Pikipiki zilizopo pale Kituo cha polisi Urafiki zinauzwa ama

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,591
5,431
Habari zenu waungwana,leo nilikuwa nakatiza mitaa ile ya kituo cha polisi urafiki,sasa wakati wa kupita nikaona pikipiki nyingi zimepangwa nje ya kituo,sasa nauliza kwa wenye kujua je pikipiki zile zinauzwa?
 
Sisi tupo mbali, ungeingia hapo uwaulize wenyewe
 
Nenda kaulize usiogope, pale ni kama dukani kwa Mangi siunainaga kunae Kaunta pale!
 
Back
Top Bottom