Pima uzazi kabla ya ndoa, kuna mateso ukigundua sio mzima viungo vya uzazi

Eti dog stailo.

Sent using Jamii Forums mobile app
style Bora kabisa kutekeleza agizo la muumba
images-94.jpg
 
Utakuta mwenzako anajua kabisa, ila hayupo tayari kukuambia ukweli.

Mwanamke anajua kabisa ameshatoa mimba mara kadhaa, tena kwa njia hatarishi lakini anakuficha. Mnaingia kwenye ndoa, utagonga mno. Utasali sana. Utasugua magoti mno.

Utamaliza wachungaji na manabii wote. Hospital zote utaenda kupima hakuna tatizo lolote la Hormones, siyo kwako siyo kwake.

Kumbe mwenzako anajua ukweli.

Ndugu yangu, yaepuke hayo kwa kufanya utafiti kabla ya kuoa.

Aisee!.
Yani hapo kwenye kuonekana hakuna shida ndio huwa chanzo cha yote.Sijui tuganyeje
 
Iliniuma sana ,Shangazi angu aliolewa 2016 na jamaa mmoja hivi wa pwani ,nilikuwa najua fika shangazi hana kizazi , nilijaribu kufanya mbinu zote nimsanue jamaa lakini ilishindikana wakafunga ndoa mwezi wa 11 mwaka 2016 ,mpaka Leo hakuna mtoto kabisa maana shangazi alikuwa bingwa sana wa kutoa mimba.

Shangaz alivokuwa anakuja na jamaa kijijini alikuwa hamwachii upepo hata kidogo mtu uongee nae kabisa
 
shangazi yako hana tofauti na mchawi.
 
shangazi huyo alikua field martial....
 
Utakuta mtu wa pwani nae hana uzazi ndio utashangaa
 
Back
Top Bottom