Pima joto.....

live inauma bana.

Unamkuta ameshashughulika nafasi kubwa na kijasho chembamba kinamtoka, keshalegezwa pale hajiwezi lol

shuka zote wameshaangusha chini, tena unakuta labda na nguo zao zimatapakaa sakafuni.

Shati liko karibu na mlango wa kuingia kwenye chumba, suruali ya mkaka na sketi ya mdada iko hapo, blauzi na bra viko half way kutoka mlangoni kwenda kwenye kitanda, vijiguo vilivyobaki viko vinaning'nia kwenye ncha ya kitanda kama vinataka kuanguka.

Hii inaonesha walivyokuwa wametingwa (how they wanted each other) hawakuwa na muda hata wa kuweka nguo zao vizuri.

no no no, acha nihisi tu.

Kweli kabsa ni heri kuhisi kufumania lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....nahisi pia judgments zenu zina base mpo kwenye mahusiano ya aina gani.

Kuna watu wanatamani wafumanie wamalize hukumu yao, hao hufikia hata kutengeneza misheni na watu 'wakafumanie!'

Na kuna wanaoombea yasiwakute. Hawa hawataki hata kufikiri kinachoendelea, "japo wanayaona hata manyoya, kuku eshanyonyolewa" lakini bado wanaukataa UKWELI :D
 
Halafu unakuta timing yake haina manufaa kwasababu alichokuwa anadhan mwenzi wake anafanya kumbe wala hata hafanyi...# inakeraaajeee

Kwahiyo bora 'shari kamili!...' ufumanie yaishe!? ;)
 
Mbu, mie naona hadi kufikia kupanga fumanizi jua huo upendo haupo tena, ulishakufa siku nyingi.

Au kwa baadhi ya wanawake huwa ni 'mob psychology', akikaa mwenyewe anajuta mno.
Ndugu yangu kabisa alienda mfumania mmewe baada ya kushauriana na watu fulani lakini baadaea hata yeye alijuta kwa nini kaenda kufumania.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: awp
....nawaamkua wakuu wa jukwaa hili. Nimeulizwa, nami niwauliza. Ati?

1. Kumfumania mume/mke....au
2. Unajua mume/mke anacheat ila hujabahatika kumkamata.

Lipi linauma zaidi?

Raha ya kufumania iwe mtu umeshamchoka
na unatafuta sababu ya kumuacha
utafumania kwa raha zoote
vinginevyo bora u hisi tu kwanza hadi akishakutoka moyoni ndo uanze harakati za kufumania
 
The Boss, na Smile mpo sawa...
Mmeona ee? Kama nia ni kujenga, utamuomba na mausia tele aache 'ukware' wake, na hata ukifumania haitakuuma.

Kufumania, au kujiaminisha "unaibiwa" ...wewe pekee ndiwe dereva wa akili yako. Maumivu, either of the two yanategemeana na mawazo yako "umeyapaka rangi, poda, na manukato" ya aina gani mpaka ufikie kuumizwa nalo.

Hapa swali la pili kabla hujakubali kujiumiza ni je? Are you over cautious/overly sensitive? How do you rate your Self Esteem In a scale of 1 -10? unajiamini?....

Keep faith, raise your Spirits. :D
 
Last edited by a moderator:
Mbu, mie naona hadi kufikia kupanga fumanizi jua huo upendo haupo tena, ulishakufa siku nyingi.

Au kwa baadhi ya wanawake huwa ni 'mob psychology', akikaa mwenyewe anajuta mno.
Ndugu yangu kabisa alienda mfumania mmewe baada ya kushauriana na watu fulani lakini baadaea hata yeye alijuta kwa nini kaenda kufumania.

Naam,.....yataka imani ya kweli baada ya kufumania na kujiliwaza mwenzio amepitikiwa tu na Ibilisi :cool:
 
Last edited by a moderator:
The Boss, na Smile mpo sawa...
Mmeona ee? Kama nia ni kujenga, utamuomba na mausia tele aache 'ukware' wake, na hata ukifumania haitakuuma.

Kufumania, au kujiaminisha "unaibiwa" ...wewe pekee ndiwe dereva wa akili yako. Maumivu, either of the two yanategemeana na mawazo yako "umeyapaka rangi, poda, na manukato" ya aina gani mpaka ufikie kuumizwa nalo.

Hapa swali la pili kabla hujakubali kujiumiza ni je? Are you over cautious/overly sensitive? How do you rate your Self Esteem In a scale of 1 -10? unajiamini?....

Keep faith, raise your Spirits. :D

Mbu masuala ya self esteem ni very complicated...
mfano mtu anaweza kuwa akiwa nyumbani yuko normal
lakini hawezi ongea in public mfano,hawezi kabisaa

na mwingine kikazi au kiofisi ni mtu confident mno,lakini
akiwa kwenye lift na mdada ni mtu asiye na uwezo hata wa salaam tu
anagwaya gwaya lol
 
....mkuu, mifano yako imebase kwenye traits za introverts, na extroverts, ama?....

"Self esteem" hapa nimeitumia kuelezea 'Kujiamini' kunakopelekea kumuamini mwenza wako, kiasi cha kumtosheleza naye akuamini pia.

Tupo pamoja...:thumbup:
 
ndio maana nikasema very complicated
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
bora ibilisi usiyemjua kuliko ibilisi unayemjua.

Picha itayayobaki ni ile uliowakuta nayo.

Mungu aniepushe na hili.

Naam,.....yataka imani ya kweli baada ya kufumania na kujiliwaza mwenzio amepitikiwa tu na Ibilisi :cool:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....dah? Pole kaka Fidel80...kwanini uliumia "Sana?" .....hukuwahi kumdhania anaweza kukusaliti???
Nilimwamini mno kwa ishu ya kukata kiu akikohoa kidogo mzee nimeshafika kubembeleza ila alicho nifanyia niliumia sana na nikabeba kila kilicho kuwa changu nimwachie jamaa nae awekeze zaidi.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
mimi nilifumania nikakuta ndio wapo heavy duty nilibeba watoto wangu wawili nikaenda anza moja mpaka leo yule mtu akiniona popote analia hakuelewa nilipata wapi hiyo power ya letting go maana alikuwa anajua nampenda sana sintaweza mwacha kamwe na ilifikia mahala anawaleta mpaka ndani na karibu na hm ila sikuwahi ona live ila niliambia na nilikuwa najua anafanya hivyo maana mara nyingi ukivizia simu yake unakuta mesage za shukrani kwa huduma nzuri anazotoa ili nipate lakumwachia du nashukuru afande mmjo huko monduli sasa hivi i salute u afande akanishtulia dili lie maana walikuwa wamemkanya mpaka wamechoka du nikaenda nikashuhudia nikacheka nikaondoka na upendo ulikatikia palepale mpaka leo we were having two kids at that time ikawa ndio basi tena.alilia machozi akawa kama mwehu kichaaa mpaka anaongea mwenyewe oh wazazi vikao havikusaidia ;this is power of letting go huu ni mwaka wa nne sasa na anatangatanga mpaka leo mpaka sasa ana watoto watano bila ndoa ,je unaweza hii wewe?
my intake:ijue thamani yako usimwache mtu akufanye poyoyo na kuona kama yeye ndio kakutengeneza na anaweza kukubomoa saa yoyote Kongosho BAK The Boss Mbu haya unaweza Smile UNAWEZA HII KWELI
 
Nitajie id yako ya zamani aisee
naku mix still
 
isee hii inauma sana....

Ila binadamu ndivyo walivyo, akijua anapendwa anataka akupande kichwani, ukimwaga ndo anajua umuhimu wako....
Hongera kwa kuwa imara
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom