Pikipiki za Kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pikipiki za Kichina

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dingswayo, Jun 22, 2011.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ningependa kununua pikipiki ya kichina. Kwa wale wenye uzoefu, ni model ipi iliyo bora ukizingatia uimara, matumizi ya petrol, vipuli na matengenezo yenye bei nafuu?
   
 2. j

  junior05 Senior Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nunua san LG
   
 3. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,044
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Nunua Jinyee
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante sana kwa ushauri wako, lakini hilo jina linaniacha hoi, yaani Jinyee? Nitashindwa hata kwenda kwa wakwe!:wof:
   
 5. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Du hizo ni kiboko, halafu buku kitanda pale MOI, baada ya ajali,ukisha Jiny...a
   
 6. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mkuu ningekushauri uende KCMC wodi ya boda boda, waulize wale waliopewa vitanda pale wakushauri.
   
 7. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unataka pikipiki ndefu au fupi?Kwa pikipiki ndefu nzuri ni aina ya LIFAN,TOYO,SAN LG,SKYGO pikipiki hizi ni imara sana.Kwa fupi nzuri ni WORK MASHINE,T-BETTER,SAN LG na LIFAN.Lakini kila kitu chahitaji matunzo.
   
 8. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante kwa ushauri. Hata hivyo ngoja nikufahamishe kidogo kuhusu uzoefu wangu wa pikipiki. Nilianza kuendesha pikipiki miaka ya 70 nikiwa teenager, Honda 90. Baade nimeendesha pikipiki mpaka 1000 cc. Hiyo ninayotafuta ni ya shughuli zangu za shambani na za vijana wangu kufanyia short errands. Hata kama unatembea kwa miguu unaweza ukaishia wodini.
   
Loading...