Pikpiki za bajaji zipelekeni Ikulu na Dodoma wakapande wao, hatuzihitaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pikpiki za bajaji zipelekeni Ikulu na Dodoma wakapande wao, hatuzihitaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaitelejensi, Mar 10, 2011.

 1. Mwanaitelejensi

  Mwanaitelejensi Senior Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi pikipiki zinaletwa kuja kuharibu Mimba za wake zetu kwa kama unampenda mke wako ni bora ukakodi gari impeleke Hosptali kuliko kupanda hizo pikpiki zitaharibu mimba za wake zetu. Zifanyiwe Test huko Ikulu kwa kuwapakiza wake za Mafisadi Mawaziri na FIsadi Kikwete.

  Hii ina maanisha ni jinsi gani Mafisadi wanavyozidi kutudharau badala ya kutuletea Ambulance na kutujazia madawa na kutupunguzia kero huko Hospitalini wao wanatuongezea Matatizo ya kuja kutopotezea watoto wetu. wakati wao wanapeana Ma-VX Bungeni

  Mafruku mke wangu au ndugu yangu kupanda hizo Stupid Pikipiki, wampelekee Mkwe wa Fisadi Kikwete akapande. Pumbavu yao
   
Loading...