTOTO WA MKULIMA NANI ANAJALIMAISHA YA WATANZANIA KWELI HUYU ANAYESEMA YEYE MTOTO WA MKULIMA ANAENDA KUTEMBELEA HATA WATU WANAOFUGA FISI SHINYANGA TENA HATA KWENYE ILE HOTUBA ALISAHAU KUTUSIMULIA KUHUSU YULE MJASILIAMALI WA FISI AKAZUNGUMZIA VIWANDA VYA NGUO NA MAVAZI TU,ILE HOTUBA NADHANI ALITAYARISHA LUKUVI WA ISIMANI IRINGA MAANA IRINGA NGUO ZIKISHONWA ZINAITWA GWANDA KABLA HAZIJASHONWA ZINAITWA MWENDA,HALAFU AKAPIGA BITI TIMU YA SIMBA ISIBWETEKE NA USHINDI KWANI KAZI BADO IPO BADALA YA KUWAAMBIA
A%20S%20shade.gif
MAWAZIRI WAKE WAKAANZE KUANUA NGUO MANYUMBANI KWAO KAMA WALIACHA ZINAFULIWA KWANI NGOMA NDO HIYO :rolleyez: ANAYO SPIKA NA THOMASO KASHIKIILIA WANAIPELEKA KWA BWANA MKUBWA PALE PLOT NAMBA MOJA! :doh:
 
alichokumbuka ni kumwita Tunu na watoto wake,makinda mwishoni alifunga bunge kwa kuwatambulisha aibu aibu tena sana kwa w/kuu ndio maana sura haikunjuki km saa zote anakunywa shubiri

umesahau, alitumia fursa hiyo pia kuwapongeza simba sc. anadaiwa report anaishia kutuletea habari za soka wakati kama huu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom