pinda aagiza wakuu wa mikoa kuangalia athari za bomoa bomoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pinda aagiza wakuu wa mikoa kuangalia athari za bomoa bomoa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nickname, Mar 12, 2011.

 1. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mh.Waziri mkuu Mizengo Pinda akihitimisha ziara yake mkoa wa Kagera leo ametoa agizo kwa wakuu wa mikoa kuangalia athari za majengo na nyumba zitakazobomolewa kutokana na kujengwa kwenye hifadhi ya barabara.
  My take: Nionavyo mimi ni kuwa WM amepora madaraka ya Waziri wa Ujenzi.Hiyo ingefanyika kiserikali na sio kishabiki kwa kutaka kujipatia umaarufu kupitia mgongo wa Magufuli.Naona kuna ombwe la uongozi(nyufa za uongozi) katika serikali ya JK.
   
 2. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Halafu wakishaangalia athari???? Maagizo ya huyu mkubwa mara nyingi yanakua so vague and useless!!!!!
   
Loading...