Nenda pale police mvute chemba askar moja mueleze shida yako atakupa maujanja acha uogaNaanzaje kwenda kuulizia
Habari zenu waungwana,leo nilikuwa nakatiza mitaa ile ya kituo cha polisi urafiki,sasa wakati wa kupita nikaona pikipiki nyingi zimepangwa nje ya kituo,sasa nauliza kwa wenye kujua je pikipiki zile zinauzwa?