Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 2,922
- 5,012
Najua humu wapo traffic na watu wenye ujuzi mbalimbali wa kisheria
Rakifi yangu anayo pikipiki yake ya private anayo tumia kwenda kazini kila siku.
Sasa leo kaja na malalamiko eti amekuwa akikamatwa na traffic mara kwa mara wanamdai amefanya kosa kwa kuwa haja beba kofia ya pili na kutakiwa alipe faini ya shs 30,000?
Pikipiki kasajili private na ina namba za njano, hiyo kofia ya pili ni ya nini ya kubebana nayo muda wote?
Ukweli kumtaka mtu kama huyu abebane na likofia la pili na kulisafirisha kila siku kwenda kazini na kurudi na hisi kuna mapungufu hapa.
Mimi nahisi kosa lake lingekuwapo pale atakapo beba mtu ambaye hajavaa kofia.
Pamoja na mapungufu mengi yaliyo jitokeza kwa waendesha pikipiki, nahisi ifike wakati tuone kuwa pikipiki ni chombo cha kurahisisha usafiri ...mbona nchi za wenzetu zile maskini na hata zile zilizoendelea hazina hii sheria ya kukomoana?
Binafsi naona kama hii itaendelea.
Ni kuwa nyanyasa wajasiriamali wadogo ambao hawajaweza kununua magari
Nawasilisha!