Pinda afanya maandamano Mafinga na kupokelewa na bodaboda. Ivi huyu ni mbunge wa Mafinga? Au sikumwelewa Magufuli kuwa mikutano na sio maandamano

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Kitaifa
Pinda aanza ziara Mafinga, apokewa na msafara wa bodaboda
FRIDAY JANUARY 25 2019

Kwa ufupi
Mlezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Waziri Mkuu wa zamani, Mizengo Pinda leo Ijumaa Januari 25, 2019 amewasili wilayani Mufindi katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo wilayani humo

ADVERTISEMENT

By Berdina Majinge, Mwananchi Bmajinge@mwananchi. co.tz
Screenshot_20190125-194707.png
 
rais wa Tanzania ana uelewa mdogo wa mambo mengi sana.... mfano swali aliloulizwa kuhusu kuongeza mkoa huko kusini angekuwa mwanafunzi wangu ningempa buyu la maana na konzi juu
 
Kitaifa
Pinda aanza ziara Mafinga, apokewa na msafara wa bodaboda
FRIDAY JANUARY 25 2019

Kwa ufupi
Mlezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Waziri Mkuu wa zamani, Mizengo Pinda leo Ijumaa Januari 25, 2019 amewasili wilayani Mufindi katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo wilayani humo

ADVERTISEMENT

By Berdina Majinge, Mwananchi Bmajinge@mwananchi. co.tzView attachment 1004771
labda jiwe kamteu kua mbunge wa huko,maana jiwe anasema kila mbunge afanye mikutano jimboni kwake.

na watu wazima na akili zao wanachekeleaaa kabisa.ukiwa uliza wasio na wambunge wafanyie wapi hiyo mikutano,wanavimba mashavu.
 
Kitaifa
Pinda aanza ziara Mafinga, apokewa na msafara wa bodaboda
FRIDAY JANUARY 25 2019

Kwa ufupi
Mlezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Waziri Mkuu wa zamani, Mizengo Pinda leo Ijumaa Januari 25, 2019 amewasili wilayani Mufindi katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo wilayani humo

ADVERTISEMENT

By Berdina Majinge, Mwananchi Bmajinge@mwananchi. co.tzView attachment 1004771
Hongera Baba Mstaafu kwa kudumisha Demokrasia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitaifa
Pinda aanza ziara Mafinga, apokewa na msafara wa bodaboda
FRIDAY JANUARY 25 2019

Kwa ufupi
Mlezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Waziri Mkuu wa zamani, Mizengo Pinda leo Ijumaa Januari 25, 2019 amewasili wilayani Mufindi katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo wilayani humo

ADVERTISEMENT

By Berdina Majinge, Mwananchi Bmajinge@mwananchi. co.tzView attachment 1004771
Ccm wana utapia akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi hujui kama ccm ndiyo inaongoza serikali mbona mnajitoa ufahamu wandugu?
 
Ni kweli na ndio maana tunawaambia Magufuli hujui na wala hawezi siasa za ushindani zaidi ya kutaka kusujudiwa. Ccm haijaanza kuongoza serikali enzi hizi za Magufuli, na siasa watu walifanya vile vile. Anaweka sheria zenye lengo za kulinda chama chake kwani anajua hakina mvuto wala ushawishi, kwahiyo namna pekee ni kuzuia wale wanaokubalika kukutana na watu kwa sheria muflisi.
 
Back
Top Bottom