Pima uwezo wako wa kufikili hapa kwa vijana tu samahani !!

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
2,144
4,818
Home of great thinker ha ha ha

kuna kitu kimoja nimegundua humu jamii forums hila sidhani kama na nyinyi ma EXpert member mmeona

kitu nilichogunduwa asilimia 85% ya vijana au wanafunzi waliopata division four jamii forum ni wengi sana alafu wengi wamepata ujanja humu wa kujieleza hata wanapokuwa mbele za watu huko maeneo yao

especially kama mimi naishukuru sana jamii forums na kuna mambo nimejifunza kwenu

ila kuna member mnazingua mnajiona sana yaani unaweza sema huyu jamaa mwisho wa mwezi hanapokea mshahara kama huyu jamaa anaitwa sema subiri nikaushe @

cityzen chairman am here
 
Maisha yana mambo mengi sana. Wengi waliopata Div 1-2 form four wakakimbilia Advance waliangukia pua, au ualimu au 0 wachache ndio wanasheria madaktari na wahandisi. Bora anayepata 0 ataenda ufundi kwa uchungu ili afanye maisha na wana maisha safi sana. Na walopata 1V na 0 form four wengi wana good life.

Usiseme mimi nilifail ndio maana nazungumza, ila hii nikutokana na ninayoyaona mtaani.

Mwisho usimdharau mtu kwa perfomance yake ya shule couse haipimi uwezo wake wa kupambana na maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Ok9

Hila - Ila
Hanapokea- Anapokea

Lkn form 4 hukupa direction ya maisha.
Hapo pia wengi huvurugukiwa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom