Pikipiki ya Yamaha Crux CC 100 ni nzuri?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,571
Naombeni ushauri,

Nataka kununua Yamaha Crux CC 100 Used kutoka kwa rafiki yangu kwa Sh 1.2 million ila sina uzoefu na ubora wake.

Je mnanishauri vipi juu ya ubora na changamoto zake?

Asante.
 
umeshamuita rafiki, muamini huyo huyo ndiye akupe uzoefu wake. tumia akili ya ziada kujua kwanini aiuze; ni shida za kifedha au anaisukuma km kujivua mzigo?

wengi humu tunatumia pikipiki za mchina na mhindi, uzoefu wa mjapani hususani matoleo mapya hautapata mjanja au hata km wapo sio wengi maana ni roho za, paka, kukichosha km tunavyozihenyesha sanlg na fekon hafi uwe mze wa 70s.

kiufupi brandy ya kijapani ni nzuri ikikutana na mkono mzuri wa, mtunzaji. ikiua kipuri/spare mdio mtihani. lkn upande wa miguvu nina imani utapenda japo kidogo dogo na umbo km tvs.
 
Mimi kwenye pikipiki natafuta hii kitu tu CBR. Sema bei zimesimama ila najichanga
212CD9E2-24B0-4B80-B766-58EB562920DB.jpeg
 
kila mmoja na chaguo lake, mimi ni mlevi wa pikipiki kuliko gari.
Hapana boss. Labda mpya ila used za hapa kwa wahindi nimeziona Mil 5 hadi 10 itategemea na model, mwaka, ukubwa wa injini, hali ya uchakavu na unauziwa na owner au dalali.

Ila nyingi sana Mil 6-7 na kali sana. Sema ndio hivo kila mtu ukimwambia anasema iyo hela bora ununue IST.
 
Back
Top Bottom