Pikipiki

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785
2008-8-13-16-54-15-3062c316f97d47d5906f13be8347829f-3062c316f97d47d5906f13be8347829f-2.jpg

Usafiri wa pikipiki nchini Pakistani
rickshaw-overload.jpg

Kinamama wa India
Overloaded+Third+World+Bikes.jpg

Wafilipino

Wachina wamezimwaga nyingi sana hapa nyumbani, zimepunguza tatizo la usafiri kwa kiwango kikubwa hasa maeneo ya nje ya jiji na mikoani
 
ndo mshkaki huo,sasa huyo mtoto sehem ya kiumeni itapona kweli?
 
Hahahaha halafu mnasema bongo kuna nyomi, cheki hizo za kihindi, Nyomi mpaka kwenye pikipiki
 
ndo mshkaki huo,sasa huyo mtoto sehem ya kiumeni itapona kweli?
Wabongo bwana, wewe ulichoona ni nyeti tu?, usalama wao je, inaelekea unaimaindi sana, jamaa yako inaelekea anafaidi kweli kweli, namuonea wivu kichizi.
 
y not?ndo sehem muhimu my diahiyo ndo inanitofautisha mm na ww,ulikuwa hujui?jamaa lazima afaidi sanaa,we muulize atakwambia
Wabongo bwana, wewe ulichoona ni nyeti tu?, usalama wao je, inaelekea unaimaindi sana, jamaa yako inaelekea anafaidi kweli kweli, namuonea wivu kichizi.
 
Hivi sisi tuna akili kweli?! jamaa kwao wameshindwa kujisimamia kwenye sekta ya usafiri, hapa kwetu tunamuona anafaa kutuendeshea shirika la reli, nyambafu
 
Back
Top Bottom